Search results

  1. S

    Magufuli, Jiuzulu kwa hiari yako

    Sasa kama Mwenyezi Mungu yupo pamoja na Magufuli, je WTZ hawapo pamoja na M. Mungu?
  2. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Darsa naona linaendelea. Shule zimefungwa sasa hivi, kwa hiyo ninao muda mwingi wa kusoma hii historia yetu iliyofichwa kwa makusudi. Naomba Sheikh Mohammed uendelee kutupa knowledge zaidi.
  3. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Kama ukisoma article zangu utaona hizo business ninazozisema. Also, Serikali haina haja ya kuown hizo 40/50 percent, zinaweza zikawa zinamilikiwa ktk private sectors. Lakini siyo ktk religion institutions ambazo haziingizi serikali mapato yoyote zaidi ya kutegemea ruzuku kutoka serikalini.
  4. S

    Kwakuwa kizazi chetu kimeshindwa... Tuwekeze katika kizazi kijacho!

    Umeandika article nzuri. Sema kuna issue moja ambayo inabidi uifanunue zaidi. Umesema watu weusi wa Marekani hawatumii benefit ambazo wanazipata kutoka serikali yao, je una argue kwamba besides other factors, race ya kuwa black pia ni issue inayosababisha umaskini?
  5. S

    Ulaya waomba investments africa !!!! Du..

    Good point. Siyo Ureno peke yao, inaonekana ni nchi za West zote. Sasa hivi Marekani. Unajua zamani hii debt ya Marekani ilikuwa haipo kwa sababu Marekani alikuwa anatumia sera za Imperialism zaidi ambazo zina ukandamizaji kwa nchi kama hizi za third world. Chukulia mfano deni alilokuwa nalo...
  6. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Ngongo, Issue inayojitokeza si ya ufanisi au comparison kati ya Waislamu na Wakristo. Issue ninayozungumzia ni growth ya nchi inayotokana na mapato. Chukulia mfano, sera za Ujamaa tulizokuwa nazo baada ya Uhuru. Moja ya masharti ya kubadilisha mfumo huo wa Ujamaa to market economy ilikuwa ni...
  7. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Je kama dini zote za TZ Wapagani, Wakristo, Waislamu, Wahindu, nk, wakiwa na biashara ambazo zinacontrol asilimia 60 au 50 ya uchumi wa nchi, je Serikali itajiendesha vipi? bila ya kukusanya kodi??
  8. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    TZ ni nchi changa ambayo haina pato kubwa sana linalotoka ktk rasilimali kama vile natural resources. TZ inategemea misaada zaidi. Kuendelea kwa TZ kutategemea ufanisi wa ukusanyaji kodi. Sasa kama Kanisa lina control uchumi wa nchi nani atakaelipa kodi kuendesha serikali? Hii Monopoly ya...
  9. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    True. Lakini tuangalie faida na madhara yake. Unajua secular system imeanza kutumika baada ya mifumo ya Kidini ilishindwa kuleta amani ktk nchi ambazo zinawafuasi wa dini, au madhehebu tofauti, na wale wasiokuwa na dini kabisa. Sasa kwa nini sisi TZ tunafanya yale ambayo yalishindwa ktk nchi...
  10. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Acha jazba. Zungumza kiuchumi, tuangalie benefit na athari za mashirika ya dini yanapokuwa yanacontroll uchumi wa nchi.
  11. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Ni true. Hiyo issue ya viongozi ndiyo inayoyasababisha nchi yetu kuwa na maamuzi ya kijinga. Sema hii issue ya Monopoly ya Kanisa ktk kila sector ni kubwa sana na ina madhara kwa kila MTZ. Kwanza, kuna issue ya Monopoly ambayo itapunguza kuongeza ufanisi ktk sector nyingi sana za biashara...
  12. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Tatizo siyo kufanya biashara bila ya mpinzani. Tatizo ni kwamba unashindana na mashirika ambayo hayalipi kodi; lakini yanafanya biashara kama mtu mwingine ambaye analipa kodi. Huoni kama hili tatizo? Unajua tatizo litakapotokea baadaya kama haya mashirika ya dini yatakuwa monopoly ktk sector...
  13. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    Hapo umeongea vizuri. Unajua TZ Ujamaa ulishindwa siku nyingi sana. Najua Kanisa lina dhumuni zuri la kuleta maisha bora kwa WTZ; lakini haya mambo ya biashara si vizuri kwa Kanisa kujiingiza. Also, serikali itakuwa haipati faida kwa sababu Kanisa halilipi kodi. Sasa huu mzigo wa kodi...
  14. S

    Monopoly and Expansion za Kanisa ni Tishio kwa Nchi

    I'm Businessman-sipendi kuona monopoly ktk kila sector ya biashara ambayo itanifanya niogope kuinvest. Now- monopoly ya Kanisa? Kanisa sasa hivi limejiingiza ktk mpango maalum wa kufanya biashara ya elimu, umeme!! nk. Vyuo vya Kanisa St. vimejaa kibao!! Hivi tupo ktk karne ya 18? Threat...
  15. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Allah Akbar Kazi nzuri MS. Endelea kutuelezea historia, tupo tunasoma.
  16. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    Recent study conducted by G.A. Malekela, a Christian Professor in the Faculty of Education at the University of Dar es Salaam, stated that in the government Secondary schools in Tanganyika in 1983, Christians were 78% and all non-Christians were only 22%. Christians are clearly over represented...
  17. S

    Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

    To many uninformed people, Nyerere is a public defender of secularism in the ruling Party and the government. But his secret meetings with Church leadership is quite the opposite. In his confidential conversation on August 2, 1970, with Rev. Robert Rweyemaum, the then Secretary General of...
  18. S

    Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

    Huyo ndiyo MJAMAA Nyerere alivyofeli, lakini kuna la watu linaendelea kumshangilia Dictactor
  19. S

    Video: Nyerere akiri alikuwa Dictator

    Maneno ya Dictator Nyerere mwenyewe. Length 54: Films On Demand - View Playlist
  20. S

    "Dikteta" Nyerere alipotua White House in a State Visit 1963 [VIDEO]

    Naona wafuasi wa Dictator Nyerere washaanza kampeni zao za kumtukuza Dictator
Back
Top Bottom