Search results

  1. U

    Je, kuna gharama gani nyingine pale bandarini kwa mtu aliyeagiza gari nje?

    Muombe radhi mkuu kwa kumbwatukia wakati wewe ndio hujui. 😡
  2. U

    Waziri Mpango: Ubinafsishaji wa Airtel kutoka TTCL, uligubikwa na ukiukwaji mkubwa wa Sheria, Kanuni na Taratibu

    Watu wa ajabu sana hawa. Raisi kasema ni yetu 100%. Waziri kasema kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, na taratibu. Halafu bado anahalalisha kwamba wanamiliki 60%, wataongea. Kwa taratibu, kanuni na sheria zipi? Waziri hawezi kazi huyu.
  3. U

    TRA yatangaza mnada wa magari yasiyolipiwa ushuru wa forodha bandarini!

    Mkuu, gari za maana kama Range Rover, Mercedes, 4x4, Malori yapo ya kutosha? Tutupie picha na bei kama utaweza Manake inasemekana kuna mengine yamekaa muda mrefu lakini hayatapigwa mnada, kwa sababu za kifisadi. Sikio la kufa halisikii dawa.
  4. U

    Suala la Airtel na TTCL inajulikana tokea 1998, na Serikali iliweka mabilioni na kuua TTCL

    Kwa hiyo asilimia 75% zinamilikiwa na Serikali tayari? Kwa hiyo na mwenye jukumu la ku orodhesha pale DSE ni Serikali?
  5. U

    Niliisema kwa njia ya uwasilishaji tofauti na Vodka mkadharau na uzi mkafuta, sasa balozi anaondoka na vijana CHADEMA

    Mods: ni tatizo pale muanzisha thread anapokuwa na akili kubwa kuliko mods. Wao wakiona kicha kinafanana tu, wanafuta au kuunganisha. Hovyo sana, someni maudhui, kama hamzielewi, msiziguse. Wanaohamama: Hawa hawaelewi mawazo mbadala maana yake ni nini, wameamishwa na JPM kuwa ni ugomvi. Ajabu sana.
  6. U

    Zimbabwe: Rais Robert Mugabe ajiuzulu Urais kabla ya Bunge kumuwajibisha

    Baadhi ya sababu zilizotolewa katika kumng'oa Mugabe ni aliruhusu mkewe a-usurp constitution. Je kwetu mambo yanayofanywa na Bashite na Mkulu, mfano kuvamia studio za watu, au kubambikiza watu madawa ya kulevya. Pia mkulu kujipangia Bajeti na kupiga marufuku mikutano ya kisiasa, kutokulinda...
  7. U

    Rostam Aziz alitakiwa alipe Bn 300, kama Acacia wamepigwa kodi za nyuma hawa matajiri zetu wenyewe vipi?

    Kiufupi, hiyo habari kwenye Guardian juzi ni kwamba kipindi cha Mawasiliano ya simu yanakua kwa kasi jamaa alichuma sana. Kwa makadirio mepesi tu jamaa aliuza hisa zake zote kwa zaidi ya Dollar million 500. Je alitulipa kodi yetu, capital gains nk nk, ambazo ni zaidi ya Bn 300...
  8. U

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Huko CCM ni mnara wa Babeli, na wote tunajua kilichotokea. Kama katibu mkuu anadai kufukuza mtu, wakati mwenezi hana taarifa, maana yake kila mtu na lwake.
  9. U

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Ajabu tupu, ukiwa kilaza nouma, ndio maana inabidi bunduki zitumike kuua hoja
  10. U

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Kinachoshangaza zaidi, ni jinsi hiyo Barua kutoka kwa Bunge inavyosomeka. Bunge linaitetea CCM, litawahi kwa kasi hii kuandika barua kama hii kwa Chadema kweli? Yaani kama vile Bunge na CCM ni taasisi moja, au tuseme wapenzi. Hata kabla CCM haijasema kitu basi Bunge limeshaelewa lugha ya mwili...
  11. U

    Barrick yaweka masharti kulipa Dola milioni 300

    Hicho kitu hakiwezekani. Kwa kusema tutamiliki 16%, ina maana gawio letu ni 16%. Huwezi kudai gawio zaidi. Ukipenda namba jua na hesabu pia.
  12. U

    Barrick yaweka masharti kulipa Dola milioni 300

    Tuangalie vizuri wanachosema Barrick kwenye kugawana 50/50. Yaani, hiyo 50% ya Tanzania ni: Gawio letu 16%, Kodi yetu 30%, na mrahaba wetu 4%. Sasa hapo jipya sana na tunaloshangilia sana ni lipi, au labda mimi ndio mshamba na huwa sipambanui mambo haraka?
  13. U

    Julius Mtatiro: Kwanini Serikali inahusishwa na kushambuliwa kwa mwanasheria Tundu Lissu?

    Hoja za ajabu, kweli kweli hizi. Yaani, mpaka damu inamwagika wewe unaongea mambo ya sidhani kama Serikali inahusika. Ulimsikia maneno aliyoyatoa mkuu kuhusu uvamizi wa Clouds na RC? Alipitisha. Ulimsikia maneno aliyoyatoa mkuu kuhusu Kunyooshewa bastola kwa Nape? Alipitisha. Na mtoa bastola...
  14. U

    Serikali isiache kuhusishwa na Jaribio Dhidi ya Lissu; Ijisafishe!

    Itakuwa vigumu sana mkuu kuaminika kwenye hili. Alifahamu fika kuwa watu wanamuwinda na angehitaji ulinzi. Ukichukulia maneno na matendo yake tu, inaonekana utu, ubinadamu, uhuru na hata uhai ni vitu vya daraja la pili. Anatapa kuwa anasoma taarifa za watu bila ruhusa. Vyombo vya dola...
  15. U

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Jibu hoja mkuu, misuli ya nini tena?
  16. U

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Lissu sio muongo unavyotaka aonekane, ametoa maangalizo ya msingi sana. Hizo MDA kati ya Serikali na Buliyanhulu na Pangea Ltd umeshaziona ujue walikubalina "Rules of the game" ziwe zipi na marefa wawe akina nani? Kama wawekezaji wakigoma kukaa mezani serikali ikiwafukuza, si itabidi ilipe...
  17. U

    Jicho la kisheria: Kumsweka rumande mwananchi kwa amri ya Mkuu wa Mkoa/Wilaya

    Tatizo kubwa mojawapo ni umbumbumbu wa hao wakuu. Hizi sheria sio za kutumia hovyo hovyo tu pale anapojisikia. Kwani kama ni hivyo watu wengi sana wataswekwa ndani kwa mambo ya kipuuzi. Wakati huo huo anatumia muda na rasilimali za Polisi na mahakama ambazo zilitakiwa zipambane na wahalifu kweli...
  18. U

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Barrick anamiliki 63.9%, sio 73.9%. Na hiyo ni controlling stake tosha sana. Acacia na Barrick ndio hao hao. Mwizi akibadili shati, bado ni mwizi tu. Acacia majina wanabadili kila mara, wasikuchanganye.
  19. U

    Lissu: Makampuni yaliyotunyonya tangu 90's hayapo kwenye sheria ya madini

    Limepita, una uhakika? Unaona Acacia wanakokwenda? Update on Developments in Tanzania 04 Jul 2017 Acacia announces that today Notices of Arbitration were served in Tanzania on behalf of Bulyanhulu Gold Mine Limited (“BGML”), the owner of the Bulyanhulu mine, and Pangea Minerals Limited...
Back
Top Bottom