Search results

  1. I

    Toyota verossa vs toyota avensis ipi nzuri?

    Verossa bora Kilima avens is
  2. I

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Jamaniiii naomba niulize tu kiukwelii, hivi haya madudu Hayaaa either ya CCM au viongozi we nchi yameanza kipindi hiki cha kikwete au?
  3. I

    Elections 2010 Siwezi kushangilia ushindi wa zitto, ila umenipa hofu

    Huu ni uswahili na chuki za kinafki kaka, ukumbuke Chadema ilipotokea, vuta kumbukumbu usiwe unaropoka tu mkuu, ni huyu huyu Zitto Kabwe ndio aliyeanza kutufungua sis masikio mpaka leo hii Chadema imefikia hatua hii, Fikiri kabla ya kuropoka.
  4. I

    Nafasi za kaz chuo cha mweka

    Ahsante kaka
  5. I

    Uso kwa uso na mkewe katika harakati za kuatafuta kimwana

    tehehehe tihihihi teheehehehe!!!!!!!!!!!
  6. I

    Masaibu ya mabossi

    Pole dada
  7. I

    Table of content

    Nashukuru saana kaka, kwani nimefaidika ni mimi nilikuwa naandaa proposal, japokuwa sikuwa nimeomba, ila imenisaidia, na inaonyesha ni rahisi mnooo, Daah, ahasante sana kaka.
  8. I

    Sheikh Yahya na mamilioni ya TBC1

    Kakobe mchawi kila mtu anajua hapa bongo, Lwakatare, and many others who are running churches.
  9. I

    Gari

    Mi nadhani labda pikipiki utapata mpya kabisa na guarantee ya miezi nane
  10. I

    Bloggers waendeleza kejeli kwa Rais Kikwete

    Daaaaaaah dada Asha, kweli uan hasira
  11. I

    Haya wakware nichangamkie au vipi? naomba msaada

    Ni kweli kaka Kilema, tena matapeli wakubwa, ukimwomba picha anakutumia unamwona very sex and beaitiful woman, then ndio nakuja na hizo gea kwamba anaishi camp kwa Pastor, miye yamenikuta ila nikashtuka katikati, ukitaka kuamini mwombe tu picha yake then utaona alivyo mrembo kuliko yeyote hapa...
  12. I

    Wanaume mnaowaibia wake zenu mnajisikiaje??

    Daaaah, hiiiiii kali!!!!!!!
  13. I

    Nimegoma....

    Huwezi kujua huyo mwanamke ni mzuri kiasi gani, anavutia kiasi gani, kiasi cha kuona wivu akireact kwa ukali zaidi huenda akamkosa. Pia huweziu kujua anampenda sana kiasi gani huyo mwanamke. We unajua kuna wanawake wengine ukimwangalia tu, yaani daaah,
  14. I

    Mbunge wa Ruangwa Lindi afariki dunia

    Innaa lil-laahi wainnaa ilayhi rajiu-un
  15. I

    Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden

    Ila hata mkibadilisha majina of course ni walewale tu, na hata hizo order nyingi zinaanzia hukoo, then huku kwetu tunafuata mkumbo, ila ni hatari nyumba za ibada hufikia hii hatua, aisee hatari saana.
  16. I

    Barrick Strengthens Management Team for Tanzania

    Let us wait for the implementation of change for the new management.
  17. I

    Nawatakia EID Mubarak

    Alhamdulullaah, nadhani imekuwa ni historia katika uislam, kufunga pamoja na kula Eid pamoja, huu ni muunganiko alioupanga Mwenyezimungu
  18. I

    Bank of Tanzania (BOT) - Vacancies! !

    Jamani kama huna cha kuandika si bora usome tu habari, Hizo nafasi za BOT ni za tokea mwezi wa sita. ukiongeza wiki 2 za kuexpire ni imeshapita, sasa wewe unaweka leo hapa watu wafanyeje? Be serious
Back
Top Bottom