Search results

  1. 4

    Natafta kazi ...

    Habari wanajukwaa..nina diploma in Early Childhood Education(ECD) natafta kaz ya ualimu katika shule,center,naweza pia kutunza watoto katika Day care au katika Ophanage yeyote.kwa anayenihitaji nipo tayari..naishi moshi
  2. 4

    Mie mgeni...

    Naomben mnipokee natumai kupata ushirikiano mzuri maana wote ni waungwana.asanten
  3. 4

    Mawasiliano..

    Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1...
  4. 4

    Naomben ushauri..

    Helloo!!nimeolewa mume wangu ananiweka kwenye wkt mgumu.. haonyesh kunijali,haonyesh kujal hisia zangu,hanickiliz kwa lolote,nikimshauri kitu hawez kukifanyia kaz labda ashauriwe kitu hicho hicho na mtu mwingine au mama yake.najickia vibaya sana naona km ananidharau kwan anaweza hata...
  5. 4

    Nisaidieni.

    Habari wana jukwaa.kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie.je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI? Mtu anaweza kukuambia nakupenda halaf haonyesh kukujali?mf. Yuko radhi akukwaze kuliko amkwaze mtu mwingine akijua baadae atakuomba msamaha na huna jinc utamsamehe...natumai mmenielewa mcntukane...
  6. 4

    Tofaut ya maneno haya..

    Habari wana jukwaa..kwa mara ya kwanza naomba mniambie je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI au yanafanana.je unaweza mpenda mtu halaf ukawa huonyesh kumjali???msintukane naitaji kujua
Back
Top Bottom