Search results

  1. K

    Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru

    Uislamu wao unaingiaje hapa katika jitihada yao ya kugombea uhuru? Walipigania uhuru kwa sababu walikuwa ni Waislamu au kwa sababu walikuwa ni wazalendo waliotaka kumwondoa mkoloni? Suala hili linahusu Wakristo pia waliokuwa mbele pamoja na Waislamu kugombea uhuru. Ikiwa sababu ni kwamba...
  2. K

    Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru

    Kuna watu wanaoamini kwamba Waislamu walikandamizwa na Nyerere na kanisa la Kikatoliki na wanaendelea kukandamizwa na Wakristo. Wanaamini pia kwamba ni Waislamu waliokuwa mbele katika ukombozi wa nchi yetu kutoka kwa wakoloni. Hata majina ya Wakristo yanayojulikana nchi nzima na kuthibitisha...
  3. K

    Ukweli kuhusu waasisi wa TANU na harakati za kupigania uhuru

    Kulikuwa na viongozi katika kila jimbo (mikoa ilivyokuwa inaitwa nyakati zile), na katika kila wilaya, waliopigania uhuru wa nchi yetu. Sehemu za pwani, wengi walikuwa ni Waislamu. Sehemu za bara wengi walikuwa ni Wakristo. Hata Dar es Salaam kulikuwa na Wakristo, na bara kulikuwa na Waislamu...
  4. K

    Pole Mzee John, tulikushauri upumzike ukagoma

    John Malecela alikuwa ni mmoja wa viongozi wetu maarufu tangu alipokuwa balozi wetu UN. It's just too bad he tarnished his image by trying to perpetuate himself in office, only to be tossed out by a political neophyte. May be one of our political pundits will write a biography tentatively...
  5. K

    JF Search: Where is Godfrey Mwakikagile?

    It makes no difference Godfrey Mwakikagile does not have a PhD although he could very easily have earned one had our government helped him financially back then to pursue further studies. He probably would have been back in Tanzania years ago teaching at the University of Dar es Salaam or...
  6. K

    JF Search: Where is Godfrey Mwakikagile?

    I'm involved in academic work and I know the following about Godfrey Mwakikagile from reliable sources including my own knowledge about him: (1) Yuko USA ambako anaendelea kuandika vitabu. And he has implied or stated that in his writings including his autobiographical work, "My Life As an...
  7. K

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Let me state at the outset that I am a Nyakyusa, kabila la wala ndizi kama Wachagga, Wahaya na wengineo. Tujiangalie sana tunapojadili jambo hili kuhusu ukabila. Lawama kutoka kwa wananchi fulani wanaosema Wachagga, au Wachaga, wanatunyonya kama kupe haina msingi wowote. Hawa ni ndugu zetu...
  8. K

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Tujiangalie sana tunapojadili jambo hili kuhusu ukabila. Lawama kutoka kwa wananchi fulani wanaosema Wachagga, au Wachaga, wanatunyonya kama kupe haina msingi wowote. Hawa ni ndugu zetu. Wamefanya kila jitihada kujiendeleza kwa miaka mingi sana hata kabla ya uhuru wa nchi yetu iliyokuwa...
  9. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Copy of what I emailed to: customer.care@posta.co.tz Mrs Kanuti and Mrs Bujiku, As a Tanzanian who was born before independence and who used the postal service in the sixties and seventies, I find it to be disgusting that this service is no longer what it used to be, especially in the...
  10. K

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Mkandara, Nimesoma kwa makini yote uliyoandika kuhusu swala hili la Mwalimu, udini na ukabila. Na nimelifikiria sana jambo hili. Tumaini langu ni kwamba utapata nafasi ya kuliongoza taifa letu kama raisi, makamu wa raisi au waziri mkuu. Labda huko katika siasa, lakini ukiwa katika...
  11. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Mtarajiwa, Asante sana. Bila shaka viliibiwa. Vinauzwa hata mitaani kama mzalendo mmoja alivyosema hapa. Ndugu zangu wameniambia nisiwatumie hata barua kupitia shirika la posta.
  12. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    The extent to which the culture of impunity has permeated our society, and every fibre of our social fabric, is, in this case, tragically demonstrated by the fact that many postal employees who are thieves are members of this forum and are not in the least perturbed or worried by what many of us...
  13. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Kana ka Nsungu (Katoto ka Kizungu), Bado siamini you have the audacity kuja hapa kuongopa na kutetea shirika la posta in spite of all the incontrovertible evidence there is kuhusu wizi wa wafanyakazi katika posta nchini Tanzania and knowing full well that nothing is done about it. It's more...
  14. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Tukisema kwamba nchi za wazungu zinapambana na wizi kuliko nchi zetu za Kiafrika, inamaanisha kwamba tunawasifu wazungu kwa sababu ni wazungu au tuna acknowledge jitihada na bidii yao kuliko yetu? Umesikia huko Uingereza watu wa kila rangi wakisema kwamba 95 per cent vifurushi vyao vinaibiwa...
  15. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Si vifurushi kutoka n'gambo tu vinavyoibiwa ingawa ni prime target vikitoka nchi zilizoendelea. Hata vinavyotumwa within Tanzania vinaibiwa. And nothing is done about it. Unazangumzia wazungu na nchi zao - jiuluze kwanini wazalendo wengi wameamua kuishi katika nchi hizo badala ya kurudi...
  16. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Mbona watu wengi sana wanalalamika? Na wanaishi nchi mbali mbali. Kuna Watanzania wanaoishi Uingereza, Canada, USA, Australia na hata South Africa ambao ninawafahamu na ninawasiliana nao. Wao pia wanalalamika kwamba vifurushi vyao vinaibiwa. Hata barua zao zinaibiwa. Wametuma barua na...
  17. K

    Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

    Serikali inafanya nini kuhusu wizi katika posta nchini Tanzania? Hata barua za kawaida zinaibiwa na kufunguliwa na wafanyakazi wa posta. Nimewaandikia ndugu zangu mara nyingi na, kila mmoja wao, wamesema barua pamoja na picha nilizowatumia hazikuwafikia. Na wote wameniambia nisithubutu...
Back
Top Bottom