Search results

  1. Obhusegwe

    Credibility check: Enhance Auto

    Thanks kwa ushauri
  2. Obhusegwe

    Credibility check: Enhance Auto

    Wakuu, habari ya mei mosi? Naomba msaada kama kuna mtu alishawahi kununua gari kutoka kwa hawa jamaa wanaitwa enhance auto: Japanese Used Cars Exporter Enhance Auto Kuna gari nimeliona kwao nataka nilifatilie sasa nisije nikalizwa bila kuuliza. Ahsanteni kwa msaada
  3. Obhusegwe

    10 things not to buy in 2014

    Kwani netflix na hulu zishaanza kupatikana bongo?
  4. Obhusegwe

    Should You Run the AC or Open Windows ili u okoe mafuta?

    Ukweli ni kwamba A inakula wese sana W washa kama una mafuta ya kutosha, kama huna usijidanganye na mmboya drau bra bra hapo juu
  5. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Ahsante sana wakubwa, nimeshapata
  6. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Imetembea muda gani hapa Tz?
  7. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Hi wana-JF Nahitaji gari, Toyota Vitz yenye specifications zifuatazo: 5 doors Automatic Transmission Less than 80,000km Should be in mint condition Color: Silver or Black Offer: TZS: 5,000,000 Mwenye nayo ani-PM au call 0767535989. Thanks
  8. Obhusegwe

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Dah, Badala ya kujadiliana tunaanza kutunishiana misuli. Kuonyeshana nani ana akili zaidi ya mwenzake. Hili nalo ni tatizo
  9. Obhusegwe

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hatuwezi kuona faida ya wasomi kama serikali itaendelea kudhibiti uhuru na uwezo wa wasomi kutumia akili zao. Jiulize: 1. Ni fedha kiasi gani za research zinatengwa serikalini? 2. Ni research findings na reccomendations ngapi zinachukuliwa serious na kuwa funded na serikali? 3. Kwa nini wakuu...
  10. Obhusegwe

    Msaada - Gari yangu inakula sana mafuta

    Acha hizo. Hiyo ni kawaida. Mi mwenyewe nasukuma zote mannual na automatic na nikiingia auto kushoto breki kulia mafuta. It plays so well. Haya mambo ua hamisha hamisha mi siyawezi
  11. Obhusegwe

    Nyumba ya kupanga tegeta/boko

    Mkuu, ninayo nyumba iko Bahari beach tuwasiliane 0767535989
  12. Obhusegwe

    Kitchen Cabinets, wapi naweza kupata designer mzuri?

    Hi wana JF Nahitaji mtaalam au kampuni ya kudesign na kutengeneza cabinets za jikoni. Awe ana kazi halisi alizowahi kufanya, au samples kwny duka/workshop/show room yake. Kama ana picha, basi ziwe halisi alizopiga mwenyewe na si za magazetini. If you know one, please nijulishe. Namba yangu ni...
  13. Obhusegwe

    Inahitajika: Toyota Noah 2003 model

    Inahitajika Toyota Noah 2003 model Color: Iwe Silver Mileage: Isizidi 120,000 Gari liwe katika hali nzuri Budget: 10-11 million TZS Kama unayo ni-PM tufanye biashara. Simu 0767000641
  14. Obhusegwe

    New 2003 noah for sale

    Nimeku-PM, tuongee biashara
  15. Obhusegwe

    Nafasi za kazi International Rescue Committee - Tanzania

    Hi JF members! My friend who is an international recruiter has asked my reccomendations for below job opporturnities. You can contact me (through PM) if you want personal reccomendations or e mail your CV directly to molly.abbott@rescue.org • Project Director...
  16. Obhusegwe

    Mbwa anahitajika

    Ahsante sana wote ambao mmesoma uzi wangu na wengine tumeshaanza kuwasiliana ili kukamilisha biashara. Thanks JF for this platform. Ahsante mkuu snotchet, ila kwa sababu nipo Dar itakuwa vigumu kumchukua Arusha, so ningependelea nipate wa hapa hapa dar. I hope nitaweza kumpata through this forum
  17. Obhusegwe

    Mbwa anahitajika

    Hello wadau. Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let me know. Haijalishi ni aina gani, la muhimu awe trained vizuri. PM me au reply kwenye thread ni jinsi...
  18. Obhusegwe

    For Sale: Hp Pavillion dm4 laptop, HP Pavillion G6 laptop, iPad 2

    Still up for sale: Brand new HP Pavillion G6. Details above. Contact 0767535989
  19. Obhusegwe

    For Sale: Hp Pavillion dm4 laptop, HP Pavillion G6 laptop, iPad 2

    Kaka, bei nimeandika kwenye tangazo. TZS 1,000,000
Back
Top Bottom