Search results

  1. dotnet

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Tukiacha uoga na kuwa tayari kufa haya mambo yatakuja kuwa historia siku moja! Huu ni upumb..v
  2. dotnet

    Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

    Na wazidi kuvurugana. Pesa yetu hii ya PAYE iweje waone ni kawaida tu kutunyonya jasho letu? Saa imewadia.
  3. dotnet

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    Kinachonisikitisha sana ni kuwa waTZ huishia kuongea na kujadili tu lakini action na uwajibikaji hakuna. Kuna mtu mkubwa tu mwenye wadhifa kiuongozi aliwahi kuniambia tunakoelekea tutadai uhuru upya. Safari hii ni kutoka kwa weusi wenzetu na itakuwa kwa kutumia nguvu ya umma. Huu usemi wa...
  4. dotnet

    Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni

    Hii nchi kuna watu wachache wanaamini watanzania wa sasa ni wale wale wa mwaka 1961. Vijana tuudai uhuru wetu upya.
  5. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    Huu uzi unaelekea kusikojulikana. Ninaamini Mungu anaishi na ndiye muweza wa yote. Naamini kuwa Mungu wangu yuko katika nafsi tatu - Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Na hizi ni nafsi tatu, Mungu mmoja. Naamini kuwa Yesu ndiye Mungu wangu na ndiye mwenye mamlaka Mbinguni na duniani. Tena...
  6. dotnet

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatatu, Tarehe 24 Novemba, 2014

    Kila saga anakuwa ng'ambo. Kazi kweli. Fuatilia uone kama kuna kipindi bunge likiwa heated kama anakuwa hapa TZ.
  7. dotnet

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatatu, Tarehe 24 Novemba, 2014

    Hivyo leo hakuna kitu na kuisubiri kote siku hii ifike? Nnahasira.
  8. dotnet

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Mengine sawa, ila mfano wa kulala na mkeo umefika mbali. Hilo haliwezekani.
  9. dotnet

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Truth shall always give light and the hidden shall be revealed
  10. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    Saudi Fiancée? 😀😀😀😀
  11. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    Hahahah hawezi kunivuruga yule
  12. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    The concept that makes Mary (formerly Virgin Mary) a mother of God needs great minds of believers to understand. For a stupid thinker, it means Jesus never existed until when Mary gave birth to HIM. Very wrong. Jesus existed before any creature. Before anything. It's correct to call Mary a...
  13. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    So you do read the bible? What are you looking for in the book composed of knowledge about what you do not believe in? Is not a character of someone stupid? Are you not guilty of pretending?
  14. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    What about the United States or the UAE? Are they poor? Do they believe God exists? Not poor and the believe. So being poor has ni connection with believing in God. Does it concern you if Saudi Women are not allowed to drive? Is that your business in the first place? You are just losing...
  15. dotnet

    Elimu ya zitto,mnyika na kafulila ni za hali ya juu.

    Tofautisha kusoma na kuelimika. Wapo waliopata div I nzuri form 4, I nzuri form 6 na GPA nzuri chuo ila hakuna kitu wanapiga lecture na kusubiri migomo ya mishahara tu. Ni zaidi ya elimu darasa ndugu. Ila, una point katika andiko lako.
  16. dotnet

    Mh Zitto Kabwe wewe ni genius & very smart politician ever

    Mnaonaje, sina nia ya kuleta habari za ukanda, lakini wabunge wa Kigoma ni kama wakali flani hivi; angalia Zitto, angalia Machali, Kafulila. Amani Kabouru sijui alipotelea wapi. Ni kamtazamo tu.
  17. dotnet

    Image of virgin Mary grows on tree

    KIRANGA alisema hajui alikotoka. Yani amejikuta yupo tu hahah.
Back
Top Bottom