TEC hawawezi kujishughulisha na ishu ndogo hivyo, acha kuishusha hadhi. Hilo ni suala la Paroko tu, inawezekana hata sio waraka, sakramenti za Ole Mushi hazizungumziwi hapa. Inawezekana alikuwa anaishi na mwanamke bila ndoa
Wewe sio RC na hujui chochote kuhusu taratibu za Kanisa. Ibada yoyote iliyopewa idhini na Paroko ni ibada halali hata kama itaendeshwa na Katekista. Ibada yoyote iliyozuiwa na Paroko haiwezi kuendeshwa na mtu yeyote ndani ya Parokia, awe Katekista, Padri wa nje ya Parokia, Askofu na hata Papa...
Wapo wengi waliounga mkono uuzwaji wa bandari na ni Wakatoliki, lakini walitoa hoja zao bila kufanya rejea kwa Waraka wa TEC, hiyo Haina shida. Unapoamua kufanya Waraka wa TEC kama reference ya kupingana nao, maana yake unapingana na Waraka wa kichungaji, wakati ungeweza tu kuuunga mkono bila...
Kanisa Katoliki huwa halibembelezi maana haifanyi biashara. Kama Kingunge Ngombale Mwiru na Ruge Mutahaba walikataliwa ibada, sembuse wewe?
Kanisa RC litakufundisha kwa nguvu zote uelewe imani, ila ukijitenga linakuacha maana ni uamuzi wako. Usifikiri RC huwa wanaingia hofu kusikia sijui...
Kwani kutoendesha ibada ya mazishi ndio kuhukumu? Kuna kitu hamuelewi hapa. Kanisa Katoliki hutoa huduma za kiroho kwa Wakatoliki tu. Kwa mujibu wa taratibu za kiroho, Ole Mushi hakuwa Mkatoliki
Na wao ndio walioratibu uandishi wa hiyo hiyo bible unayoitumia. Nipo tayari kukuwekea jinsi Kanisa (hapa namaanisha RC) walivyoratibu uandishi wa bible, na wewe ujiandae kionyesha hiyo bible ya vitabu 66 uliitoa wapi kama sio subset ya bible ya RC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.