Wanandoa waliachana wakiwa na mtoto mmoja,sasa kila mmoja anadai yeye ndiye anastahili kumtunza na kuish na mtoto mzozo ukawa mkubwa wakaamua kwenda mahakamani,kila mmoja akaanza kujitetea mbele ya hakimu.=>baba:asante sana hakimu mimi ndiye nastahili kumtunza na kuish na huyu mtoto,kwamfano...
Mimi nina tatizo la kuwa na uume mdogo kiasi kwamba mke wangu ameanza kutoka nje kisa simridhish,jaman msaada tu ndo utanusuru hii ndoa nile kitu gani au ni dawa gan nikiipata itanisaidia. Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.