Search results

  1. nosspass

    Anahitajika House cleaner

    Nahitaji mwanadada mtu mzima, anayejielewa na si msichana,wa kufanya usafi nyumbani, mara mbili kwa juma, kufua, kupiga pasi, kufanya usafi wa jumla wa nyumba, haswa ndani na kuosha vyombo....GOBA....@senior bachelor.
  2. nosspass

    Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

    Wandugu Hili janga ni kubwa sana kwangu, nimekuwa na kawaida ya kununua mahitaji yote ya nyumbani kama baba na kiongozi wa familia kuna kipindi kulitokea mtafaruku kisa kikiwa shemeji zangu wamejaa kwangu, nikatangaza la mgambo sitaki cha shemeji wa wala wifi kwangu......wote wakatawanyika. Bi...
  3. nosspass

    Gari - Toyota Fielder inauzwa

    Bei yake ni nyepesi kabisa....
  4. nosspass

    Gari zinauzwa kwa bei chee,,, ziko poa na zinatembea

    Ndo hizo hapo......namba ipo pia.
  5. nosspass

    Mviziaji wa wasichana/wake za wanaume wenziwe

    >Waungwana naamini woote mu salama. Kuna katabia ka jamaa fulani wa TRA (kwa anavyojitangaza) kanachefua, huyu jamaa anapendelea sana bar sinza.. Kozi namfahamu na nilisha sikia tabia yake, leo namleta kwa wanajamii wenzangu tuangalie namna ya kumkomesha hii tabia. Kwa kifupi huwa anatabia ya...
  6. nosspass

    Kukosa Hisia kwa mkeo phase 2 !!

    Wana JF, Natumai vyema mko... Kuna uzi nilirusha kama wiki 2 zilizopita, sasa huu ni muondelezo, na ndo maana nimeuita phase 2... Hapa ndo nimetoka maeneo ya mikocheni,,, jamaa mkewe alimvizia jana akiwa mtungi akampiga na chupa kwenye utosi, he lost damu nyingi, na fahamu zimemrudia muda si...
  7. nosspass

    Kweli bila hisia mahusiano yatakuwepo

    Wana Jamii wenzangu nina hakika mko poa j3 ya leo. Wakati natoka home this morning, friend of mine alinipigia akaniomba anipitie ofcn, kuna ushauri alikuwa anataka. He come, Alichoniambia na kuomba ushauri ni hiki..... jamaa ana mke na watoto pia,,, bu anasema this day hana HISIA zozote na...
  8. nosspass

    Imekaaje mkeo akikuomba condoms?

    Bandugu nna hakika mko poa sana,, pamoja na majanga ya kitaifa yanayotupata... maisha lazima yasonge.. Naomba tusaidiane hii kitu: Jamaa alikuwa anasafiri,, wakati anapack, mahabuba wake (mkewe) akaja na bashasha kibao za kimahaba,, akamwambia.. mpenzi najua unasafiri... wiki 2 sio chache...
  9. nosspass

    mahaba ya nyumba ndogo....miaka 6....

    Bandugu nna hakika woote mko mswano.... Hebu naomba tumsaidie huyu ndugu yetu... Juzi j2 jioni, kama kawa.. tulikuwa tunaharibu kipato..baridi 1 moto moja... kuna rafiki yangu mmoja alijumuika nasi ni mchangamfu mcheshi,,, story zikachanganya pale huku jamaa alikuwa bizee kuchat kwa sana...
  10. nosspass

    Nauza shamba/kiwanja - Bagamoyo

    Ni eneo zuri linalofikika kwa urahisi sana, baada ya kuvuka daraja linalotenganisha DSM na Coast region,,mkono wa kushoto kutokea dar,,,, MINGOI rd, kama mita 600 frm the main rd.......piga namba hii 0754 427 819.... karibuni....
  11. nosspass

    Salaaam

    Bandugu wa JF, nimekuwa mfuatiliaji sana wa hii kitu,,, nimeona naweza kuwa nami mwana jamii,,, naomba tujenge sote Tanzania yetu...... Amen.
Back
Top Bottom