Search results

  1. Robert mp

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Simu Yeyote Ila Iwe Na Kioo Size 5 Na Kuendelea,intenal Gb4 Nakuendelea,camera Mp5 Nkndelea,ram Gb1 Nakuendelea.Bajeti Yangu 150000.Nitafute Kwa Namba Hii 0754288065
  2. Robert mp

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkubwa Unazingua Watu Tu.Kwan Bei Ulotaja Ukipigiwa Simu Kuitaka Hiyo Simu Unakataa Kuwa Huuzi Hiyo Bei.Kuwa Mkweli Mkuu,unaboa
  3. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mi nina laptop ila najaribu kuweka kodi inagoma sijui tatizo nini?? Au kuna kodi ya simu na laptop??
  4. Robert mp

    Niuzie Ipad

    Hata mie nataka ipad mwenye nayo anicheki kwa 0754288065
  5. Robert mp

    Wauza smartphone tukutane hapa

    mkuu hiyo sopar 5 ni simu au kitu gani?? Maana sijakuelewa kabisa
  6. Robert mp

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu hiyo sopar 5 ni simu au kitu gani?? Maana sijakuelewa hapo MKALI WAO
  7. Robert mp

    Niuzie simu hizi tecno r7 au c8

    Kuna wengine wataiona kubwa sana hiyo bajeti mkuu
  8. Robert mp

    Niuzie simu hizi tecno r7 au c8

    Mwenye simu tajwa hapo juu aniuzie bajeti yangu ni 200000 napatikana kwa namba hii 0754288065
  9. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Jaman msaada nimebadili simu.sasa hii niliyonayo inagoma kupokea app ya kodi natumia tecno p9 phatom pad min
  10. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Wakuu kuna plugin yeyote ya kuonesha wanyama kwenye kodi yangu msaada
  11. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mkuu imegoma kabisa kufunguka hiyo azam 2.sijui tatizo nini??
  12. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mkuu inaniandikia hivi nikiifungua hiyo chanel ONE OR MORE ITEMS FAILED TO PLAY.CHECK THE LOG FOR MORE INFORMATION ABOUT THIS MESSAGE
  13. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mkuu kwangu hiyo azamu inagoma kuonesha kabisa sijui tatizo nini?? Msaada hapo
  14. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mkuu ni shida tisha ile mbaya.ubarikiwe na mungu.na je ya ngumi naweza pata?? Ziwe za kivita,action,kung fu nk. Naomba msaada wko na wengine humu
  15. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mbona hilo jukwaa la wakubwa sijaliona mkuu?? Na hiyo fusion nayo pia sijaiona msaada mkuu wa link
  16. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Mbona mie hiyo zemu tv inagoma kwangu wakuu msaada hapo.
  17. Robert mp

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Hivi hakuna plugin ya kuangalia chanel za wakubwa jamani?? Maana za ball kwangu zimetosha SPORTS DEVIL NA MONEYSPORTS
Back
Top Bottom