Search results

  1. 666 chata

    Sekunde 30 za ngono zilivyompeleka jehenamu kwa miaka 30

    2020 Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu. Maskani ya vijana wengi wa dar hua inakua opposite na gheto la mwamba mmoja ambaye hua ametoa ruhusa ya mwana yoyote kati...
  2. 666 chata

    Tuliachana vibaya, kila mtu amepiga hatua kwenye maisha yake, ila kawa mzuri zaidi

    Last week nilikutana na Ex wangu ambae tulikua tunaishi kama mke na mume zamani. Akiwa amemaliza chuo hana ramani, nikamwambia mama usipate shaka mumeo nipo nna kijikazi njoo tuishi, so tukaanza kuishi wote yaani ile happily ever after, so so happy. Mwanamke wa haswa haswa, sasa tukawa tuna...
  3. 666 chata

    Vyombo vya Habari Tanzania ubunifu ni zero kabisa

    Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza. Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
  4. 666 chata

    Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

    Denis ni mfanyakazi wa moja ya ubalozi wa nchi maarufu sana hapo Oysterbay, miaka mitano iliyopita alikuwa mkoani Iringa kikazi, vijijini huko wazee wa mamiradi na ma padiem, hana demu hana nini, ghafla kijijini huko akaona mali kali sana, vijana wanasema pisi ya kwenda, ikabidi aipigishe sound...
  5. 666 chata

    Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  6. 666 chata

    Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
  7. 666 chata

    Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  8. 666 chata

    Matukio ya kusisimua yaliotokea 2012 hadi 2022

    Nchi kubwa hii na ina mambo mengi, hapa tutagusia machache ya kusisimua sana yalio acha maswala mpaka leo, mengine mtaongezea, lengo tukumbushane tulipotoka; TUKIO LA UFO SARO Hii ilikua 2013, nchi ilistushwa na taarifa ya kupigwa risasi kwa mwandishi wa habari maarufu sana wakati huo, katika...
  9. 666 chata

    Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

    Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu...
  10. 666 chata

    Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Wakuu kwema! Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka. Juzi...
  11. 666 chata

    Nilighairi kumuoa binti baada ya kugundua amekeketwa

    Wakati flani, miaka kadhaa nyuma nilikutana na binti mrembo, mdogo na mzuri haswa, alikua anatokea kabila flani la watu wa kaskazini wale ambao wapo kama wazungu hivi. Alikua ana utulivu wa akili, mpole na ananitii sana, shida ikawa ni ngumu sana kwenye kufanya mapenzi, nimeshapanga appointments...
  12. 666 chata

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Yeye akiwa ni Muislam na mie Mkristo; Alikuwa pisi haswa, mtoto mkaree kila angle na anayajua mapenzi haswa, nikasema tabu za nini hasa ukizingatia binti mwenyewe ananitii kila nnalomwambia, sikuwa na upinzani wowote kwake, najipigia mwenyewe tu ki uhakika. Sasa nilivyotangaza tu kumuoa na...
  13. 666 chata

    Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama madeni

    1. Wakati flani nikifanya shughuli za kisheria ktk taasisi flani niliwai kukutana na mzee mmoja ambae kwa wakati huo alikua ana lala stendi ya mabus ubungo terminal, baada ya kutolewa kwenye nyumba yake kinguvu na watu wa bank kisa alishindwa kurejesha marejesho yake kwa wakati ambapo mpaka...
  14. 666 chata

    Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  15. 666 chata

    Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  16. 666 chata

    Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?" Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent...
  17. 666 chata

    Namna nilivyonusurika kufa kwenye ajali ya gari, Bongo unakufa huku unajiona

    Kwema wadau? Mwaka huu mwanzoni nikiwa nimetoka kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya na nikiwa nimefanya maombi ya mipango yangu mingi kwa mwaka huu na kumsihi sana Mungu wangu aliye hai anijalie afya, uhai, furaha na amani tu mengine nayaweza hayanisumbui kabisa, basi sikuwa najua siku chache...
  18. 666 chata

    Visa vya mapenzi visivyosahaulika

    Nikiwa nimemaliza kidato cha nne miaka ya 2000's kweusi nikawa nimechill tu home hakuna ishu hakuna mpango, mjini hakuna mashamba. Kwa hiyo nikawa busy na mapenzi na by that time nilikua nimemzimia kwa binti mmoja hivi anakaa mtaa wa tatu tokea home. Tulikuwa tunapendana sana yaani hata...
  19. 666 chata

    #COVID19 Ni kwanini tunaulazimishia kwa nguvu zote ugonjwa wa Corona kuwa umerudi upya?

    sijui kama heading iko vizuri au vp! Ila inashangaza sanaa kuona namna tunavyoulazimishia huu ugonjwa uendelee kuwepo au tunalazimishia kwamba umerudi upyaa! jamani tumerudi nyuma sanaa kwenye hili. Ni aibu kubwa kuona namna tunavyolazimishia uwepo wa ugonjwa huu, yaani its so unnecessary...
  20. 666 chata

    Nimedhulumiwa MilionI 10, siku ya Tano sasa sijapata Usingizi

    Niliungana na rafiki angu tukaunda timu na tukafanya project na kampuni ya wa Asia, project tuliifanya kwa muda wa miezi tisa. Na hapa kati hakukua na malipo ya ziada au ya kazi zaidi tu ya malipo ya vitu vinavyohitajika wakati wa Project hasa accomodations na transports tu. Huyu jamaa yangu ni...
Back
Top Bottom