Search results

  1. G

    Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Hii pia kwa lahaja ya kimrima na Mtang'ta husemwa Mkyama ago kanyele hwenda akauya papo Mchama ama Mkyama = ni muhamaji Ago au huitwa Rago = ni sehemu watu huhamia kufuwata kazi kama vile zamani watu hufuwata kazi wakati wa msimu wa karafuu kule Pemba , sasa wanapohamia pale kukaa kwa ajili ya...
  2. G

    'Dr' Aisha Kigoda

    Haya na wengine nao hawa , watu wanazungumza kunde analeta maharage , ki;a suali lina jawabu
  3. G

    Nipeni mbinu za kumtoa bosi asiye na elimu aende kucheza taarabu..

    Watu wengine Bana , wengine hawakusoma lakini wako na uwezo wa kuongoza ndugu yangu . kumbuka uongozi bora na utendaji si madigirii kama ingekuwa ni hivyo zimbabwe baraza la mawaziri kjila mmoja wao anazo zisizopunguwa 4 na wanaoishi Uingereza kwa muda mrefu watakwambia John major na...
  4. G

    'Dr' Aisha Kigoda

    Hili ndio tatizo la watanzania , wanang'ang'ania huyu si Dr yule ndio Dr wakati kuna mambo ya maana mengi hawana habari nayo Viongozi huzaliwa kiongozi sio madigirii . kaka Huyu mama uchapakazi anao sasa nini unachokitaka ? kikwete wanamuita Dr kwa lipi kwa digirii moja ya heshima sijui...
  5. G

    Natafuta viyatu vya Mitarawanda.

    Viatu hivi unaweza ukavipata Tanga ( bara bara ya kumi ) karibu na msikiti wa ijumaa mara ya mwisho pale Dar niliviona karibu na mtaa wa Aggrey lakini siku ni nyingi sana jaribu kupata mtu wa Tanga ataweza kukutafutia (ni viatu vya mbao tupu na vinatumika kwendea ****** tu !
Back
Top Bottom