Search results

  1. galindas

    Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Nunua kitu rojo inapenda shida zake utazitatua huko mbeleni.
  2. galindas

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari za muda wakuu, naomba kuuliza tena. Kuna jamaa yangu gari yake mark 2 grande, ina tatizo la kutetemeka sterling japo sio kila wakati. He yaweza kuwa ni nini?
  3. galindas

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sorry, ni aina gani ya betri nzuri na ya bei nafuu.
  4. galindas

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kuuliza tena wakuu, ni Sina gani ya betri nzuri na ya bei nafuu?
  5. galindas

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wakuu. Naomba kuuliza. Gari yangu haijawahi kunisumbua kwa namna yoyote. Lakini sasa kwa Mara ya kwanza imekuwa haiwaki kutokana na betri kuwa low. Naona kama ni jambo la ghafla sana kwa betri iliyokuwa nzima sana. Na hata nikibustiwa ikiwaka na kutembea umbali mrefu bado ukiizima haiwaki...
  6. galindas

    Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Hazina lakini kwenye screen inabadili mafuta yaliyopo kuwa kms, na geji yako pia itaendelea kusoma kama gari zingine. Uzuri wa brevis ukijua safari yako ni km ngapi huna hofu ya mafuta sababu kila kitu kinaonesha, mpaka namna unavyokanyaga mafuta inakueleza utatembea km ngapi kwa uendeshaji huo
  7. galindas

    Ni mafuta kiasi gani yanakuwa yamebakia pale fuel bar inapoanza kublink kwenye gari yako?

    Kwa wenye brevis kila kitu kinajieleza kwenye screen, unatakiwa kuijua gari yako vizuri.
  8. galindas

    Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

    Wewe kama Mimi, redio iliyokuja na gari ndio hiyohiyo. Kuliko nipeleke kwa fundi ianze kukatwa nyaya bora nisikilize hiyohiyo, kwa brevis sio mbaya
  9. galindas

    Kwa waliosoma shule za msingi Iringa mjini miaka 90

    Nilianzia shule pale Makanyagio, nikahia nyumbatatu, then sabasaba tangu la pili mpaka namaliza. Wale waliomaliza 1995 sabasaba tutakuwa tunafahamiana vizuri tu.
  10. galindas

    Maumivu ya kiuno na miguu

    Asanteni, nafanyia kazi ushauri wenu
  11. galindas

    Maumivu ya kiuno na miguu

    Msaada tafadhali. Nimekuwa nikipata maumivu ya miguu hasa nikisimama bila movement, ila nikikaa au kulala sisikii maumivu yoyote. Tatizo linaweza kusababishwa na nini na matibabu yake yapoje.
  12. galindas

    Toyota Cresta GX100

    Hizi gari nazikubali sana. Ni gari ngumu, nyingi utaziona zina namba A B na bado zipo vizuri. Tafuta gx 110 namba A uone zilivyochoka.
  13. galindas

    Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Hizi gari watu wanaziogopa bure. Gari yangu ya kwanza ni hii na ulaji wa mafuta ni kawaida hasa high way. Nimefanya uchunguzi wa kutosha, lita 7 unatembea km 100 bila ac, ukiwasha ac inapungua kidogo.
  14. galindas

    Hivi hizi fine za trafic zilnalipwaje

    knowledge is power. learn how to do it.
  15. galindas

    Hivi hizi fine za trafic zilnalipwaje

    kisome vizuri hicho kikaratasi utaona namba ya kampuni 888...
  16. galindas

    Hivi hizi fine za trafic zilnalipwaje

    ukiingiza namba ya kumbukumbu iliyopo kwenye hicho kikaratasi mwishoe italeta text kuwa umelipia kiasi kadhaa kwa jeshi la polisi
  17. galindas

    Brevis inahitajika ofa ml 5

    Highway ni 10km kwa lita. Nimesafiri nayo tanga to moshi kwenda na kurudi inakaribia km 600 kwa lita 60 Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom