Search results

  1. Zak Malang

    Polisi wetu wana uwezo wa kuonyesha ubabe kuliko kuchunguza matukio ya vifo, utesaji wa raia nk

    Hicho ndicho wanachokijua kwa sababu hakuna haja ya kutumia akili au busara. Lakini inapokuja kuchunguza matukio ya vifo, umwagiaji tindikali, utesaji wa raia na utupiaji mabomu katika mikusanyiko ya watu yanayouwa polisi wetu huwa kaput! Utaalamu wa hayo hawana pamoja kwamba kuna wasomi...
  2. Zak Malang

    Vipi JK hazungumzii ufisadi majukwaani? Kwake mimba za wanafunzi ni tatizo kubwa zaidi ya ufisadi?

    Kwa nini JK akiwa majukwaani au kwenye hafla huwa hazungumzii ufisadi kwa namna ya kukemea na kusema ni tatizo linalohatarisha amani ya nchi? Nakumbuka mara ya mwisho JK kuzungumzia ufisadi ni Bungeni Dodoma, mapoema August 2008 wakati wa suala la wizi wa EPA lilivyoshika kasi. Hata baada ya...
  3. Zak Malang

    Maamuzi ya CDM ni pigo kwa kwa wanaokituhumu chama hicho kwa udini

    Kwa kuwa waliovuliwa nyadhifa ni Muisilamu mmoja na Wakristu wawili, hiyo inaondoa moja kwa moja tuhuma za wale wanaosema CDM ni chama cha udini -- cha Wakristo. Na ndiyo maana hatuwaono humu JF wakitoa tuhuma hizo, kuliko ingelikuwa ni Zitto peke yake ndiyo kafukuzwa.
  4. Zak Malang

    Mbowe - Tangaza viongozi wengine wanaotaka kujitoa wajitoe sasa hivi. Tumechoka na mamluki.

    Nadhani CDM imefikia mahala ambapo inabidi Mwenyekiti Mbowe atoe taarifa kwamba wale wote wanaotaka kujitioa katika uongozi wa chama au kutoka chamani wafanye hivyo sasa hivi ili chama kiendelee na safari smoothly bila kuwapo kwa kunguni na mende wanataabisha wengine kwa kutumiwa.
  5. Zak Malang

    Namkumbuka kamanda Chagonja -- yuko wapi na muvi yake ya bomu la Seweto?

    Namkumbuka kamanda Paul Chagonja - mbona siku hizi simsikii, yuko wapi? na ile muvi yake ya upelelezi wa bonmu la Soweto Arusha kwenye mkutano wa CDM imefikia hatua gani? Mbona muvi imegandishwa kwenye Scene One tu? Yaani hadi sasa hajagundua ni akina nani walitupia lile bomu? Au bado...
  6. Zak Malang

    Kapuya ngoma bado mbiiichiii! Mwenyewe azidi kujikoroga - bora angekaa kimya!

    Kapuya ajikoroga Na Waandishi Wetu SIKU chache baada ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM) kutuhumiwa kumbaka na kutishia kumuua binti mdogo wa miaka 16, kiongozi huyo ameibuka na kutoa utetezi wa kujikanganya. Akizungumza kupitia kwa wakili...
  7. Zak Malang

    CCM waaibika vibaya kule Shinyanga baada ya kufanyiwa uhuni na Chadema

    CCM yachezeshwa shere Shinyanga By Abdallah Khamis KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Adam Ngalawa, juzi alipatwa na fedheha kubwa baada ya Katibu Mwenezi wa CHADEMA, Tawi la Bulyanhulu, Kata ya Kakola, Philemon James, kukataa hadharani mpango wa kununuliwa ili...
  8. Zak Malang

    Yaliyomkuta Kapuya yatawakuta wanasiasa wengi tu wa CCM

    Ukweli ni huo, maana MaCCM sera yao kubwa ni ufisadi na uzinzi tu. Ufisadi ndiyo huwapa jeuri ya pesa na kujiingiza masuala ya uzinzi.
  9. Zak Malang

    Tundu Lissu aibuka shujaa Bungeni: Mapendekezo ya Werema kuwabana wanahabari yatupwa nje

    Ndivyo ilivyokuwa Bungeni leo. Ule muswada wa marekebisho ya sheria mbali mbali (Written Laws Miscellaneous Amendment Bill) umepita lakini bila ya mapendekezo kuhusu kurekebisha vifungu vya Sheria kandamizi (Newspapers Act ya 1976) kwa lengo la kuongeza adhabu kwa wanahabari wanaochapisha habari...
  10. Zak Malang

    Suala la hela za Uswisi linapotoshwa – siyo tena suala la akaunti za kifisadi za vigogo huko Uswisi

    WANAJAMVI: Sasa hivi ni dhahiri kwamba ile issue ya hela za Uswisi imepotoshwa – na yote hii ni kutokana na umbumbumbu wa Watz na usanii wa watendaji wa serikali ya CCM – ambayo kwa suasua yao kwa lengo la kutaka ukweli kamili kutofahamika tangu issue ilipoingia hadharani Juni...
  11. Zak Malang

    Sofia Simba amewahi kupata uongozi kutokana na kura za wananchi?

    WANAJAMVI: Nauliza nipate fahamu iwapo mama huyu aliwahi kuchaguliwa wadhifa wowote wa uongozi na wananchi kwa kupigiwa kura. Kwa mfano aliwahi kupata ubunge wa jimbo? Kama vile Halima Mdee kule Kawe alipovunja rekodi kwa kupata kura zaidi ya laki moja mwaka 2010. Au anaweza kufikisha hata...
  12. Zak Malang

    Kama hata IGP Mwema ni mbumbumbu wa sheria za nchi, basi nchi hii kwisha kazi yake!

    Wanajamvi: (Kenye rangi) Inasikitisha sana, au pengine ni maudhi tu anayofanya huyu shabiki mkubwa wa CCM dhidi ya wapinzani! Na kama yeye pia hajui sheria za nchi, basi sembuse wale wa chini yake? Kipengele gani cha sheria kinasema kwamba polisi wana mamlaka ya kutoa vibali vya maandamano na...
  13. Zak Malang

    Nashindwa kuwaelewa CUF (upande wa Zanzibar) nini hasa wanachokitaka

    WanaJF: Nisaidieni jamani, nashindwa sana kuwaelewa hawa CUF upande wa Zanzibar - ni kitu gani hasa wanachokitaka. Sera yao ni serikali tatu (au muungano wa mkataba, au uhuru kamili). Wiki iliyopita wamepata chama kinachowaunga mkono katika azma hiyo kwa kutoa msukumo mkubwa katika lengo hilo...
  14. Zak Malang

    Werema ajiingiza sakata la Uhuru na Ruto. Kuna nini?

    Wanajamvi: Hebu angalieni stori hii. Jee AG wetu ametumwa nini? Tanzania appeals to Hague for Ruto BY OLIVER MATHENGE, NAIROBI THE Tanzania government wants to be allowed to make submissions in the appeal challenging a decision to allow Deputy President William Ruto to skip part...
  15. Zak Malang

    Sababu ya kuzidii kwa ujambazi, wizi, na maovu mengine katika jeshi la Polisi ni hii hapa.

    Wadau- kama tunavyishuhudia siku hizi polisi wanashindana na raia wa kawaida katika kufanya vitendo vya ujambazi, wizi, mauaji nk nk ingawa wao ndiyo wanatakiwa kulinda raia. Habari za juzi za IGP Mwema, bosi wao mkuu kabisa kuibiwa upanga wa dhahabu unadhihirisha jinsi jeshi letu kuanzia juu...
  16. Zak Malang

    Ni dhahiri CCM wako under great pressure kuhusu katiba

    Kama ulivyomsikia Nduga akitoa povu kwa kushindwa kuficha uCCM wake akiwa kitini, na Wabunge wengi wa CCM wakijadili wapinzani badala ya mada iliyopo mbele yao, ni dhahiri CCM imeshikwa pabaya sana. Bungeni wanalindwa na Kiti. Nje ya bunge wanalindwa na manjagu yao. Bi ya haya CCM ingekuwa...
  17. Zak Malang

    Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuhusu mbinu dhidi ya Polisi

    Kwa kuwa sasa ni dhahiri kabisa kwamba polisi wanatumika na CCM kuidhoofisha CHADEMA kwa kutumia mbinu mbali mbali nawashauri viongozi wa CHADEMA kwamba mara tu baada ya mikutano yao ya hadhara wawe wenyewe wanajipeleka kituo cha polisi kujisalimisha na kuuliza iwapo kuna makosa yoyote...
  18. Zak Malang

    Huduma za Western Union money transfer zime-collapse hapa nchini.

    Ndivyo nilivyoambiwa leo asubuhi katika tawi la benki moja hapa Dar nilipotaka kutoa pesa nilizotumiwa kutoka nje. Nikaambiwa kwamba mtambo unatengenezwa -- hadi kesho ndiyo huduma itapatikana.
  19. Zak Malang

    Rais Kikwete hotuba ya safarii hii mwisho wa mwezi zungumzia Madawa ya kulevya na Ufisadi

    Ujumbe ndiyo huo, JK angalau ajitutumue safari hii katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi azungumzie suala la madawa ya kulwvya yanyoichafua nchi. Sambamba na hilo azungumzie ufisadi ambao pia unaitesa nchi. sijui kama ataweza? Ninachokijua atazungumzia tu issue ya tindikali hasa kutokana na...
  20. Zak Malang

    VODA bado kabisa - haijarudi kisawasawa

    Pamoja na kutangaziwa juzi kuwa mtambo wa Voda tayari umerekebishwa lakini hali haijarudi sawasa. Mara nyingine call hazipatikani, MSM zachelewa kuwa transmitted na hata kuuliza salio inakuwa vigumu. Kulikoni?
Back
Top Bottom