Search results

  1. N

    Nilikutana na mzungu asiye na hela kwenye "Dating app"

    Watu wakuda sana. Na hawajalazimishwa kusoma huu uzi ila wanakazana kuleta mihemuko. Mtu akiona huu uzi hauelewi apite kushoto sio kuleta makasiriko ya kingese hapa.
  2. N

    Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Umeanza vizur lkn naona km una haribu ss. Acha kutuchafua watu wa kutoka Mara. Mara kuna makabila mengi ebu kuwa specific ni watu gan wanafny ivo. Usipende kutumia generalization
  3. N

    Naomba kufahamu hatua za kuchukua pesa zangu NSSF

    Hii imekaaje mkuu. Tufungue macho tupo wengi wenye kuhitaji hii.
  4. N

    Hivi wale vijana watano wa Kariakoo walipatikana?

    Wanadamu tumeumbwa kusahau.
  5. N

    K Vant na tatizo la kusahau

    Sio Jack Daniel tu. Ni karibia whiskey zote.hazina hangover. Jaribu GRANT'S pia utanishukuru
  6. N

    Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

    Nyagi hamna kitu. Haileweshi kbs
  7. N

    Mwanaume gani hujawai hata kutoka nje ya nchi?

    Utoto unakusumbua. Kuna uhusiano gani katika ya kua mwanaume na kutoka nje ya nchi? Au kumiliki passport.?
  8. N

    Ijue Kirumba jijini Mwanza kwa maandishi

    Mkuu viwanja gani vipya vizuri kwa sasa mwanza.?
  9. N

    Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Nakuja kisasa shely apo. Tukaribishane bas
  10. N

    Mbaroni kwa kumkamata, kumshambulia na kusambaza picha za utupu za waliyemfumania

    Lkn sio poa. Jamaa wamempiga sana. Hakukuwa na haja kwa sabb wao wanajua nn wanafanya. Lkn mwanamke ni mzuri.
  11. N

    Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Kuto kuoa kwake haimaanishi kwmb yy ni mpiga nyeto. Yy ni HIT AND RUN. Sisi ambao tunaoa wanawake tuishi nao kwa akili.
  12. N

    Top 5 ya Baridi, Njombe na Sumbawanga noma..

    Apa dodoma kuna baridi hatari
  13. N

    Kimeumana, ya nini nilazimishe hataki tupime, hataki tutumie condom, eti uniamini, thubutu

    Ni kweli mkuu. Mi kuna mwanamke alitaka kuniambukiza ngoma bila mm kujua aisee. Alikua ameshaungua. Nilipiga mzigo baada ya siku mbili naambiwa ana ngoma kla nikimtafuta akawa ananichenga akiamini tayar kashaniambukiza tayari. Aisee nilikosa raha ata pep sikutumia nlikua najua tayar nmeupata...
Back
Top Bottom