Search results

  1. M

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Numbisa please come back.
  2. M

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Anachokozwa mtu. Log Z amemiss mapovu, lol!
  3. M

    Wife material yupo hivi

    Siyo alimuacha bali ni alimwacha.
  4. M

    je ni kweli?

    Labda tupewe mifano, watu na mama zao.
  5. M

    Ifahamu kanuni hii itumiwayo na ubongo wako

    Asante sana mkuu The Certified. Mungu akubariki na akuwezeshe kutupa elimu zaidi na zaidi.
  6. M

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    No, usiache please. Japokuwa hii subject imeshapita, nimeona niongeze msisitizo ili mkuu Numbisa uone jinsi wengi tunavyoikubali huduma yako. Asante na ubarikiwe.
  7. M

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Mkuu Numbisa nimekukubali! Asante sana kwa updates.
  8. M

    Kuna familia zina laana ya asili

    Asante sana mshana jr kwa kuleta mada hii. Shukrani pia kwa wote walioshiriki kutoa michango yao hapa. Nimepitia uzi wote, mwanzo hadi mwisho. Nimejifunza kitu kikubwa sana. Mungu awabariki wote waliotoa ushauri na ushuhuda pia. Idumu JF.
  9. M

    Nikaishi wapi ili nijihusishe na maswala ya kilimo na ufugaji?

    Natamani kupata shamba Mtwara (kwa ajili ya kilimo na kufuga). Mwenye ufahamu na upatikanaji wa mashamba Mtwara atuwekee taarifa hapa. Asante.
  10. M

    Nyumbani kuzuri Daima, Narudi kwetu Kigoma

    Huyu wa Nyumbigwa.
  11. M

    Please! Adhere the below message!

    Amen. Asante elijahmasunga kwa kutukumbusha.
  12. M

    TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

    Pole sana HS pamoja na familia kwa msiba huu mzito. Mungu akupeni nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Marehemu apumzike kwa amani. Amen.
  13. M

    Nabii Frank Kilawah acha kudanganya watu

    Mkuu, Anglikana je haimo?
  14. M

    Walinzi wa CHADEMA na miwani ya kuchomea magrill

    Huyo ni mlinzi wa walinzi. Teh!
  15. M

    Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
Back
Top Bottom