Search results

  1. B

    Msaada: Gharama ya Kupaka rangi conmix

    Habari zenu? Naomba kupewa makadilio ya kupaka rangi conmix kwa nyumba yenye vyumba vitatu, store, jiko, sebule na dining. Makadilio tu ili niweze kujua najipanga kuanzia wapi. Nyumba ilishapakwa rangi ya kawaida kabla ila imechakaa inahitaji kubadirishwa. Asante.
  2. B

    Ninauza mayai ya kuku chotara

    Habari zenu, Ninauza mayai ya kuku chotara. Bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tu.Ninapatikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa Dar es salaam ninaomba anijuze. Karibuni sana.
  3. B

    Ninauza mayai ya kuku chotara

    Habari zenu ninauza mayai ya kuku chotara bei ya trei moja ni 12,000/- Tshs tuna patikana Mbezi ya Kimara. Kwa atakayehitaji namba zangu ni 0685323620. Kama kuna anayejua soko la mayai kwa hapa Dar es salaam ninaomba anijuze. Karibuni sana.
  4. B

    Ninauza majogoo aina ya Kroiler/chotara.

    Habari za kazi! Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni. Shukrani.
  5. B

    Ninauza majogoo aina ya kroilers/chotara

    Habari za kazi! Ninauza majogoo aina ya Kroiler/Chotara kwa bei ya shilingi 15,000/- wana umri wa miezi 7. Mimi ninapatikana Dar es salaam. Kwa atakayehutaji ntamletea hadi mlangoni. Shukrani.
  6. B

    Naulizia soko la kuku chotara/ Kroilers.

    Habari zenu? Mimi nimfugaji wa kuku chotara lengo ilikua ni kwaajili ya biashara ya mayai lakini baada ya kuletewa vifaranga nikakuza na majogoo ambayo kwasasa nimeamua kuyauza. Wapi nnaweza kupata soko nikauza majogoo, yana miezi 6.
  7. B

    Nnauza HTC 620

    Ninauza HTC 620 kwa 290,000 Mwenye kuhitaji anipm
  8. B

    Msaada: Kila nikitaka kuinstall itunes ikifika inaroll back

    Naomba msaada wenu, kila nikijaribu kuinstall itunes kwenye laptop inagoma, nikiinstall inaendaa ikifika sehemu inaanza kurudi nyuma ( roll back) then inaishia hapo, nimejaribu version tofauti ila bado , naomba msaada jinsi ya kufanikisha ni' install
  9. B

    Kuactivate lg g4 baada ya kuselect language.

    Msaada jinsi ya kuactivate lg g4, nikiwasha inanipa option ya kuselect language, nikishaselect language inanipa option ya kuset internet connections ambayo nikiselect chochote kile inanipeleka kwenye configuring your phone kwa muda mrefuuuuu mpaka charge inaisha, tatizo ni nini na jinsi ya...
  10. B

    nataka kwenda ledger plaza au kama ramada hivi au double tree ila sijui bei ya kiingilio

    Nnaplan ya kwenda swimming sehemu nzuriiiii kama ramada au ledger plaza au double tree sitaki coco nilizozoea nikabarizi na mdada flani hivi ila sitaki nifike pale nitoe macho kiingilio, kwani shilingi ngapi etii !
  11. B

    Natafuta wimbo wa AIC choir - Usichezee amani

    Naomba mwenye mp3 ya huu wimbo tafadhali au link ya kudownload anisaidie.
  12. B

    Achari/Ubuyu wa embe

    Kuna kitu nimewahi nunua ila sijakipata tena wala kujua nitapata wapi. Wengine wanaita ubuyu wa embe, wengine achari ila ni kama maembe yakatwe kidogodogo yakaushwe na kuwekwa viungo na rangi kama ubuyu. Napenda sana ila sijui jinsi ya kutengeneza, msaada tafadhali kwa aliyenielewa.
  13. B

    ufundi wa kubadirisha kioo cha galaxy S2.

    MSAADA: Nahitaji kubadirisha kioo cha Samsung galaxy s2 sababu kina ufa? inawezekana au kipya kitakua kinaletashida baada ya muda???
  14. B

    Tatizo la kisoftware kwenye laptop. Application ambayo sikuidownload.

    Habari zenu! Laptop yangu ina tatizo lilikuja siku ambayo nilikua nina surf kwa kutumia chrome huku nikidownload moviea kwakutumia bittorrent ghafla nikanotice application mpya ambayo imeshajiinstall baada yakiona icon yake kwenye desktop, application hiyo inamaandishi ya kichina hivyo...
  15. B

    TOTAL na EFC-MFC wameshaita watu kwa ajili ya usaili?

    Nafasi zilizotangwazwa na EfC-MFC na zile za graduate program za TOTAL walishaita watu kwenye usaili? Mwenye kujua please naomba kujulishwa.
  16. B

    toner/ cartridge hp 53a zinauzwa 110,000/- tshillings

    mabox 5 ya toner/cartridges ya hp 53a yanauzwa kwa shilingi 110, 000 kila moja na moja Canon kwa photocopy machine kwa 55, 000 shilingi. mwenye nia naomba ani pm
  17. B

    Naomba kujuzwa bei ya hotel Zanzibar

    Jamaa zangu nina safari ya kikazi ila sina idea na bei kwani ni mara ya kwanza, naomba mwenye kujua bei ya hotels Zanzibar-pande za Unguja anijuze. Nataka hotel zenye hali ya kati yaani sio zile za kifahari wala sio zile ambazo huduma nyingine nitakosa. Mfano wa mandhari ni kama hotel ambazo...
  18. B

    Cartridges / wino wa printer na photocopy machine

    ninauza mabox ya wino wa printer hp 54A yapo matano kwa 150000 kila moja na 50000 box moja la canon kwaajili ya photocopy machine. mwenye kuhitaji.
  19. B

    Jinsi ya kufika jangwani sea breeze

    kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba kujuzwa. I submit
  20. B

    Jinsi ya kufika Jangwani Sea Breeze

    kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba kujuzwa. I submit
Back
Top Bottom