Search results

  1. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    umekula kwanza leo? Acha kelele njoo nikununulie bia.
  2. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Shida hajui hata JD ni nin? Hajawahi hata kunywa
  3. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Hichi kiwanja kishaingia PT,wacha nibadilishe chaka
  4. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Mkuu mlainishie,hajui hata JD ni nini... Jack Daniel...hizi ni za wanaume tu... Lite kunyweni na dada zenu
  5. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Naam,naam... Nina Imani hii bendera inapepea kutoka mkoani.
  6. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Kwani kuna sehem nimempangia mtu anywe bia gani? Hilo bichwa lako ni mzigo
  7. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Mpaka nimeona aibu mimi, Imebidi nimjibu ki ustarabu kabisa
  8. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Achana nazo,kama umezoea lager,hazileweshi
  9. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Sengeti lager zipo chupa ndogo pia.hata safar
  10. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Nikuagizie lite ngap?
  11. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Nikujibu kistaarabu kabisa bila mihemko... Hizo sehem nilizokutaji na ukitaka nikutaji zaidi na nikupe uthibitisho wa Menu zao...siongopi huku bia moja buku 10.
  12. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Yah!hio bia nailewa sana [emoji38] Sema huku hamna.. Gonga banana
  13. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Kinondoni kwema?
  14. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Hennessy ni cognac, Jagermaster ni liquor, Sasa mbona mimi nazungumzia lite mkuu..
  15. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Naona unaelezea sifa zako... Anyway njoo mkoani,tunakunywa lager hapa.
  16. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Dar es salaam mmezoea kufumuliwa marinda, Hamuwezi kujibu hoja bila kutaja mnavyofanywa.
  17. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Mshamba wewe ujatembea, Kae Beach, six degrees, full moon party, ratatuu, na Viwanja kibao..lager buku 10...ni kawaida..wanaojua watakwambia.. Tembea uone ngedere we.
  18. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Unalialia nini sasa?si ujikaze. Jibu mapigo. Dar es salaam tabu kweli
  19. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Sawa nimekubali,sikupangii, Ila tukikaa wanaume tunakunywa bia...usisogee
  20. Aventus

    Mwanaume unakunywaje lite?

    Jikaze... Uko wapi vile? Kinondoni ama sinza?
Back
Top Bottom