Search results

  1. T

    Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio

    Hii haina ukweli huyo unayemsema Dr Mataragio ni Mkurya Toka kanda ya ziwa Mkoa wa Mara Wilaya ya Serengeti
  2. T

    Hii course inahusu nini wakuu?

    Mie nimechaguliwa Muhimbili Environmental health na SUA Agricultural Economics and Agribusiness nikasome kozi ipi wadau?
  3. T

    China kujenga standard gauge reli ya TAZARA

    Nadhani watu wengi humu hawaelewi SGR nini? TAZARA ni SGR walitujengea Wachina miaka hiyo ilianza kujengwa 1969-1976 ambayo ina umbali wa Km 1896 Dar hadi Kapiri Mposhi Zambia. Ndio maana train inaweza kutoka Bandari ya Port Elizabeth South Africa hadi Tanzania bila kubadili mabehewa. Hii reli...
  4. T

    Waziri Mpango: Ubinafsishaji wa Airtel kutoka TTCL, uligubikwa na ukiukwaji mkubwa wa Sheria, Kanuni na Taratibu

    Ahsante mwanahabari wa Ikulu, lakini hao manaibu uliowataja sio manaibu wa Wizara ya Nishati . ni manaibu wa Madini
  5. T

    Je, kutumia trilioni 7 kujenga reli ni kipaumbele sahihi?

    History[edit] As railways developed and expanded, one of the key issues was the track gauge (the distance, or width, between the inner sides of the rails) to be used. The result was the adoption throughout a large part of the world of a "standard gauge" of 1435 mm (4 ft  8 1⁄2 in), allowing...
  6. T

    Je, kutumia trilioni 7 kujenga reli ni kipaumbele sahihi?

    CHOICE Kajifunze zaidi nadhani wewe ndio hujui maana ya standard gauge Railway. SGR ni reli yenye vipimo vya kimataifa ambayo in wagons zenye boogie pana na Locomotive za wheel kubwa. Hii ikiwa na maana treni inaweza kuondoka bandari ya DAR hadi South Africa bila kubadili Mabehewa. lakini reli...
  7. T

    Je, kutumia trilioni 7 kujenga reli ni kipaumbele sahihi?

    Pamoja na hiyo SGR Tanzania tangu mwaka 1975 tunayo standard gauge Railway ambayo tulijengewa na MCHINA hii ni reli ya TAZARA lakini sijui imekuaje matumizi yake yameshuka sana kama tujuavyo TANZAM road hii ina malori mengi je tumejitahidi kiasi gani kuyaondoa hayo malori 500 barabarani. TAZARA...
  8. T

    Kwa ujinga huu ni ndoto Tanzania kuwa 'Super Power' kwenye ukanda wa EAC

    Ndg kusema CDM wameambulia zero inaonyesha ni kiasi gani hujui hata wao wabunge wa EAC wanatakiwa wangapi na wanapatikana vipi. piga ua bado nafasi ya wawakilishi toka CDM lazima wawe wawili. Uhakika wagombea wa CDM walionekana wako competent kuliko wengine wote, cha kushangaza wale wabunge...
  9. T

    Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    Bwana Suguta, sie Hapa TZ hatu- mine Copper tunazungumzia Gold, na utaganisho wa Gold kutoka kwenye madini mengine una process tofauti na hiyo ya Copper unayoingea hapo. Mura vipi kwenu ni Tarime unashindwa kufanya matembezi binafsi na kuuliza Gold inavyochenjuliwa pale Nyamongo
  10. T

    Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    Kusoma Zambia sio tija ujue nini kipo ndani ya migodi yao. Mbona wewe uko TZ wala hata hujui tofauti ya migodi yetu. kwanini Geita Gold Mine na North Mara Gold Mine hawapeleki Mchanga kuchenjuliwa nje, kuna factors nyingi ndani humo sio vitu vya kuongea juu juu.
  11. T

    Copper Smelters around the World - Capacity less or equal to 100,000 tons per year

    Nyie mnaongelea vitu viwili tofauti ktk uchenjuaji. Ule mchanga wenye mabaki ya dhahabu, silver and copper unaweza kuchenjuliwa kwa njia mbili roasting au Oxidation ambapo process hizo ndio lazima uwe na technology ya kisasa Roasting unachoma mchanga kati ya centigrade 750-1200 hivyo inahitaji...
  12. T

    Mkurugenzi wa Uendeshaji ACACIA aeleza sababu za kitaalamu kwanini wanasafirisha mchanga wa dhahabu

    Ahsante kwa maelezo mazuri naona process nzima ya uchimbaji wa dhahabu na kuchenjua. kimsingi hao ACACIA wako sahihi na wanaendana na makubaliano tuliyoafikiana kimkataba. Jambo linguine nililoliona kumbe kwa kila hatua kuna wakaguzi au observers wa serikali TMAA, TRA, Ministry of Minerals etc...
  13. T

    Rais Magufuli amteua Ndg. Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL

    Waziri Kindamba Hajasomea BAF Mzumbe, baada ya Tambaza alienda UK. Katika harakati za maisha na hatimaye akasoma CITY BANKING COLLEGE LONDON. (Diploma in management Banking and Financial Services 2006) affiliated na UNIVERSITY OF LEICESTER UK Mimi tulikuwa naye darasa moja pale London Bridge...
  14. T

    Hizi Ndio Siasa za Bongo-Hata Mtoto Ruksa Tu

    Ndg zangu kisheria hapo Ridhiwani hakupiga kura aliyepiga kura ni huyo mtoto. kama unajua maana ya ku-cast vote in the Ballot box basi hapa ndio unaona Ridhiwani pamoja na kusoma sheria bado analeta mambo ya kitoto kwenye issue ambazo hazihitaji mzaha........kwa picha hiyo ni dhahiri uchaguzi wa...
  15. T

    Je, wajua kuwa kuna uwezekano Tanzania sio nchi halali Kisheria (De Jure) Bali ni De Factor?!

    Kweli Tanzania sio nchi ila ni muungano wa Nchi mbili Tanganyika na Zanzibar. mie huwa nashangaa ifikapo tarehe 9/Desemba kila mwaka tunasherehekea Uhuru, lakini hakuna anayetamka sherehe za Uhuru wa Tanganyika utasikia Uhuru wa Tanzania Bara, hakuna nchi Tanzania Bara au Tanzania iliyopata...
  16. T

    Kwetu pazuri pub Tabata: Wanaharibu maadili ya binti zetu

    Sanene mkabala na kituo cha mafuta cha Camel
  17. T

    Kwetu pazuri pub Tabata: Wanaharibu maadili ya binti zetu

    Pub iko kama unaelekea segerea baada ya Junction ya Bima, maeneo ya sanene opposite na shule ya Tusiime. barabara kuu iendayo Segerea
  18. T

    Kwetu pazuri pub Tabata: Wanaharibu maadili ya binti zetu

    Dada sio under age ni wadada watu wazima, kimsingi sio kosa kwao kuwe[po pub, ili tatizo wana creat usumbufu wa wateja wasiona na interest na biasahara yao
  19. T

    Kwetu pazuri pub Tabata: Wanaharibu maadili ya binti zetu

    Dada poa wamezidi, nadhani mwnye Pub inabidi aweke standards za wateja kama ataona kuna wachafuzi basi awe na mamlaka ya kuondoa wachafuzi hao kwenye pub yake. vinginenyo watamharibia business
Back
Top Bottom