Search results

  1. shrodinger

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    Wadau hebu tupeni ukweli kama Mahanga Kashinda kesi au lah!
  2. shrodinger

    Elections 2010 Breaking News: CCM wanamuandaa KINANA kuwa spika wa bunge

    Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge. Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu...... Jamani tutafika kweli...
  3. shrodinger

    Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

    Nasikia songea Nchimbi mambo magumu, mwenye habari zaidi arushe.....
  4. shrodinger

    Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

    BREAKING NEWS Maswa magharibi, shinyanga mjini, musoma mjini , ubungo, kahama yaenda CHADEMA. More to follow....
  5. shrodinger

    Ni kawaida au???

    Ni mazoea tu, hakuna proof yoyote kwamba ni otherwise!!
  6. shrodinger

    Laughter series: Many reasons to keep you smiling!

    I would never agree with you more! That z just it!!!
Back
Top Bottom