Search results

  1. Wa nyamadyaki

    Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Services zaidi ya miezi mitatu imepark duh!![emoji32] Kwa hio mkuu itakamilika baada ya muda gani?
  2. Wa nyamadyaki

    Leo naomba niongee na vijana wote ambao ndio wanaingia au wako kwenye mahusiano

    Unatetea mapenzi ya mwanaune kuzidiwa umri na mwanamke!! Hatudanganyiki na mawivu yako acha tutoke na vichenchede vyenye kujua club zote na tujinyime kwani ww inakuuma nn?
  3. Wa nyamadyaki

    Kuhusu mauaji Kibiti, polisi mulikeni Kilungule Mbagala mwisho

    Tutafute namna sahihi za kutatua haya mauwaji ya kibiti ila kuhusisha imani za watu moja moja tena hadharani namna hii. Sidhani kama ni busara shutuma za namna hii yafaa kuzifikisha kwa usiri kwenye vyombo vyetu vya dola na si hivi ulivyofanya maana kila mtu anauelewa wake hasa kwenye imani za...
  4. Wa nyamadyaki

    Kaganda awapiga mkwara polisi, asema atawamaliza wote wanaotishia watu bunduki wakiomba rushwa

    Hapa naona tatizo sio askari kuchukua rushwa tatizo ni namna ya uchukuaji yao!! Yaani wasitumie binduki za serikali kwenye ushawishi wa kupewa rushwa.
  5. Wa nyamadyaki

    Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    Usisahau kumuuliza na freelander
  6. Wa nyamadyaki

    Nimemfumania mume wangu live

    Asimsamehe, aachane nae kila mtu aendelee na maisha yake.
  7. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Yeah nitafanyia kazi ushauri wako mkuu asante sana!!
  8. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Air clearner iko safi mkuu, alafu ATF sijabadilisha mkuu
  9. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sawa mkuu nitafuatilia pia na hilo.
  10. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sawa! Nashukuru kwa msaada wako mkuu.
  11. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hii silence mode inafanyaje like inakuwa inaongezeka haishuki au inashuka sana au gari ikikaa silence kwa kipindi fulani inaweza jizima yenyewe. Kwa experince ya hii ninayotumia mimi ukiwasha inapokuwa gia bado ipo kwenye P inakuwa sawa ila ukiweka gia mfano D au R ndio inatetemeka body na kama...
  12. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nashukuru kwa msaada wako mshana nitafanyia kazi hilo na vipi kuhusu plag! Maana yupo jamaa yangu mmoja aliwai nieleza inawezekana pia ikawa inachangiwa na plug. Kwa engine hizi za 4E au kwa udhaefu wenu inaweza kuwa nayo ni chanzo
  13. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wajuzi wa haya mambo mshana na wengineo Naombeni msaada kwenye hili!! Msinipotezee tafadhari
  14. Wa nyamadyaki

    UDSM wamefanya kama TLS, CCM waangukia pua..!!

    Udsm kwa walichokifanya kwenye uchaguzi huu lazima Jamaa aje kuchukua mabweni yake! Atayachukuaje mimi sijui...
  15. Wa nyamadyaki

    Kenya yapiga marufuku uingizaji wa gesi(cooking gas) kutoka Tanzania kupitia mipakani

    Afadhari maana wao ndio wanasababisha inapanda bei kutokana na uhitaji mkubwa wakati inaingia chache hapa kwetu.
  16. Wa nyamadyaki

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba munisaidie hili engine ya gari yangu ni 4E lakini inatatuzo nikiingiza gia mfano D au R body ya gari inatetemeka sana kama vile inakosa mafuta ya kutosha lakini nimejaribu ufanyia matengenezo hadi mfumo wa mafuta na umeme nikaja kubadili hadi engine mount zake zote tatu lakini tatizo...
  17. Wa nyamadyaki

    Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

    Hii ya 5 kwangu ilinigusa sana na 2015 nilijiridhisha kabisa kuwa hiyo namba 3 wanayokabisa maana mtu aliyenauwezo mzuri wa akili awezi kuendeshwa akili na makundi et mara MAMA ONGEA NA MWANAOA au NIMESTUKA SASA!! huu ni umburula na nikajiapiza tutakutana kwenye hizo kazi zao wanazoringia...
  18. Wa nyamadyaki

    Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

    Hivi mahakama si ziko wazi? Kwanini wasiende huko huyu mtu akashitakiwa kwa kuliibia taifa. TATIZO NINI?
Back
Top Bottom