Search results

  1. N

    Joining instruction letter ya Bukongo Sekondari School iko hapa

    Wakuu, salaamu. Kwa wale waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2017/2018 katika shule ya sekondari Bukongo iliyopo wilayani ukerewe, chukueni joining instruction letter hapa...
  2. N

    Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

    Njoo pm nikutumie WhatsApp
  3. N

    Wimbo wa "sina demu" umeimbwa na nani?

    Anaitwa B boy
  4. N

    Picha ya msanii Timbulo enzi zileeeee

    Anaitwa nani kumbe?
  5. N

    Picha ya msanii Timbulo enzi zileeeee

    Mcheki msanii Said Timbulo maarufu kama Timbulo, hitmaker wa mawe makali kama Domo langu zito, Wa leo wa kesho (sampled from X-Melea), Bado kijana, Samson na Delilah, Imekatika (ft. X-malea), Niende zangu (ft. Rich mavoko), Nakumiss pamoja na zingine ni lizosahau. Kumbe tunatoka mbali. Kwenye...
  6. N

    BONGO AUDIO DOWNLOAD

    www.hulkshare.com
  7. N

    Magufuli akiwa Rais nani atamfunga speed gavana?

    Asante prophet chaikavu
  8. N

    Sakata la UDOM: Matangazo haya hatarini kuondolewa kwenye tovuti ili kufuta ushahidi

    Mbona mie nishafungua? Au hauna PDF reader?
  9. N

    Ndalichako naomba ututumbulie na haya majipu ya wakuu wa shule

    Ridiculous! I don't see any point here, just personal hatred! Hivi unajua wakuu wa shule wanavyoendesha shule kwa tabu siku hizi? Kama una ushahidi wa hayo, kwanini usipeleke mahakamani? Au umemwona ndalichako ni mtu wa kufanyia kazi uzushi wa mitandaoni? Poor mind
  10. N

    PENDEKEZO: Nani anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, tuone Hapa kazi tu kwa vitendo?

    Amteue kamanda kova kuwa mbunge baadae ampe hiyo wizara
  11. N

    Picha ya Lemutuz yauzwa kwa mnada wa sh mil 7

    26 years.. Still le boy you know
  12. N

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mmepandisha riba ya mkopo (personal loan) kutoka asilimia 18 mpaka asilimia 20? Maana leo nimeamkia nmb tawi fulani huku kanda ya ziwa na nilivyofika loan officer akaniomba salary slip na alivyocheck eligibility yangu akasema ninaweza kukopa million 10 plus kwa miezi 60 Nikamwambia mimi nataka...
  13. N

    Mbunge Sugu ndani ya FNL ya EATV

    Namwona....
  14. N

    Barabara ya Usagara Kisesa yaanza kujengwa

    Nimepita wiki iliyopita maeneo ya kisesa kuelekea kona ya fella. Nilikuta mitambo ya nyanza roads ipo barabarani. Nadhani wanataka ku 'resume' ujenzi wa barabara uliosimama kwa takribani mwaka mmoja sasa
  15. N

    Kashfa ya Watumishi hewa Ukerewe : Mkuu wa Wilaya Atumbua Majipu

    Mkuu wa wilaya ya Ukerewe, Joseph Mkirikiti, alisema baada ya halmashauri hiyo kufanya uhakiki wa watumishi hewa kuanzia Machi 19 hadi Machi 25, mwaka huu, walibaini madudu hayo. Mkirikiti alisema watumishi ‘hewa’ hao walikuwa wakilipwa mishahara kupitia akaunti zao, lakini hatua zimechukuliwa...
  16. N

    Watumishi hewa: Kompyuta yenye rekodi yaibwa, wakopa benki kwa majina hewa

    Hapana siyo jina la ukoo wa mama. Mama jetu alipoolewa kwenye ukoo wa wasukuma wa kayenze akina mongela ndo akapata hilo jina
  17. N

    Watumishi hewa: Kompyuta yenye rekodi yaibwa, wakopa benki kwa majina hewa

    Nasikia kalipoanza kazi huko ukerewe kalikuwa kembamba kama mimi. Ila nasikia kwa sasa hata T-shirt mpya za CWT inaweza kukabana namna kalivyonenepa
  18. N

    Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    Majina yamefanana na mtuhumiwa huyu? Au ni mwingine? Ofisi ya DPP yatuhumiwa kupokea 30m/- kuzima kesi ya mauaji ya mwanafunzi
Back
Top Bottom