Search results

  1. Ngisibara

    Taasisi ya Moyo (JKCI) yafafanuzi madai ya kuchezea mifumo ya NHIF ili baadhi ya Dawa ionekane hazipo

    Inasikitisha Dr/Mtaalamu anapoongea kisiasa na kusahau kuwa kuna Dr's waliowahi kuwepo hapo yeye alipo Leo na hawezi kuwadanganya chochote kuhusu magonjwa na matibabu yake
  2. Ngisibara

    Sisi Wakazi wa Idrisa Magomeni tunajua rafiki wa Jakaya alikuwa ni Ditopile, Wengine walikuwa ni Marafiki wa Kisiasa!

    Hivi wakati Ditto anamwagia konda risasi Nani alikuwa Rais wetu
  3. Ngisibara

    Hili la Bashe, Makonda yupo Sahihi

    Kweli kupenda ni chongo! Makonda ana makondakonda mengi mpaka Europa wamempiga marukufu kutia pua zake huko Leo wasema watu wanamchukia kwa majungu? You must be crazy.
  4. Ngisibara

    Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

    Sio kama lile lapulapu la Zeruzeru wao
  5. Ngisibara

    Makonda amjibu Waziri Bashe, asema atamhoji sababu yeye ndiye anakitafutia kura chama

    Inabidi wacholewe mstari chini tuone Nani zaidi
  6. Ngisibara

    Tanzania tunaongozwa na Watanzania? Yanayotokea ni bahati mbaya? Asante CDF

    Hao wanapofanya vetting Ni watanzania wazalendo au Ni wachumia tumbo? Haiwezekani kuwa mapandikizi wameingia bila kubebwa na wenyeji kwa malengo maalumu ya binafsi
  7. Ngisibara

    Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

    Tatizo la Makonda Ni wale wanaomwaminisha kuwa anaweza.. Lakini kumsikiliza Makonda Ni kuvuna medali bila jasho
  8. Ngisibara

    Aibu kwa Viongozi: Kurejea kwa Kipindupindu sababu ni Uchafu. Hili la Usafi nalo linamuhitaji Magufuli?

    Kuna wilaya moja IPO huko huko karibu na Kahama imeficha kabisa kuwa ina wagonjwa wa kipindupindu wakati ndugu yangu imebidi atoroke wadini baada ya kuona Hatari iliyopo mbele yake na Leo Ni zaidi ya wiki toka atoroke lakini hawajatangaza au mpaka sample zirudi zikiwa positive ndio watoe tahadhali?
  9. Ngisibara

    SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Sema hata wanasiasa mfano Wassira naye umri wake Una utata.
  10. Ngisibara

    Kama Wewe ni mbunge uliyeingia bungeni kiujanjaujanja Usitapeliwe na CHAWA safari yako inaishia Julai 2025

    Kuna ukweli mkubwa Tu na endapo CCM hawataliona Hilo basi wajiandae kusaga meno
  11. Ngisibara

    Waziri Simbachawene: Rushwa imetapakaa kila kona

    Hamieni Burundi na muwahi kabla ya sensa inayoendelea huko haijafungwa
  12. Ngisibara

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chooni wataenda na magunzi baadae sewage system itaziba na kuhitaji ukarabati mkubwa, Kwanini serikali isipeleke maji mbona Hayati Magufuli aliweza kupeleka maji mbugani kuokoa viboko?
  13. Ngisibara

    Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Wangepima DNA wangekuta ana udugu na huyo Sabaya
  14. Ngisibara

    Ili uweze kupanda Mlima Kilimanjaro andaa Bajeti ya Shilingi 1,700,000

    Huko mlimani mmeweka wadada wakutoa watu baridi?
  15. Ngisibara

    Mameneja watatu ila personality ya Diamond Platnumz inashuka siku hadi siku

    Koffi Alomide ndiye kamfundisha Kuvaa matakataka hivyo lakini tatizo na yeye akachanganya na zake matokeo ndo hayo
  16. Ngisibara

    Anaandika Edo Kumwembe Kuhusu Utambulisho Wa D Voice

    Kwa ufupi hatakiwi kujichanganya popote kwenye tamasha lolote, sherehe wala kuhudhiria mkutano wa ACT bila kuwa na ruhusa ya WCB
  17. Ngisibara

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Kwa ushahidi alioutoa ACP Mgonja kama shahidi namba moja inaonyesha hakuna mahali kamtaja Dr kumchoma marehemu sindano ya sumu na hata majibu toka kwa mkemia wa serikali hayakuonyesha kuwa yale mabaki ya mbavu na funza kuwa na sumu wala Aina yoyote ya dawa ya usingizi na ukirejeaa maswali ya...
Back
Top Bottom