Search results

  1. mwakatojofu

    Jews ndio Waanzilishi wa Social Network Zote.Je Watanzania Wasomi Wa Computer mnaweza

    hawa jamaa kweli noma. ila wameshindwa kutumia brain zao kali kumaliza umwagaji damu kat yao na waarabu/wapalestina
  2. mwakatojofu

    Jeetu Sues Govt, Mengi

    halaf ndo tunalialia kuwa sis maskin. vihela kidogo tukivipata vyote vinaishia kwenye matanuz na kulipa fidia wanaotuchukulia chetu na halaf tukiulizwa kwanin sis maskin tunasema hatujui
  3. mwakatojofu

    Jeetu Sues Govt, Mengi

    jamaa wanataka kuchoropoka yaani kwamfano mimi nikiiba halaf nikapelekwa mahakaman na kukiwepo ushahid kuwa nimeiba halaf magazet, radio na matv yote yakanitangaza tangaza sana kuwa mimi nimeiba ntakuwa nimeula kwa maana ntaachiwa?
  4. mwakatojofu

    Kituo cha Polisi Chachomwa Kyela

    nae mwakipesile bwana kwanin hakuwasikiliza? 1. au alikuwa na haraka sana? 2. au alikuwa anaogopa angeletewa fujo? sina uhakika na chochote katka hayo au mengine lakin mwakipesile, mwanasiasa, mkuu wa mkoa husika na ambaye aliwah kuwa mbunge wa sehem hiyo hiyo naamin alikuwa na cha kufanya...
  5. mwakatojofu

    Mama Zakia

    dini kweli inaruhusu. na ukisha kuwa rais matunzo ya sasa na baadae huumiz kichwa. lakin pia sijui angekuwa anaonwaje onwaje au ingekuwaje kuwaje kama miaka ya mwanzo ya 2000 ndo angejiongezea wake kama anavyofanya sasa. au kipind kile anaanza kujiandaa kumrith mkapa
  6. mwakatojofu

    Is Israel Already at War With Iran!?

    du. ingekuwa inawezekana wote wangeyaharibu hayo madude. shida yake imeonwa ujapan. lile dude ndo lingepigwa bongo kweli tungenyanyuka? akili, maarifa na maresources yote yangeelekezwa kutatua matatizo ya liyopo na yajayo ya mwanadam - lakin wapi! ni mabifu kwenda mbele
  7. mwakatojofu

    Benjamin William Mkapa nimjuaye...

    sikonge ameandika hivi: sa wewe unasema alipokosea tuparekebishe. yaani turudishe nyuma hayo mambo yawe hayakufanyika? kama kuna meremeta tayari imemeremeta na kama kuna deepgreen imeshakuwa hivyo na shida ingine hayo yalikuwa mambo yaliyokuwa yanafanyika katika kipindi kirefu. si rahis...
  8. mwakatojofu

    Ujumbe wa wazi kwa Mhe. Edward Lowassa: Uchaguzi ni wako

    sio rahisi kuomba samahani na kuomba samahani ni ustaarabu wa hali ya juu. inaambatana na kukubali kuwa wewe ni binadamu kama wengine - kuwa wewe sio malaika - kwamba unaweza kukosea kama kila mtu awezavyo kukosea hata hivyo kuomba samahani kunaambatana na nia ya kutotaka kurudia tena. sasa...
  9. mwakatojofu

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    naona kama una komplicate situation. yeye alisema mafisad ni hawa. yaani alisema wezi wetu ni hawa. na akataja na makashfa yawahusuyo. sasa kwanin tuanze kuangalia huyu mengi anashughulika na nini? haya chukulia ni mshindani wao katka biashara au anataka uraisi baada ya jmk. kwahiyo...
  10. mwakatojofu

    Kenyan media voice curiosity over JK, Obama meeting

    wala hatumpi hongera akienda kuzungusha bakuri. hata sis inatuuzi ati! na pia hapa kila mara tunasema jamaa kazid kuzunguka zunguka. au husomi posts za humu? any way. akienda nje si lazima aende kuomba omba. inawezekana ni kula gud time tu. inawezekana ikawa mambo mengine pia. kuhusu knjaro...
  11. mwakatojofu

    Kenyan media voice curiosity over JK, Obama meeting

    pole pole na mazarau na kiongoz wa wenzio hebu fafanua udesaji uliwezekanaje kwenye informal talks?
  12. mwakatojofu

    ITV, Mengi to be dealt with soon

    unaonekana kama una uhakika na unachoongea. wewe ndo mwamuz mwenyewe?
  13. mwakatojofu

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    pole mwakyembe. mungu akusaidie upone haraka
  14. mwakatojofu

    Mafisadi watashinda! - A somber look

    kushinda mafisad ni lazima kwanza mafisad wote ni sampuli za watu wenye roho ngumu za ajabu. na ni kufa ama kupona kwao. na hebu fikiria rostam, lowasa, chenge waamue waseme hatutaki kabisa kujishughulisha na siasa. na waamue kuwaacha walivyo kina kilango, seleli, mwakyembe, na wengine...
  15. mwakatojofu

    President Ahmedinejad: A Role Model?

    Tz hii yetu mtu sampuli ya huyu raisi wa iran si rahis kukubalika mpaka akafika kuwa rais. Kwamfano akitaka kupitia mgongo wa ccm basi atapingwa mpaka kitaeleweka. Sijui hiyo cc au nec yao haitomkubali Sijui kwanin likely itakuwa hiv wakat kila kukicha tunajifanya kumkumbuka, kumuenz na...
  16. mwakatojofu

    President Ahmedinejad: A Role Model?

    he. kumbe sio kweli lakin suppose ni kweli au kwa kiasi kikubwa ni kweli
  17. mwakatojofu

    Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

    ah angekuwa huyo hussein m ndo magufuli, masaka ningekuunga mkono. lakin ajabu sijui kwanin hujampendekeza magufuli. au kwasababu babake hakuwa rais siku za nyuma mtu wa kawaida kama mie kazi za magufuli naziona na nazisikia. hussein mwinyi namsikia bungeni tu. au labda anapewa wizara...
  18. mwakatojofu

    Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

    hiyo haihalalishi na sisi tuanze kuiga
  19. mwakatojofu

    Rais obama azomewa.

    kama ni kuzomea huenda pia walikuwa wanaanagalia zaid imani yao - au ya jumuia yao ikoje kuhusu suala hilo. hii naweka pembeni kuwa wao ni wanajumuia ya chuo kikuu - na ambao wanaweza kuwa wanatoka din tofaut hebu kumbuka hapa tz rais mstaafu alhaj ali hassan mwinyi alishambuliwa mwilini...
Back
Top Bottom