Search results

  1. ferre.g

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Nina tatizo la miguu hasa ktk goti inalia km vijiti vinavyovunjwa hivi ...lkn pia ute ni kama haupo ...pia mifupa huniuma na miguu kuchemka au kuwa ya moto sana na maumivu makali sana...na pia nikisimama muda mrefu nashindwa kabisa ...japo sina unene wowote ...naomba unisaidie
  2. ferre.g

    Kuijadili CCM na matokeo ya Urais Zanzibar ni kuvunja katiba ya nchi

    Basi so bure wew n punguwani....tena halisi..kafie mbali
  3. ferre.g

    Kuijadili CCM na matokeo ya Urais Zanzibar ni kuvunja katiba ya nchi

    Mwenzio kaweka hoja tena ambazo zinaonesha kapevuka wew unakuja na matusi?eboo nyie vijana hivi mnaakili kweli tena timamuuuu?astakafrillah
  4. ferre.g

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Ni mpuuzi sana kijana huyu kwanza nazani amechukia sana kutokana na tangazo LA MAGUFULI...La kuwakamata waende kambini kuzalisha....nae ni mmoja wapo....anatakiwa kukamatwa haraka awekwe kambini
  5. ferre.g

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    PSPA...Tena nahisi ya mlimani..basi ndugu tumekuelewa....ni kuwa una stress,tireless, brainless, so why UA too bogus...u can't think more
  6. ferre.g

    Walimu karibu wote uwezo mdogo

    Sijui kwanini jf wamekuacha uendelee kudhalilisha walimu wako bila kuthibitisha hilo? Binafsi ni mwalimu A-Level Nina division ll ya point 10 na O-Level Nina division III ya 25 sasa nadhani ww umekosa busara na hekima Umepitia mikononi mwao Sasa umeshiba umeanza kutunyea mikononi mwetu. Katu...
  7. ferre.g

    waziri wa magufuli ahusishwa chadema

    Upuuzi mtupu
  8. ferre.g

    Mwanamke mmoja nchini Pakistani kamtukana mtume na mlinzi wa waziri, kajitoa muanga

    Ukitaka mgombane na mwislamu yeyote muulize tu,....mtume Wao alizaliwa lini na kwanini wanatumia kalenda ya kikristo?sisi wakristo tulianza kuhesabu kalenda pale alipokuja yesu kristo wao wanatumia IPI?
  9. ferre.g

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu huu mchezo kiukweli hta mm ilifka mahala nikakata tamaa kbsa...lkn nilijifunza kuwa hupwasi kukata tamaaa
  10. ferre.g

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwa Mwanangu nashukuru sana...kanipiga mno huu muhind aisee nami Leo mapemaaa nimemfumania
  11. ferre.g

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Natumia smart j5 kuapload inasumbua..believe me or not
  12. ferre.g

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo nimekosea tu Mkuu lakin mwenyeji n Torino na wageni ni Toulouse na Liverpool...km huamin subiri utaniona cku hz mbili ktk vipndi vya TV vya michezo Mkuu ...ni haraka ya furaha ndo ilonivuruga
  13. ferre.g

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nina furaha teeeeleeee Leo muhindi Wa premier nimempiga kipigo kitakatifu....nimecheza ngumu kumeza..nimecheza timu tatu na zmetiki ml.24,000,000 kwa 5000 1.niliwapa wageni wawili waanze kufunga wachomoe wenyeji matokeo yabaki suluhu..yaani (a)Torino vs lazio,...(b) Marseille vs Toulouse...
  14. ferre.g

    Polisi Yazuia Dhamana ya Eddy Riyami

    Ccm no janga
  15. ferre.g

    Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    umekielewa ulichopost?au umekatwa kichwa
  16. ferre.g

    Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    nilizani unaakili haswa za kufikiri kumbe pumba tupu. maswali ulouliza ni ya kitoto sana
  17. ferre.g

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Waziri mkuu wa awamu ya tano anatarajiwa kutangazwa muda si mrefu huku jina hili la DPP na aliyewahi kuwa balozi nchini Zimbwabwe...likilindimwa moyoni mwa wanausalama. mwenye cv yake please atuwekeee.
  18. ferre.g

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    hapo hakuna waziri mkuu.. waziri mkuu ni adadi rajabu...kubali kataaa shauri yako
Back
Top Bottom