Search results

  1. Dr.adams faida

    Wachezaji wa kibongo nini kinawasibu, tunatamani tuone mafanikio yenu ya kisoka kama hawa wanaopita kwetu

    Wakuu nimekuwa najiuliza kwanini wachezaji wa kibongo bado wanafeli kutusua kucheza mpira nje ya nchi kama mataifa mengine. Kila mwaka hatuuzi mchezaji wa ndani kwenda kucheza nje na ikitokea akaenda hamalizi msimu anarudi kupiga ndondo na tolori combine tunafeli wapi au mnafeli wapi? Simba...
  2. Dr.adams faida

    Mambo haya yamekuwa yakinitokea sana Usiku wa manane..

    Uhali gani waungwana........? Kuna matukio ambayo naamini wengi wetu yamekuwa yakitutokea pengine hatufahamu kitu gani huwa kinaendelea maeneo hayo. Labda nianzie kuwapa background kidogo juu ya matukio ambayo yamekuwa yakinitokea mara kadhaa pengine sijapata ufumbuzi wa majibu yake. Iko...
  3. Dr.adams faida

    Njiwa aliyetumiwa kusafirisha mihadarati hadi gerezani

    Maafisa waligundua kuwa ndege huyo alikuwa amefungiwa mfuko mdogo kwenye mgongo wake uliokuwa na tembe za madawa ya kulevya. Polisi nchini Argentina walimpiga risasi njiwa ambaye alitumiwa kusafirisha mihadarati kwenda gereza moja, kwa mujibu wa mamlaka za gereza. Njiwa huyo alionekana...
  4. Dr.adams faida

    Bunge latoa nafasi moja tu ya kuchangia kwa Wabunge katika miswada mpya ya madini

    Mjadala wa miswada yote mitatu ya kuhalalisha mwendelezo wa wizi wa madini na rasrimali zetu utaanza Bungeni mjini Dodoma hivi punde, ili hali CHADEMA imetakiwa kutoa mbunge (mchangiaji) mmoja tu anayetakiwa kuuwakilisha upande wa upinzani katika kukabiliana na walio wengi kutokea CCM...
  5. Dr.adams faida

    Usilolijua kuhusu Wamaasai

    Kiufupi... Wamasai ni kabila wazawa wa Afrika la watu wahamaji wanaopatikana Kenya na kaskazini Tanzania. Kwa sababu ya mila tofauti zao na mavazi na kuishi karibu na mbuga nyingi za Afrika Mashariki, wao ni miongoni mwa mengi ya makabila yanayojulikana Afrika. Wao wanazungumza mojawapo ya...
  6. Dr.adams faida

    Haya ndio yanayojiri kusherekea sikukuu idd pili kwenu vipi?

    Mtu huyu kafunga mwezi mzima leo anavuruga tope kama burudoza.
  7. Dr.adams faida

    USHUHUDA: Haya ndio maendeleo niliyoyapata kupitia JamiiForums

    Kwanza kabisa nitaaendelea kupiga salute kwa Maxence Melo na cabinet nzima waliokaa wakaleta hii mambo,pamoja na member wote waliojiunga na jukwaa hili. For sure i salute you guys and i wish you well... Nakumbuka nimejiunga jamiiforum tarehe 11 mwezi wa 3 mwaka 2013 hapo awali nilikuwa nje ya...
  8. Dr.adams faida

    Mwenye ufahamu wa jambo hili msaada tafadhali

    Habari za majukumu ndugu zangu? Nimeamua nianzishe uzi huu ilitujifunze kwa wale ambao hatufahamu mambo haya:- Imepita siku kadhaa baada ya ndugu yangu kukamatwa na maaskari kwa kosa la kumshambulia askari ambaye alikuwa doria. Ilikuwaje? Ilikuwa hivi, huyu ndugu yangu mida ya saa 2 usiku...
  9. Dr.adams faida

    Hii ni aibu kwa baadhi ya bongo hebu imagine

    Unachapisha Gazeti leo Kurasa 20,. lakini hakuna mahali popote limeripoti Msiba wa Kitaifa wa Sir George Kahama (Mmoja wa waasisi wa Taifa hili)...ni mwendo wa Propaganda za Kisiasa ktk kurasa zote..halafu unajiita Mzalendo?...Mpigania Nchi? Labda tu niwataarifu Nyinyi baadhi ya Waandishi ni...
  10. Dr.adams faida

    Rose Muhando anasakwa na uongozi wa sober house ya PEDEREF

    Taarifa mbaya ya kusikitisha kutoka kwa staa wa nyimbo za Injili, ROSE MUHANDO zinadai kuwa, mwimbaji huyo anasakwa na uongozi wa Sober House ya Pederef ili waweze kumwokoa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’. Chanzo kilicho karibu na mwanamama huyo ambaye amejijengea jina kubwa kupitia...
  11. Dr.adams faida

    TUCHEZE GAME INAITWA....Last man standing!!

    MASHARTI ……...!! 1. Hakuna matusi! 2. Unaandika sentens kwa kuanza na neno la mwisho la mchangiaji aliyepita...mfano "Mama anapika" kama ww ndiye unafuata unaanza na neno "anapika".....Anapika chakula cha wafungwa......!! mwingine ataanza na neno "wafungwa".......wafungwa wengi wana...
  12. Dr.adams faida

    Mr Blue ndio Nyani Mzee kwenye tsnia ya muziki bongo

    Khery Sameer Rajab a.k.a MR BLUE au KABAYSER ni moja wa Wanamuziki bora kabisa wa muda wote katika Muziki wa kizazi kipya. Tumeshuhudia Wasanii wengi wanaingia kwenye Game na kupotea lakini yeye yupo vilevile...kila nyimbo anayotoa ni Hit! Kuanzia Blue blue..Mapozi..Tabasamu na mpaka leo Mboga...
  13. Dr.adams faida

    Naomba kujibiwa maswali haya kuhusu safari ya Dar es Salaam to Botswana

    Hujambo? Karibu kwenye mjadala mawazo yako ni muhimu sana kwangu na pia naimani na wengine yanaweza kuwasaidia. Mwezi wa 11 mwaka huu nimeamua nichukue likizo yangu ya mwaka,lakini pia likizo yangu hii nataka niitumie vema kutembelea nchi ya botswana. Kwanini nimeamua kuitembelea nchi hii...
  14. Dr.adams faida

    USILOLIJUA KUHUSU KIJIJI CHA "KOLOMIJE"

    Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka)...
  15. Dr.adams faida

    Tuzae tuzae tuzae

    TUZAE...TUZAE....TUZAE. Kuna Article niliwahi kuandika inaitwa "Music's Dying Fall"...halafu nikaandika abt "Bongo Film industry"...hizi Article 2 nilielezea ni wapi tunakwama katika sanaa zote mbili "Filamu na muziki" STEVE ft MAMA WEMA from DAFU RECORDS ambayo ni Audio Part I na Part II...
Back
Top Bottom