ARV??? Umehakikisha kuwa ana HIV infection huyo mgonjwa?, kasema kaka yake amekutwa na hepatitis.....unaweza ukapata hepatitis bila hata ya kuwa muathirika, ingekuwa vyema kumshauri apimwe na HIV lakini sio kwenda kwenye conclusion kuwa aanze ARV....tujitahidi kuwajibu watu maswali na kutatua...
Kwa hali tuliokuwa tumefikia kama nchi tunahitaji mtu mbabe kama huyu.... Kwenye ubabe wapo wengi watakaoumia maana haikuwa kawaida kuishi maisha ya kibabe. Kama umeumia kwa namna moja au nyingine, pambana na hali yako mpaka utakapoweza kuendana na speed ya kibabe.
Mtoto kaumbika kweli kweli.....then unataka uenjoy peke yako.....sio fair
Maana: Ukiwa na mwanamke mzuri anaevutia kwenye macho ya vidume, uwe tayari kisaikolojia kushar love hasa kama mwanamke mwenyewe hajitambui.
Ni kweli inasikitisha ila kwenye zoezi la peace keeping in military level automatically kutakuwa na watu wa kuumia na hata vifo....so tuamue tu kujitoa kwenye zoezi au tuendelee....tukiendelea lazima tukubaliane na yote maana sio kila siku utakuwa unapiga tu, lazima kuna siku utapigwa na wewe...
Hivi aliekuja kwa dhamira kukuua huwa anashindwa kujua unapolala?....huo ni uvamizi tu kama uvamizi unaofanywa kwa mtu yeyote ......bongo kila kitu kinakuwa handled politicallly....wanasiasa mnatuchosha na movies zenu zisizoisha
Watu wapo busy na uchama wakati mhe raisi yupo busy na utaifa.......Jamani tubadilike, vyama vya siasa sio mtatuzi wa matatizo yetu ya kiuchumi na maendeleo ila tukishikamana kama taifa moja tutasonga mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.