Search results

  1. boniuso

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Kagame anasifa tuu, japo mafanikio yake ni madogo ila labda tuseme kwakuw ni wakimbizi toka ulaya, wingereza itawadumia kwa pesa zake na kila jambo litakuw chin ya uingereza hivo miundombinu ya makambi na nyumba zao haiyakuwa kinyonge sana.
  2. boniuso

    Battle: Lilongwe VS Mbeya

    Mfano ukisoma kidogo tu gogle maana sijawahi fika lilongwe. Kwanza ina watu wengi kuliko mby, 9m wakat mby ni 6m. Piah kwa haraka haraka kwenye picha inaonesha lilongwe ina majengo marefu mengi kuliko mby, na hii inatokana na kuwa n makao makuu ya serikari. Hivo nazan labda lilongwe...
  3. boniuso

    Battle: Lilongwe VS Mbeya

    Mim ushauri wangu, tungekuja na vitu kama population, mapato yake na uwekezaji mkubwa uliowekezwa huko.
  4. boniuso

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Jangwa........ haha ilapole mjumbe na bora hata haupo kwenye hiyo kamati ya maadili maana umeumizwa sana yaonekana.
  5. boniuso

    Usikubali kudanganywa na kuburuzwa kisa Siasa. Simama Mwenyewe!

    Ona huyu, bora asijibiwe. Haya mwanasiasa wew ni upo wizara gan? Au nawew msubiria teuzi??
  6. boniuso

    Usikubali kudanganywa na kuburuzwa kisa Siasa. Simama Mwenyewe!

    Habaria wanajamvi. Naamin wengi wetu ni wazima lakiin kwa wote wenyechangamoto asili ya dunia na iwape nafuu. Huu ni uzi wa kutiana moyo, faraja na kupeana mawazo changa ili gurudumu la maisha yetu lisonge mbele, kama unavoweza kuona mvua ni nyingi na tope ni jingi muno. Twende kwenye kichwa...
  7. boniuso

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Watanzania tuna ujinga mtukufu, si unaona hata wew wajiita netanyau. Hapo hakun mtu atakueleza baya kuhusu israel ukamuelewa. Anyway natak kusema, tuanze na sis wenyewe kujikosoa ndipo tukosoe wengine. Hili bunge n matokeo ya usaliti na uninga wetu. Humu tunaponda tukifika vyumba vya kupiga...
  8. boniuso

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Hahahaha watu kama hawa huwa wananikata stimu kinoma. Kun wenzako kama wew huwaga wanatoa maoni kama haya kwenye jumbe za matangazo ya radio DW swahili. Utasikia "naomba urusi isiue wasio na hatia" utazan hao urusi wanawasikiliza
  9. boniuso

    Ni moment gani? ambayo mpenzi wako alikufanyia na umeshindwa kuisahau

    Toa hiyo pic ya mchezaji wetu wa liverpool 😄 🤣
  10. boniuso

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    KO kwa kufanya tu hayo mambo manne, na tena bila kufanya kazi kwa bidii nakuwa na iman unakuwa MO???. Ahsante mkuu wacha niwe tajiri
  11. boniuso

    Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

    Hawawezi, wew mtu anasubiria teuz na kusifia tu. Vijana wa hovyo n machawa kina babalevo nk, wazee wa hovyo utawasikia ahsante mama bila wew tusingepata pesa. Nchi ina uchawa makanisani mpka misikitini, shulen , vyuon na kila mahala.
  12. boniuso

    Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

    Taifa la machawa na wasubiria teuzi, huu uzi wanaona kama kaa la moto.
  13. boniuso

    Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mwenzako hat hiyo iq ya 65 hajui ina kiwang0 gan?
  14. boniuso

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndiooo..... zilikuwa na mashida ya umeme. Sasa sjui hiz ni zilizoboreshwa.
  15. boniuso

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Kabla ya kusema kiswahili kifutwe, ilitakiwa maoni yasomeke kuwa. Wale waote wanaokuja kusoma kwetu wajifunze mwaka mmoja kiswahili au hata miwili. Mfano hao madaktari wakapangwa wafany kazi hapa tz na wakatupwa huko sonchombwate wataongea nin na wagonjwa??? Achen utumwa wa fikra mbona ukienda...
  16. boniuso

    Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

    Wako mbion kuleta chanjo ya kansa. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  17. boniuso

    Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

    Hayo maziwa wameiba kwetu..... Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  18. boniuso

    Mwijaku: Diamond nitakupiga hutoamini

    Maoni ya nin sasa..... Sikuhiz JF inaboa sana. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom