Walikupotosha, neno ni hilo hilo moja to la "ndiyo" ila muktadha wa matumizi yake ndyo unaoongoza namna ya kulitamka ili litoe maana inayokidhi muktadha husika. Nikupe mfano mwingine wa neno moja ambalo linaweza kumaanisha mambo mawili tofauti, neno hilo ni "barabara", kuna wakati linaweza...
Clouds kuna mtangazaji amekuwa akilitumia neno "Aghalabu" kumaanisha "mara chache" badala ya neno "nadra". Lakini kuna huu ugonjwa wa kuweka herufi "r" mahala pa "l", sasa kuna mmoja alitamka "malazi" akimaanisha "maradhi".
Kibaya zaidi kuna ugonjwa mwingine ambao huu hauko kwa watangazaji tu...
TheTruthtobeTold hiyo miaka 25 umeitoa wapi?. Mdau kasema ameanza kunywa siku ya mahafali yake ya kidato cha nne, kimahesabu alianza kunywa mwaka 1993 akiwa na miaka 18 (7+7+4 =18), halafu 2018 toa 1993 sawasawa na 25 ambayo ndiyo miaka ya kuwa anakunywa. Kwa hiyo ukitaka kufahamu huyu jamaa...
Salamu.
Hivi hili neno Kipusa siku hizi limebadilika maana yake?. Nifahamuvyo mimi nifahamuvyo maana yake kwa mujibu wa TUKI ni:
.kipusa nm vi- [ki-/vi-] rhino horn. 2 (sio rasmi) beautiful young lady.
Sasa huu wimbo unaovuma sana nashindwa kuuelewa. Ni vema wasanii wakawa wanasoma na...
Habari ya leo wataalamu wa Kiswahili.
Leo asubuhi nimemsikia Mwanazuoni mmoja wa Kiswahili ambaye hushirikiana na Radio Clouds akisema kwamba neno "Sitirifu" maana yake hali ya usiri. Binafsi naona kama siyo sahihi vile kutokana na mzizi wa neno lenyewe kuwa ni Sitiri ambalo maana yake ni hali...
Tatizo letu huwa hatuelewi viashiria vya kuwa mtu ameongea pointi au ucheshi, ukiwa unaongea na watu halafu wakacheka haimaanishi kuwa umeongea kitu cha muhimu na hasa sehemu kama Mahakamani au Kanisani kwenye mahubiri. Nilitarajia kama Lumumba angeongea hoja nzito basi mawakili na wanasheria...
Nimefafanua hapo juu kwamba badala ya kusema "kugonga hodi" ungesema "kubisha/kupiga hodi";
Unaweza kubisha hodi kwa kugonga mlango, kubonyeza kengele au kwa kutamka neno hodi ambapo kwa ung'eng'e ndo wanatumia hello there, somebody in there. Kwa asili milango yetu inikuwa haina milango kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.