Search results

  1. M

    Je, mzunguko wa mwezi kuizuka dunia hua una athali katika akili za wanadamu na tabia za wanadamu?

    Nawasalimu wakuu wote. Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu wanaita mchango hua unawapata zaidi wakati wa mwezi mchanga. Pia wakati huo hata kwa watu wengi...
  2. M

    Natafuta mke alie tayari kwa kuolewa

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu Mimi nikijana nilie ajiliwa katika idala moja wapo seriialini Nina umliwa miaka 34 nahitaji nimpate mpenzi ambaye ana lengo la kujenga maisha umli miaka 25 na kuendelea wasiliana nami kwa namba 0743503492 SMS zote zitajibiwa
  3. M

    Njoo nikuelekeze kutengeneza dawa ya tezi dume bure

    Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja. Ukihitaji nikutengezee nitakuchaji 60000 tu ambayo utailipa baada ya kupona
  4. M

    Mwenye kujua mahali wanapokopesha bajaji kwa masharti nafuu

    Ndugu, heshima kwenu wakuu Mimi ni kijana mjasilia mali mwenye hutaji la kutimiza ndoto zangu. Naomba kujuzwa wapi naweza pata mkopo wa bajaji kwa masharti nafuu, dhamana ya mkopo ni Bajaji yenyewe Pia nina uwezo wa kutanguliza fedha kiasi cha shilingi milioni moja na nusu na inayo baki...
  5. M

    Mwanamke anae ishi kanda ya ziwa anahitajika

    Mtafutaji hachoki, nahitaji mchumba (mke) awe anaishi kanda ya ziwa. Mimi n kijana mjasiliamali nina umli wa miaka 33. Ninatafuta mke mwenye umli kai ya miaka 26 hadi 33, awe mkristo, elimu angalau kidato cha nne na kuendelea asiwe mke wa mtu akiwa na mtoto mmoja rukusa. Nahitaji walio sereous...
  6. M

    Natafute mpenzi awe anaishi mikoa ya kanda ya ziwa

    Kama heading hapo juu inavyo sema mimi ni kijana ninae ishi mikoa ya kanda ya ziwa. Nimuaiiliwa serikalini na elimu yangu ni shahada, dini ni mkristo, umbo langu si mnene wala si mwembamba na urefu wa wastani natafuta mchumba atakae kua mke endapo tutaelewana umli kati ya miaka 24 hadi miaka 33...
  7. M

    Mchumba anahitajika

    Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 31 ni muajiliwa serikalini elimu yangu ni shahada Nahitaji mke mwenye nia ya dhati kujenga familia umli miaka 24 mpaka 33 Kwa alie serious napatikana kwa namba 0628944712
  8. M

    Pongezi kwa Askari Polisi wa Geita

    Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa askali polisi wa Geita Central station kwa jitihada walizo Fanya mpaka kumuokoa mtoto alie kua ametekwa na mtu alie toa masharti ya kupewa fedha ili amuachilie Tarehe 03/01/2017 nilifika nyumbani mida ya saa saba mchana ambapo nilikuta nyumba imejaa...
  9. M

    Mikopo ya kununua gali ya biashara

    Ndugu mimi ni mtumishi wa umma pia ni mjasilia mali katika swala zima la usafishaji Ninaomba kujua kama kuna watu binafsi au kampuni zinazo toa mkopo hasa wa gali aina ya Hiace kwa mashariti nafuu Niko tayari kurejesha gharama zote pamoja na riba ndani ya miaka mitatu dhamana yangu kubwa ni...
  10. M

    Nauza tablet ya itel bei sawa na bure

    Nauza tabket yangu ya itel it 1702 imetumika kwa mwezi mmoja tu bei laki na nusu kwa wenyeji wa kanda ya ziwa tuwasiliane kwa namba 0753868912 na nita poat specification zake baadae kidogo pamoja na image
  11. M

    Joinning instructions ya Karatu High school

    Kama kuna mtu anae weza pata joining instructions ya karatu High school naomba anitumie whatsapp kwa mamba 0753868912
  12. M

    Akina dada msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisini

    Akina dada nipende kuwashauri kitu kimoja. Msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisi moja na kuwaona wa thamani kubwa watu msiowajua hasa wa kwenye mitandao mkidhani kuwa hao ndio wana maisha bora. Ukweli ni kwamba akina dada wengi wanatabia ya kuwadharau vijana wanaoishinao wakiamini...
  13. M

    Baada ya kuhanga muda mrefu na kusiko njia hatimamae sasa Mungu afungua njia

    Nimehangaika sana nikimtafuta mke wa maisha yangu kwa mda mrefu. Wengi walio jitokeza hawakuwa na nia ya dhati ajabu nimekutana na mtu ambae ananjia inafaa katika maisha yangu kwa njia ambayo hata mimi sikuelewa.
  14. M

    Laini ya mpesa inauzwa kwa laki moja na nusu tu

    ninauza laini yangu ya mpesa kwa laki na nusu tu. napatikana Dodoma mjini kwa mteja alie tayari anipigie nimletee mahali alipo kwa namba 0764992360
  15. M

    Kwa wanawake wanao tafuta wachumba tu

    Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka ishirini na tisa nimeajiliwa katika idala moja wapo ya serikali. Ninatafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 28 sifa za ninae mhitaji awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, asiwe mwanafunzi, awe mkiristo kama ni mwislamu awe tayari...
  16. M

    Natafuta gari aina ya noah ya kununua kwa milioni saba

    Natafuta gari aina ya noah kwa milioni saba nitatoa milioni tatu na nusu cash na baada ya miezi sita nitamalizia milioni tatu na nusu. Mwenye nayo wasiliana nami kupitia +255753868912
  17. M

    Narudi tena kwa mara nyingine kwa wanawake wote ambao hamjaolewa ina wahusu

    Mara ya kwanza nilipost tangazo langu nikitafuta mwanamke wa kua naye ni kweli kuna walio jitokeza hasa ambae alie kua na privillage kubwa kuna mambo kadhaa ambayo hakuyaelewa kutoka kwangu na kisha kuto elewana. Narudi kwa mara nyingine nikitafuta ambae tutaweza kuendanamiaka 21 mpaka 28 MIMI...
  18. M

    Nikopeshe gari hiace tuweke mkataba wa kukulipa shilingi laki tano kilamwezi kwa mda wa miaka mitan

    Mimi ni mtumishi wa serikali nilie ajiliwa chini ya serikali za mitaa Ninatafuta mfanya biashara anae weza kuniamini na kunikopesha gari aina toyota hiace ambayenitaingianaye mkataba wa kumlipa laki tano kila mwezi kwa mda wa miezi sitini endapo gari itakua mpya
  19. M

    Natafuta mkopo wa kukununua Noah au Hiace

    Mimi ni mtumishi wa serikali nilie ajiliwa chini ya TAMISEMI Natafuta kampuni au mfanyabiashara yoyote anaeweza kunipa mkopo wa gari aina ya noah au hiace kwa mkataba wa kumlipa pole pole kutoka kwenye mshahara wangu. Kwa yeyote anae jua uwepo wa kampuni kama hiyo tafadhali nijulishe kupitia...
  20. M

    natafuta gali aina ya noah

    natafuta gali used aina ya noah bajeti yangu milioni tano na laki tano. iwe katika hali nzuri kama unayo ni text kwenye 075386892
Back
Top Bottom