Search results

  1. E

    NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

    Hivi Ni Nandy yupi alikuwaga na Ruge butahaba? Kuna Dada anaitwa Nandy walimsemaga sana kwamba ameathirika sijui ni yupi niambieni jamani ohh! Hizi Raha wacha tule tuendelee kumeza dawa wa kufuata masharti. Kazi iendelee
  2. E

    Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

    Mbinguni madukani
  3. E

    Hatari za kuchelewa kuoa

    Sijawahi kusikia MTU amekufa eti kisa hajaoa au hajaolewa au hajazaa. Tafuta pesa ujinga uishe
  4. E

    Hatari za kuchelewa kuoa

    Siku zote nakufagilia sana kwenye topic zako lakini Leo umeandika ujinga tu. Kuoa na kuolewa sio maisha na wala sio maono. Kwa maisha ya sasa hutakiwi kuoa mapema kama zamani. Siku hizi kuoa ni miaka 35 kuendelea hata 40 ni umri mzuri sana wa kijana kuoa kwani atakuwa ameshawekeza na pia akili...
  5. E

    Msaada kuhusu volunteers

    Wageni kutoka nje ya nchi
  6. E

    Msaada kuhusu volunteers

    Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi zinahitajika na document zipi zinatakiwa kwa kupata usajili . asanteni
  7. E

    ARUSHA : Wanafunzi watengeneza gari linalotumia 'Solar' lenye uwezo wa kutembea Kilomita 160

    UDSM wanahusikaje hapo? Kwani wao ndio wamebuni? Basi tuwaite Arusha technical waje kumalizia
  8. E

    Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama

    Kanisa lipo sahihi kabisa hata kufukuzwa ni sawa tu . huko ni kutangatanga kiimani na kunajis kanisa. Hawa wanaweza kuleta mapepokanisani na kuwaambukiza wengine.pia ni wapotoshaji wataliharibu kanisa. Kwakweli waungame na kutubu wamekosea sana. Katoliki hawafumbii macho uchafu kama vipi hao...
  9. E

    Tetesi: Uhamiaji ARUSHA mchunguzeni huyu mzungu anaitwa ERNESTO BRUNI

    Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school . (Zamani iliitwa SAMENA SCHOOL Tatizo ni kwamba huyu mzungu amefungua shule kwa jina la girl friend wake anayeitwa Victoria...
  10. E

    TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

    Amepigwa na mumewe na kukanyagwa kifua hivyo akapata internal bleeding ndio kifo chake kimekuja kwa njia hii . rest in peace
  11. E

    Baraza la Madaktari Tanzania(MCT) limchunguze Dr Omary wa Hospitali ya Selian Arusha ALMC

    Kuajiriwa muhimbili ni sawa kwakuwa madaktari wengi wanafanyaga part time tofauti na ajira ya kudumu serikakini. Ujue muhimbili huyu ni daktari wao wa kudumu lakini selian ni ya MTU binafsi hivyo akiajiriwa temporary au partime ni sawa . soma sheria za ajira vizuri ujue mshahara wake unatoka...
  12. E

    Serikali iwachukulie hatua hawa Maaskofu wa KKKT kwa kuleta fujo katika Jamii ya waumini

    Kinachowaponza hawa maaskofu ni kuingilia siasa badala ya kuhubiri injili.
  13. E

    Dayosisi ya Konde KKKT kutawanyika?

    Tatizo sio huko monde tu hata kule dayosisi ya kaskazini ni shida tupu mkuu nilienda kusali kanisa LA Ilboru nikakutana na tangazo kwamba kuna Mchungaji anaitwa Philemon ameandika barua ya kuacha Mchungaji na amefungua kanisa lake analiita tawi LA Kkkt . hivyo waumini wao wametangaziwa kwamba...
  14. E

    Inawezekanaje shule iliyoanzishwa kuwasaidia yatima na wasiojiweza idaiwe leseni?

    Punguza hasira nikueleweshe. Hakuna mradi usiokuwa na fursa ndani yake. Hivi vituo vyote vya watoto yatima ni lazima serikali ifuatilie kwa karibu sana kuhakikisha wanalipa kodi na leseni zao zifuatiliwe sana kwa malipo . Ninachokijua Mimi ni kwamba Wazungu au wafadhili wanafungua vituo hivi...
  15. E

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Mkuu pole sana kwa taarifa yako hao watoto sio miaka 4 kama unavyosema hao ni watoto wa miaka miwili na nusu hadi mitatu na minne na walipaswa kupelekwa kwenye day care lakini wanapelekwa mashuleni wakafundishwe. Wazazi wa siku hizi hawana akili hawajali tena usalama wala lishe bora kwa mtoto...
  16. E

    Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

    Hapa nimegundua tajiri namba moja ni mwakasege kwasababu yeye ni mwalimu anawafundisha umati wa watu uchumi halafu wanarudi makanisani kwao . yeye hajamiliki kanisa kwahiyo hajikusanyii sadaka za watu. Hawa wengine wote ni chumba ulete makanisa na sadaka zote ni Mali yao ndio maana wafuasi wao...
  17. E

    Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

    Sio kila MTU anakula Nyama ya kondoo wengine wana aleji wanapata majipu. Nashauri wauze hiyo mifugo waweke hiyo pesa kwenye account ya shule inunuliwe maharage na Michele na mafuta watoto wapikiwe
Back
Top Bottom