Search results

  1. M

    Tangaza Upate Pesa

    Sasa unaweza kupata pesa kwa kusaidia kutangaza biashara. Ni rahisi - Gonga hapa: IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit Uthubutu ni sehemu ya mafanikio.
  2. M

    Usomaji wa Hotuba ya Bajeti 2012/2013

    Hotuba ya Bajeti ndo inasomwa sasa lakini usomaji wa Mheshimiwa Waziri wa Fedha unaninyima raha. Nakosa mtiririko mzuri kwa sababu anakwamakwama sana na kukoseakosea maneno. Nimesema tu just to get it out of my chest. Inanikera.
  3. M

    Tanzania: Dua ya Kuliombea Bunge...

    Dua ya kuiombea nchi yetu na kuliombea Bunge - husomwa hivi: (Msisitizo ni wangu) Nimekuwa nikisikiliza kwa makini sana dua ya kuliombea Bunge inaposomwa na Spika au Naibu wake. Siku zote nimekuwa na mashaka kama kweli kinachoombwa ndicho hasa kinachohitajika na Wabunge wetu. Pamoja na...
  4. M

    Msaada wa Ku-log in JF kwa simu

    Wapendwa, nimekuwa niki-log in JF kwa kutumia simu yangu Nokia 6233 lakini kwa wiki 3 sasa siwezi kulog in. Ile link ya kulog in hainipi ruhusa ya kufanya hivyo. Au kuna kitu natakiwa kufanya? Naomba msaada maana simu ndo ninayo saa zote, computer mpaka niombe kwa jirani hadi nnakuwa kero.
  5. M

    Haki za Marehemu

    Wapendwa wanaJF, Heshima mbele! Nimekuwa nikitafakari kuhusu haki za marehemu. Hivi marehemu anakuwa hana haki tena ya kuwa na siri? Mtakubaliana nami kwamba siku hizi kuna utaratibu wa kusoma wasifu wa marehemu wakati wa maziko. Kati ya vitu vinavyotajwa ni pamoja na umri, elimu, kazi...
  6. M

    Women's Restroom(!?)

    All women will understand this......men…...read and learn why it takes a woman longer in a public restroom! When you have to visit a public toilet, you usually find a line of women, so you smile politely and take your place. Once it's your turn, you check for feet under the cubicle doors...
  7. M

    Home Internal Memo

    From: FATHER To: ALL DEPENDANTS AND RELATIVES cc: MOTHER Subject: FINANCIAL MELTDOWN/COST CUTTING MEASURES FOR YOUR URGENT ATTENTION Due to the current economic situation, all domestic rules and regulations have been revised as below and under no circumstance is any violation...
Back
Top Bottom