Search results

  1. M

    Kuhusu Tanzania kukubali malipo kwa njia ya paypal

    Sio lazima paypal, kuna payoneer na epayment. Wako vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Tengeneza tzs 50,000 kila siku

    Unaweza kabisa kama wakikutumia master card yao. Pia unaweza kutumia epayment nao wako vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Tengeneza tzs 50,000 kila siku

    Uko vizuri sana mkuu. Umejaribu kuweka kila kitu wazi kiasi kwamba mtu akifuata maelezo yako ananzaa kuona matunda leo leo. Pia usikate tamaa kushare njia mbalimbali mkuu maana wako wengi wata disi ila wachache wanafanyia kazi hata kama hawatakwambia asante. Kwa wenzetu njia kama hii huwezi pewa...
  4. M

    Hili ndio tatizo la simu original hadi watu wengi wanaona bora tecno

    Mmmh[emoji23] [emoji23] [emoji40] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    MSAADA WAKUU EPSON PRINTER L386 WASTE INK RESERT COUNTERS ZINAHITAJI RESERT

    Ulishawahi kufanya reset kabla? kama bado utapewa free test kwanza ili uwendelee kutumia mpaka utakapopata hela ya kununua keys
  6. M

    Ipo siku Google, Facebook, twt, Instagram zitakuwa zikifundishwa darasani kama masomo Mengine (maths, geo, etc)

    Ni rahisi sana ukipata hio ukiisoma. Mm mwenyewe napata nyingi ingawa sijafikia ya jamaa hapo.
  7. M

    Ipo siku Google, Facebook, twt, Instagram zitakuwa zikifundishwa darasani kama masomo Mengine (maths, geo, etc)

    Ningepata watu ambao wako serious ningewafundisha kozi moja yakutengengeza pesa kupitia social media. Ambayo utaweza pata $50 easily. Na hii auto pilot kabisa.
  8. M

    Ipo siku Google, Facebook, twt, Instagram zitakuwa zikifundishwa darasani kama masomo Mengine (maths, geo, etc)

    Ni kweli na kuna baadhi ya nchi tayari watu wanafundishwa. Hata mm nimeshasoma moja ya kozi hizo tena kwa bei ghali sana.
  9. M

    Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

    Labda unakosea kwenye postal address unayotumia. Mm ilifika na kuna watu niliwasaidia na zimefika pia.
  10. M

    Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

    Wala hilo sio tatizo kubwa kuna njia nyingi tu na salama kama Payoneer. Tatizo IT wa Tanzania sio wabunifu wao ni theory nyingi kichwani. Nina amini kama IT unaweza kupata pesa nyingi sana online kama ukiwa mjanja na mbunifu. Kuna rafiki zangu ambao ni IT nilikua nawashangaa sana kukuta...
  11. M

    Kuhusu Tanzania kukubali malipo kwa njia ya paypal

    Kwa kweli kama Tunaweza kuungana kwa hili na kuwashawishi Paypal itakua jambo la kheri sana. Mimi binafsi nimekua muhanga wa hili tatizo. Kwa sasa natumia Payoneer na watu wengi wa njee hawana au hawapendi kutumia. Kila mteja anakuambia wanalipa kwa paypal. Ila kweli paypal wakiruhusu sisi...
  12. M

    Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

    Jinsi gani naweza pata hio airmal ndugu au mpaka niende posta
  13. M

    Hoteli ya Mt. Meru yawekwa Sokoni

    Sasa mmiliki wa M.meru ni nani? Na mmiliki kwann aiuze kama hana shida na hela?
  14. M

    Hoteli ya Mt. Meru yawekwa Sokoni

    Kwan ikiuzwa hio hela inapelekwa wapi??
  15. M

    Mwanafunzi atengeneza simu isiyotumia air time

    Kawaida ya Watanzania, kila kitu tunajua. Mpaka kutangazwa inamaana ni kitu cha pekee kufanyika na kama kingekuwa cha kawaida wasinge mpa hio heshima.
  16. M

    Agiza kitu chochote toka Ujerumani kisichozidi kg 20

    Inabidi uawape watu uthibitisho wa kutosha maana mwaka jana kama sikosei kuna jamaa alikuja kwa gia hio na aliwaliza watu wengi sana. Mm mwenyewe ilibaki chembe alinilize lakini nikachomoka. Alinipa namba nikaongea na mtu aliedai na mke wake ambae yuko dar.
  17. M

    Nawezaje kupata mkopo mdogomdogo mtandaoni au kupata pesa online?

    Naomba nijulishe migodi mingine ndugu.
  18. M

    Msaada: Madhara ya kuuziwa adsense

    Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua?
Back
Top Bottom