Search results

  1. J

    Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Badala ya kujadili lililo mbele yenu mnashindania kiingereza, sie tumelogwa na aliyetuloga kafa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    Je, ni sahihi kwa vyombo vya habari kumuhoji mtu ndani ya mahakama?

    Mtapata shida sana wenye mahaba na ccm, fungua mashitaka akamatwe na afungwe ufurahi. Harafu hizi sheria za uchochezi pendekezeni marekebisho wawe wananyongwa wanao pinga mahaba yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Ktuo kile kiliegemea sana CCM acha wafilisiwe tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Dira ya Dunia inaendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Maimamu watoa neno kwa JPM kuhusu Masheikh wa Uamsho

    Lkn hawa watu walikuwa wakitamba na kumtukana Rais waziwazi na kumtishia waziwazi, walisababisha mauaji na kumwagiwa tindikali watu wasio na hatia mapadri hata watu waliojitolea kuja kusaidia watu wa znz. Ni uislam gani una sapoti hayo? Nimemsikiliza Shehe ameeleza vizuri tu wewe ndiwe unaleta...
  7. J

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Umelipwa makinikia? Kikao cha pamoja kiko wapi na wanaume wa acacia? Tujaribu na kudodosa huku pia juhudi nzuri ee haya Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
  8. J

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Hee Mzee unatia aibu, nilikushangaa siku ile uliyojitokeza kumshambulia EL ukiwa mamluki wa CCM. Lkn leo nimekushangaa tena kuzungumza jambo unalolijua na unauzoefu nalo tena sana kinyume na ukwwli wake. EL alipokelewa ukiwapo na wewe, hukupinga, mkakaa kumthibitisha hukupinga, akatangazwa...
  9. J

    Dah Mimi na chupi hizi mbalimbali

    Zikoje ka-picha basi Post sent using JamiiForums mobile app
  10. J

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Naomba Lindi secondary school jamani Post sent using JamiiForums mobile app
  11. J

    Mahakama Moshi yaruhusu kilimo kuendelea kwenye shamba la Mbowe

    Angalia kesho utajua kuwa serekile yako ilivyo na uchama Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
  12. J

    Mahakama Moshi yaruhusu kilimo kuendelea kwenye shamba la Mbowe

    Umeliona hilo shamba liko kwenye chanzo cha maji? Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
  13. J

    Uongozi wa CHADEMA Ukerewe wahamia CCM jioni hii

    Acha MAKINIKIA yaondoke fuata upepo hao Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
  14. J

    Wanaume na haraka ya ngono

    Asubiri nini kwani kunanii kunataka muda? Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
  15. J

    Kuporomoka kwa Shilingi, ubinafwishaji Rasilimali ni Sera za chadema!

    Akili matope una fikiriaga sijui kwa kutumia kichwa kipi? Upinzani ni wa kuheshimu Sent from my ALE-UL00 using JamiiForums mobile app
  16. J

    Hoja hizi CCM wataweza kuzijibu kweli?

    Nani wa kumpinga mkuu
  17. J

    Msaada nahitaji dawa ya stress

    Kamtukane polisi, au kakojolee kambi ya jeshi Lugalo pale.
  18. J

    Hivi kwanini tunaishi?

    Swali lako sijalielewa vizuri, tunaishi kwa sababu tulijikuta tumezaliwa watu. Hakuna aliyechagua kuzaliwa. Kuishi ni lazima, na masumbufu ya maisha ni mhimu ili uweze kuishi na hili waweza kuchagua sasa, ukiamua kutotafuta utakufa njaa na mwisho ukaishia hapo, lkn ni vema unaowazaa ambao hawana...
  19. J

    Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

    Una akili za kinyume-nyume
Back
Top Bottom