Search results

  1. S

    Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

    It's true kipaji kama hiki kinaweza kupotea mahali oasipojulikana. Mfumo wa elimu tuliyonayo utamlazimu kupitia njia ambayo ina milima na mabonde ya kutosha. Ni kiwa na maana uwezo peke yake wa kubuni hautoshi lazima darasani pia awe vzr ili aweze kufikia lengo. Naona palikua na kila haja ya...
  2. S

    Ukweli kuhusu mbegu za kiume (sperm) !

    Maintain your enviroment with successful people. Avoid mediocre groups
  3. S

    Ukweli kuhusu mbegu za kiume (sperm) !

    We have more critics than Motivations, most are pessimistic than its opposite
  4. S

    Zanzibar bila ya Muungano ingekuwa ni upper middle income country!

    Idadi kubwa ya watu naona ni moja kati ya mambo yangeweza kutuendeleza zaidi. Tunahitaji nguvu kazi ya taifa, kama number ya watu itakua kubwa na wote ni wachapakazi na wanafikiri vizur namna ya kuliendeleza taifa kuna haja gani ya kuzuia kuzaliana?? Weka misingi madhubuti katika elimu, elimu...
  5. S

    Zanzibar bila ya Muungano ingekuwa ni upper middle income country!

    Nchi ngapi duniani they had full potential of becoming more prosperous than these we are seeing today like US, Canada etc??
  6. S

    Zanzibar bila ya Muungano ingekuwa ni upper middle income country!

    Tunahitajika sana tusome historia na angalau theory za social science zinazoelezea prosperity na poverty kwa mataifa. Naomba ujenge hoja tena kwa kuassume tayari wako peke yao bila Bara then tueleze maendeleo yao yangekuja vipi..?
  7. S

    Faham mbinu muhimu za kusaidia ufanikiwe katika biashara yako.

    Leo katika pita pita zangu za hapa na pale nilihitaji kifurushi cha mtandao ninaotumia kwa ajili ya kuweza kupiga mitandao yote. Nilipofika kwa mtoa huduma nilimuuliza vocha ya **** ntapata kifurushi kitachonipa dakika ngapi za mitando yote?? Mtoa huduma alishindwa kunijibu huku akiniambia yeye...
  8. S

    Utaratibu mpya wa kupata passport kwa kutumia kitambulisho cha kitaifa ukoje kwa wale waishio nje ya nchi?

    Ishu ya kitambulisho nimefanikiwa kufanya maombi na sasa nakisubiria tu. Cheti changu cha kuzaliwa niliki-certify kwa mwanasheria na hivyo kuwepesisha zoezi.
  9. S

    Utaratibu mpya wa kupata passport kwa kutumia kitambulisho cha kitaifa ukoje kwa wale waishio nje ya nchi?

    Msaada. Mimi nimerejea nchini juzi tu hapo kutoka masomoni, pia ni muhitaji wa passport mpya ambapo kwanza ntaanza na cha uraia. Vyeti vyangu(original) nimeacha nyumbani kwangu ninapoishi huko ughaibuni. Zikupata wazo la kubeba vyeti(original) kwakua tayari nilishakua na pasport awali. Lakini...
  10. S

    Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja

    It is like a habit now to attack Original Poster without any strong argument. Watazania wengi ni waoga kujenga hoja badala yake wanakimbilia matusi na kejeri. Kinachosikitisha zaidi wenye tabia hizo sio watoto wadogo labfa tuseme balegh zinawasumbua, ni watu wazima na akili zao timamu. Kwa...
  11. S

    Wanawake turuhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja

    When the 4th one comes into position.
  12. S

    Je, unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

    Kwanini article zetu hazipo kitaalam zaidi? Haya mambo yanahitaji research na lazima iwekwe wazi how was conducted until you reached that conclusion.
  13. S

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Mimi nikija kwako kama mteja nisiefahamu taaluma ww kama mtaalamu inabidi uje na njia mbadala itayopunguza gharama za ujenzi. Kama mteja nilietembea na kuona namna nchi zingine zinavyojenga nikakutolea hoja ya ujenzi wa waturuki na kuona una nafuu kwangu, ww kama mtaalamu nipe maelezo ya kisomi...
  14. S

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Lengine hii sio tech mpya. Kuna majengo yana zaidi ya miaka 30 na yalijengwa kwa style hyo. Na hiyo case yako ya kusema wanajaribu tech ni dhahania sana haijajengeka katika mashiko. Watu wanakaa darasani wana calc kila kitu si maswala ya kubahatisha bahatisha
  15. S

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    baadhi ya Watz wengi wanamatatizo sana. Kujua mambo mawili matatu tayari anapata ujasiri wa kumwita mwenzake majina ya ajabu ya kumdhalilisha pasi na kumjua mwenzaje anakiwango gani cha elimu. Mi sitakurudishia tusi lako la kuniita kiazi. Kama umesoma vzr nilichoandika kuna jambo ambalo sikutaka...
  16. S

    Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Naomba kuchukua nafasi hii ku-compliment kauli ya waziri. Mimi ni katika wanaoshangaa tech tunayotumia katika ujenzi labda nikipewa maelezo ta kitaalamu nitaelewa vzr. Ujenzi wentu unachukua tofari nyingi sana tena zile nzito ambazo kwa haraka haraka zinaongeza gharama za ujenzi. Mimi kwa sasa...
  17. S

    Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    Sijaandika mda mrefu sana jamiiforum lakini hapa kwa huyu mnyamwa umenishawishi niandike. BMW ni balaa ni machine isiyo ya kawaida nadiriki kusema it's like imefungwa jet-engine. Machine is very stable ikikaa barabarani, speed skwambii kaangalie tu review ikilinganishwa na audi au M.benz ambazo...
  18. S

    Dua nzito kwa shekh khassan makarama

    Kina Mama wa kiislam wanatia huruma na hali zao. Allah awaongoze wao na mimi na ndugu yangu Hassan Makamara
  19. S

    Dua nzito kwa shekh khassan makarama

    Ndugu yetu Kaka Hassan Kamara mche mola wako. Sina uhakika na usahihi wa unachokifanya, bali namili zaidi kusema ni makosa kisheria. Kwanza ilmu ya nyota haina asli kutoka kwa mtume sala na salam zimfikie bali ni ilmu ya makuhani na hata amesema mwanazuoni Al kahtwani katika nuniya yake علم...
Back
Top Bottom