Search results

  1. F

    Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

    Naomba mkuu ufafanue hiyo niliyo highlight na red. Kwanini wasichana umri huo hawawezi kuwa bungeni? na je wavulana wa umri huo wanaweza? Asante
  2. F

    Tonny Ngombale Mwiru afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    jamani angalieni iyo niliyo highlight kwa red. does it make any sense to anyone?
  3. F

    Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

    Wewe ulijuaje hakukana urai wake wa zamani? Wewe ni immigration offer?
  4. F

    Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

    sidhani unatakiwa uwe umezaliwa Tanzania au Tanganyika ndio uwe Mtanzania. Huu ni unyanyasaji
  5. F

    Jinsi ya Kujiunga na CCJ kwa njia ya Simu

    MKK, Kwani CCJ wameshapata uwanachama wa kudumu? Kama bado, je moja na conditions ambazo wanaitaji kutekeleza kupata uwanachama wa kudumu ni kupata idadi Fulani ya wanachama kwenye mikoa tofauti? Na kama that the case, Je hawawezi kutumia hela na mali walizonanzo kuandikisha idadi kubwa...
  6. F

    Jinsi ya Kujiunga na CCJ kwa njia ya Simu

    Mwanakijiji/JF members, Apology kama swali langu ni la kipuuzi, ila mimi binafsi ninajiuliza je hii kujiandikisha kwa simu haitafanya mtu mmoja kuweza kujiandikisha mara nyingi with different names and locations? je uhakiki wa kujiunga kwa njia hii bila kuwa na proper identification...
  7. F

    Mwenyekiti wa TA UK

    Dah watu mnapumba... Mambo kama haya ya umbeya ndio maana wengine tunawakimbia watanzania abroad maana waongeacho na matendo ni ujinga tupu. TA which I assume ni kifupi ya Tanzanians Association?? inasaidia nini watanzania? And I hope is not funded by the Tz government. Could someone please...
  8. F

    Kweli watanzania wamepoteza maadili na utu?

    Mwanakijiji sio tu kupiga picha ni ata kutangaza vifo vya watu bila ridhaa ya wanafamilia.. Mimi binafsi naona kuandika habari ya marehemu hapa JF au kwenye magazeti bila kuwa na ridhaa ya wanafamilia waliobaki sio vizuri. Maana wakati mwinginie wanafamila wengine hawajui kilichotokea mijitu...
  9. F

    Mama Salma Kikwete anusurika kupata ajali mkoani Mara

    mhhh MK umejuaje? alafu kiongozi fulani.. does that mean unamjua ni kiongozi yupi? na kwamba hiyo ajali haitakuwa ajali ya kawaida? kuna uwezokano wowote wa kuepusha hiyo ajali? je uyo kiongozi fulani hawezi kutonywa awe careful?
  10. F

    Tanzania plans to appeal failed ivory auction proposal

    Hivi advisers wa Rais and the all government ni wakina nani? mbona ni vilanzi hivyo!!!
  11. F

    Hatari Mgodini North Mara - Chukua Hatua!

    That is exactly what i was thinking, Viongozi wetu tanzania hawawezi kutetea wanyonge, wapeshapata rushwa na sasa hawawezi kusema kitu chochote kwa Baricks.
  12. F

    Hatari Mgodini North Mara - Chukua Hatua!

    Sorry been away for a while with no internet access.. Any idea of local Environmental agencies/ ngo that could help with this? or local lawyers who could help these people (Victims) to sue Barricks?
  13. F

    Tandale si mchezo

    Njia pekee ya kuokoa vijana wetu ni kuongeza ajira tanzania. JK yuko busy kuwaentertain mafisadi so hii ya kuongeza ajiri ni ndoto kwa sasa... ndio tz yetu etiiii
  14. F

    Andrew Chenge: KASHFA MPYA

    I am abit feed up with this Chenge person...inabidi akanyoe nywele zake kwanza aonekane smart :-) lol
  15. F

    Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

    Ohh dear are you f..... joking? Kwa hiyo kama mtoto ni warais we all have to bow our head for him? Swali nililonalo kwako... je rais ni mtu mmoja au ni familia yake nzima?
  16. F

    Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

    Naamini kunatofauti kubwa ya mtu ambaye amepata hela na utajiri kwa njia halali na yule ambaye amepata utajiri kwa njia haramu kama ufisadi. Although its wrong to conclude that Dr Mwinyi ni fisadi without evidence, but its our respeonsibilities and rights as citizen to ask where did he get money...
  17. F

    Kikwete to announce stimulus for economy

    Mwanakijiji, je unajua vigenzo gani vilitumika kuchagua companies gani wapewe mikopo na companies gani zipewe ruzuku (wasirudishe hiyo mikopo)?
  18. F

    Hatari Mgodini North Mara - Chukua Hatua!

    Thanks Chacha, I have gone through both websites, but there is less scientific evidence which back up the story as Waberoya said.Nevertheless I do suggest we put together a letter and any available documentation evidences and we can try to send to media and other relevant environmental...
  19. F

    Hatari Mgodini North Mara - Chukua Hatua!

    Sorry i thought wewe ndio chacha mwenyewe. Mkuu i asked if there are scientific Evidences kwasababu we in order to get support from media in western countries we need to these evidence. Hatuwezi tukaapproach for instance BBC na kuwapa info with no evidence.. kuna mashirika mengi tu ambayo will...
Back
Top Bottom