Search results

  1. N

    Msaada jamani jinsi ya kufanya conference/merge calls kwa laini iliyozuiwa

    Nina laini ya halotel ambayo wamelock conference/merge calls. Kw yeyote anaejua jinsi ya kutoa msaada tafadhari.
  2. N

    Vilabu vya EPL kukutana leo

    Leo majira ya 13:30 Kwa muda wa huku kwetu, vilabu vya Ligi Kuu ya uingereza vinatarajia kufanya kikao kingne kwa njia ya video. Huu ni mwendelezo wa vikao vngne ambavyo vimefanyika huko nyuma. Miongoni mwa vitu vitakavyo jadiliwa ni pamoja na namna ya kuumaliza msimu wa ligi wa mwaka...
  3. N

    MSAADA: Kuhusu Mimba

    Nataka kujua utachukua muda gan Kwa mtoto kuanza kucheza tumboni. Maana kuna mwanamke hapa inaenda wik ya 20 ya ujauzito lakn bado Hakuna movement yoyote. Ushauri unahtajka tafadhar na km kuna Tatzo pia mseme. Natanguriza shukrani.
  4. N

    MSAADA: Jinsi ya kuunganisha visa card na google playstore

    Ninakwama kuunganisha visa card yangu na Google play store ili niweze kufanya baadhi ya payments. Km kuna mtu anaejua, msaada please.
  5. N

    Msaada: Solar panel na Power bank

    Nipo dar kwa sasa, nina hitaji solar panel pamoja na power bank kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani. Km kuna mtu anaweza kusaidia upatikanaji wake tafadhari naomba msaada.
  6. N

    Msaada: Jinsi ya kupata umeme kwa kutumia diesel engine

    Nipo vijijini huku na hakuna umeme ila nafikiria ni jinsi gani naweza pata umeme kwa kutumia hii diesel engine ya mashine ya kusagia. naomba msaada kwa anaefahamu.
  7. N

    Solar Panel inahitajika

    Kwa sasa nipo Tarime, nahitaji Solar Panel kwa ajili ya matumizi ya kawaida kama lighting, radio, na ku charge simu. Naomba kwa wauzaji wa Mwanza, hii ni fursa kwani kuna demand kubwa sana.
  8. N

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam wamefariki katika ajali ya basi la Majinjah

    Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea jana. Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen!
  9. N

    Naomba ushauri kuhusu solar panel ?

    Habar jaman wana jf. Nina hitaj solar panel nzur na jins ya kuinstall. Kama kuna m2 ashawahi kununua please give me a technical advice.
  10. N

    msaada

    jinsi ya kulipia v2 mbalmbal online
  11. N

    Hellow

    habari wananf. Mi mgeni huku plz naomba ushirikiano wenu
  12. N

    Betting station

    habari wanajf msada wa betting station yoyote mwanza. kwa anaye fahamu
Back
Top Bottom