Search results

  1. nosspass

    Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    misaada ndio imetulemaza WaAfrika, kama serikali zinapewa misaada but wanainji tuko maskini,,,,sisi maskini tunasaidianaje??? hii waafrika hatuwezi....kuwa mkatili tuu kama lile chezaji staafu la cameroon...
  2. nosspass

    Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

    UPINDE MWINGINE HUU...... halafu ukienda private umtongoze matusi kibaoooo.... -eti- "mie kidume, usindhalilishe" bado napata kiguguMIZI....
  3. nosspass

    Baada ya kufukuzwa kazi kaka yagu alitembea na mke wangu mpaka kumzalisha

    Kama ni kweli,,, wewe ndie pumbavu......jino kwa jino........yaani ungempongeza kaka yako vema tuu.... then unaanzisha communication na sheitwan bin haribu......unahakikisha unamla yeye POPO........kimyaaaaa.... ubaya ubaya hii dunia.....unakimbia mkeo anaendelea kudukuliwa kindezi ndezi kisa...
  4. nosspass

    Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

    wakati mnalalamika yanga kaonewa....mamelod wamesonga, na ile tuu kufika nusu finale kuna mshiko mnono.... dunia ndivyo ilivyo....so mtaji wa 40sauzandi now ana 150m.....wacha tupige kellele ila matokeo ndio hayo.....Niffer kongole kwako.....maisha ni mbinu tuu......ukifuata mstari utafutika...
  5. nosspass

    Wafanyabiashara mnaofanya biashara kimazoea jiandaeni kisaikolojia na ujio wa kina "Niffer" wengi zaidi

    uko sahihi....biashara ni vita.....kila mmoja apambane....dunia inaji "update" kila uchwao.....hakuna kukariri tena...
  6. nosspass

    Heri ununue nyavu kuliko bodaboda

    jamaa hapa umemaliza kabisa :):)
  7. nosspass

    Hivi kweli kuna bishara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

    hivi miliono 100 mnaichukuliaje......mnazungumzia faida au mauzo??....kama ni kweli TANZANIA ingekuwa na Mabilionea wengi sana..... ni kweli Kariakoo kuna mzunguko mkubwa wa fedha (biashara) but 100m, usijidanganye ukajichanganye pale.....
  8. nosspass

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    mbeya usijaribu kabisa, inakula kwako. Nje ya DSM may be Arusha..... kama anapendelea biashara ya chakula anaweza kupitia kwa wabobezi......ambao watakusaidia kuangalia eneo na kukushauri nini cha kufanya.....ndio kazi yao so it cost pia.....na watakusimamia kwa mwezi 1-3....itatagemea na...
  9. nosspass

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    umri wako bro?...... bank teller ni kazi ya wanawake.....mtanisamehe ila ukweli mchungu... so jibu hilo utapata dyudu tuuu........lecturer may be...... but......
  10. nosspass

    Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    nimekuuelewa..... ngoja nianze kumtongoza upya kabisa.....yaani kuna sindano za tiba hapo...asante mkuu... vijana someni muelewe.......hiyo ndio FASIHI....
  11. nosspass

    Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    agiza bapa hapo mkuu.....huu si wakati wa kuwahurumia tena.....
  12. nosspass

    Ni muda gani hutakiwi kuzidisha bila kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako, ili ndoa iwe hai?

    wewe unaweza kuhimili, je na mwenzio??..uwe mpole tuu.....huko uliko vuta kichongeo, chonga kama kawa......na huku kichongeo chako wacha kichonge tuu.......uwe mpole...... hiyo kitu ngumu sana.......sababu unapambania familia ..pambana tuu...
  13. nosspass

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    kwanza urafiki na mtoto wa kike unaanzia wapi? kisa kusoma nae au??? eti una uchungu!!!! kunywa siki utaisha.....mwanamke hasaidiwi ANAPEWA..... ukiweza kusababisha na wewe AKAKUPA..... deal closed.
  14. nosspass

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    kila mmoja ana muono wake dada......au wataka niseme anavutia......nabaki palepale.....MREMBO sana.
  15. nosspass

    Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    kaba mpaka penati......visirani hao.....
  16. nosspass

    Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

    na ni mlevi kweli yule hujakosea.......tena sugu...
  17. nosspass

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    kwa hiyo kaachana na mmewe akawe MCHUNGAJI? kwani mmewe amemzuia? ila ni MREMBO yule dada....jamaa sijui kaharibu nini pale.....au kakutana na muchungaji enzake.....??
  18. nosspass

    Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    kuna biashara hazitaki tamaa......tatizo pesa ni tamu.....unatakiwa unapiga once.....you done......bei zikoje wahenga@kichwa
Back
Top Bottom