Search results

  1. Chibidu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Watu mna maneno makali!!! Akiyaona haya maneno atarudisha mpunga
  2. Chibidu

    Tundu Lissu kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi

    Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu ili amlinde na amjalie uponyaji wa haraka ili arudi nyumbani mapema aje kuendelea kututetea wanyonge wa kweli
  3. Chibidu

    Japo jembe amekufa,historia itamkumbuka

    [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  4. Chibidu

    Hoja ya Mbowe waliyoidharau wabunge wa CCM imeanza kupata majibu

    Tena wawe wa ccm. ikiwa ni wale wa upande mwingine wa spika....business as usual
  5. Chibidu

    Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

    ulitaka wakae kimya ili muwaonee kagera. hiyo ni haki yao. kila mtu atakula kwa jasho lake. kama marekani na north korea vile!!!
  6. Chibidu

    Wapi naweza jifunza kupiga kinanda/piano

    Nenda THT utajifunza kila kitu
  7. Chibidu

    Taarifa ya habari ya ITV leo coverage ni Christmas tu

    Hata mimi nimeshangaa kweli. Huku kwetu mngeta tangu jana askari wa JKT kambi ya Chita wanapambana na wananchi kugombea adhi. Inasemekana kuwa kuna watu wameuawa na wakuu wa majeshi na mawaziri wameenda huko leo asubuhi, lakini inaonekana sio story ya maana
  8. Chibidu

    Kaka yangu kaforwadiwa ujumbe huu kwenye simu, afanyeje?

    endelea na msimamo huo ndugu ni mzuri sana. Ila baadae usirudi tena hapa kuomba ushauri baada ya kushindwa kwenda kwa ndugu zako kuomba msaada kwa kuwa uliwanyima slot katika familia yako
  9. Chibidu

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Hongera kwa kuthubutu na kuwa na malengo mazuri. Lakini unahitaji kujipanga zaidi, maana hapo ndio kwanza kazi imeanza. Kwenye kazi ya kujenga nyumba ya kuishi gharama kubwa iko mwishoni (finishing). Ingekuwa unajenga banda la kufugia, hapo ungeweza kusema umefikia mwisho. Kaza buti mjomba...
  10. Chibidu

    Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena waonekana kwenye picha hizi tata

    hivi ni kweli kwenye hizo picha tatu kuna wema? mmh! kweli wabongo hatuna kazi za kufanya
  11. Chibidu

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Hii solution umefanya reference kwenye kitabu gani au kesi gani. Hakuna mtu duniani anayezuiwa kulea mtoto wake. huo ni ukiukaji wahaki za binadamu. baba anatakiwa kisheria kutoa matunzo kwa mtoto wake aliyesababisha atokee duniani.
  12. Chibidu

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kwanza pole sana mdada kwa maumivu uliyoyapata. kwa mtazamo wangu, maamuzi yako ni ya msingi kwa sababu wewe ndiye unayejua ugumu wa maisha unaokuja iwapo utaendelea na hiyo ndoa. lakini pia huyo baba ameonesha kuwa alikuoa kwa bahati mbaya ndio maana alipomuona mdogo wako akaamua kukuzunguka...
  13. Chibidu

    Watumishi hewa: Kompyuta yenye rekodi yaibwa, wakopa benki kwa majina hewa

    Hao walioiba computer moja nadhani wamejisumbua tu. Maana kwa utaratibu wa hiyo system huwa wanapeleka backup hazina. Kwahiyo alichotaka kisijulikane kitakuwa hazina.
  14. Chibidu

    Zijue hatari na changamoto za daraja la Kigamboni kabla hujalitumia

    Kwani umelazimishwa kuja kigamboni? Endelea kuchunga ng'ombe na kunywa maziwa budaangu
Back
Top Bottom