Search results

  1. B

    Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

    Kinachotakiwa wamuandikie barua waziri mwenye dhamana au Waziri Mkuu wamuombe atume vyombo vya dola Kama PCCB na pia kutumia wataalam Kama NBAA na kamati maalumu ili wachunguze na kuja na report maalumu na mapendekezo kwa Waziri. Kumbuka Rais alianzisha time ya kufuatulia Mali za BAKWATA...
  2. B

    RC Makonda rudisha Coaster barabara za mwendo kasi

    Kwa ufupi aruhusu daldala kuwa mwendo kasi ila mapato wachukue went daladala
  3. B

    Wizara ya Afya yasambaza vifaa kinga ili kukabiliana na janga la Coronavirus

    Ee Mungu uturehemu. Kuna haja ya kuacha kupanic na kutuliza akili tujipange upya. At any one standard hivi vifaa vilitakiwa kupelekea sehemu moja au at most mbili ili impact ionekane wakati tunajipanga kwa sehemu zingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    Timeline Corona

    Najaribu kupanga timeline events kama zile ziliziyojea kabla ya Vita ya kwanza ya dunia Mpaka sasa nina matukio mfungano manne 1. Kutokea kwa homa ya mapafu na kusambaa kwa kasi 2. Corona yatangazwa kuwa Janga la Dunia 3. Watu waamriwa kukaa ndani ndo mtindo wa nchi nyingi duniani Biashara...
  5. B

    WHO: Mlipuko wa Virusi vya Corona unazidi kushika kasi duniani

    Hawa WHO nao wamepanic. Ina maana hawajui hizo hesabu ni unrelated. Kwani kujua impact ya ongezeko inabidi utumie same scenario same sample size same population
  6. B

    Majibizano ya risasi kwa dakika 35: Ina maana Polisi wamefundishwa kuzima risasi na kuzikwepa?

    Polisi wanakuwa na option nyingi za kuhamia Jambazi hana. wakienda kwenye angle ambayo hajui wao wanajua yeye yupo pale plae. Pia Jambazi hajui polisi wameongezeka kiasi gani kiasi kwamba hata kama akiua wangapi uwezekano wa yeye kutondoka akiwa hai ndani ya kichwa chake haupo. Polisi wanaweza...
  7. B

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    sometime kukamilisha fomalities, sometime wanamaanisha. Mfano jaribu kuuliza minada yao ya magari, most case wanauziana wao kwa wao ila wanatangaza minada, why? ku-comply na policies na matakwa ya wafadhili na audit requirement. but at the end wanafanya tofauti. Ila documentation zao...
  8. B

    Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Red cross ni wababe na wamafia kama hujui. wanatangaza credential kuubwaa halafu wanaleta watu ambao hata kwenye interview wanaweza wasiitwe na very low qualified. Istoshe ukienda kinyume na matakwa ya wakubwa at any time unapigwa chini
  9. B

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    The Sheriff, Kuwa chini ya ulinzi maana yake ni kuswekwa ndani. Hao Tanzania Daima nao wachunguzwe
  10. B

    Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Nimeshangaa sana kuona makombora ya Iran yamewezaje kupenya defence system za Marekani haijalishi hayajaua mtu lakini kitendo cha kupenya defence system kimewashangaza sana hata wao wenyewe
  11. B

    Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

    Dawa za Ukimwi zinatolewa palepale wanapopima nadhani kuepusha unyanyapaa kutoka kwa wateja wengine. Maana nimeona kwa macho yangu kilichotokea
  12. B

    Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

    Nimepima kuona kama nina maambukizi ya VVU. mara ya mwisho nimepima mwaka 2000. Nimekuwa na shauku ya kupima tangu 2012 lakini naogopa. Mwaka huu nimejilipua hospitali mbili tofauti one day. nimeanzia mwanayamara nikapewa majibu nikaenda mnazi mmoja same day. Wakati nipo Mwananyamara...
  13. B

    Mgodi wa dhahabu wa wajerumani uliosahaulika

    Ukishasikia maeneo maalum ya nchi unatakiwa kujiongeza kujua ni maeneo ya nani hao...
  14. B

    Mgodi wa dhahabu wa wajerumani uliosahaulika

    Wajerumani waliweka mazindiko mabaya sana kwenye migodi yao yote. ukitaka kufa nenda kichwa kichwa kwenye migodi iliyoachwa na wajerumani. kuna manahala walikuja wakakuta mahali ulipo mgodi kumebadilishwa kuwa eneo maalum la nchi. wakashindwa kuingia ikabidi wamshirikishe jamaa mmojawapo wa...
  15. B

    Ifahamu Itifaki ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AFCHPR)

    Wataalamu wa sheria tunaomba uchambuzi wa kina tujue hii kitu na uhalisia wake katika kutekelezeka === PROTOCOL TO THE AFRICAN CHARTER ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS ON THE ESTABLISHMENTOF AN AFRICAN COURT ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS The Member States of the Organization of African Unity...
  16. B

    Uvumbuzi wa Isaac Newton Uliosahaulika

    Pia inasemekana mwisho mwa maisha yake alikuwa anajifunza elimu ya uganga na unajimu (Astrology) ili kujua Astronomical science
  17. B

    Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

    sikutaka kureply lakini nimeshindwa kuvumilia. ukidhania yeye anakula na wewe ndo ule huo ni ujinga. wao wanaanza kwa kumeza disinfectant kwa hiyo hata akila hapati madhala. Kuna jamaa aliibiwa pikipiki yangu . jamaa alipuliza kemikali chumbani akaingia na yule dereva boda boda amlipe akamwambia...
  18. B

    Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Vitu vinginge ni Ujinga tu. kwa nini tusiifungulie serikali ya Canada mashtaka elsewhere. wewe nimekupa hela nitengenezee ndege.. Haya kabla hajunikabidhi hiyo ndege unawezaje kusema ndege yangu? na makabidhiano lazima yawe kwenye uwanja wangu wa ndege nyumbani. hivi wanashindwa kuingiza...
  19. B

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Hivi amesajiliwa na body ya uhasibu???
Back
Top Bottom