TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba...
OIC na south africa kila siku wanalalamika kuhusu humanitarian crisis!OIC kila siku inaomba vita visitishwe eti watoto wanakufa sana kuliko baba na mama zao! hivi sasa ukiiona Gaza ni sawa na mburahati ya mwaka 1967 imegeuka sehemu ya kuokota maiti Abedel Nasir raisi wa misri katika vita ya...
WEWE MLETA MADA HII SIO RAIA WA TANZANIA. Hamas Kaua watanzania wawili halafu bado unaishabikia miarabu miuaji ya kipalestina1 AU SABABU WALE WALIOUWAWA NI WAKRISTO NDO MAANA HAIKUUMI KAMA IKUUMAVYO MIPALESTINA IKINYONGWA!
baraza la usalama la umoja wa mataifa lina member 80% wanachama wa OIC,nchi zote za kiarabu na nchi ya sauth africa. maajabu yake nim kwamba nchi zote hizo hazikulaani kitendo cha HAMAS kuuwa waisraeli 1400! wala kusisitiza mateka wote waachiwe mara moja ili vita iishe. nchi hizo zinataka Israel...
ina maana chatu akiingia katika zizi la kuku huwezi kumuua ikiwa siku hiyo ni xmass? au huwezi kupiga kelelele za mwizi kama kibaka kakuibia bahasha ya mshalala siku ya xmass? kwa nini hao waarabu wa bethlehemu wasilaani Hamas na kuiamuru iachie mateka wote iliyowashililia?
israel inaamini mshahala wa dhambi ni mauti na Kamas au hamas inaamini mshahala wa dhambi ni soda ya milinda! hapo dhambi inalindwa na hamasi wakati Israel inataka kuiepuka. Vita haiishi tangia goliath apigwe na David
toka mweusi achukue nchi hapo azania, uchumi wao umetelemka mpaka Lagos kawapita na kenya wnapishana kwa senti kumi na tano tuu. haya majitu ya ANC ni pur communist minded people. mauaji ya hamas kwao waliweka picnic ila revenge ya israel wanaweka matanga. Nchi za africa zote zenye weusi...
wewe unamuuliza Faiza swali la uhodari wa israel! huyu angepewa kesi ya kumhukumun yesu miaka 2000 ilopita wewe unadhania angeaamua vipi? maana niliwahi kumuuliza waisrael asili yao wapi? Faiza hakunipa jibu mpaka leo!
vema sana mkuu. hawa wenzetu wana slogan ya 1947: ukinipiga umenionea ila ukiniachia ni mbabe wako. unajua hata mwaka 1976 israel ilipofauru kuokoa mateka wake pale entebe hawa wenzetu ule ulikuwa msiba mzito saana inasemekana colonel Qadafi alivunja TV na kuchoma moto sebure kwa uchungu!
wewe jifariji tuu. mwaka 1967 usiusahau. mataifa yote ya kiislamu yaliishambulia Israel na msaada wa MOSSAD ndio ulioifanya Israel ishinde vita kwa siku sita. kamasi au hamas ni kunguni tuu achafuaye vyumba na kutafutiwa diazon. je unaweza msifia kunguni ni kiboko cha mwenye nyumba ikiwa mwenye...
mashabiki wa hamasi au kamasi wanadai hamasi kashibnda kumbe wanafanana na mashabiki wa Ihefu wanaosema Ihefu kashinda yanga basi itatuwakilisha vema klabu bingwa africa!!!!!!!!
MuIsrael kashasema nia wanayo na sababu wanayo ya kukomesha Hamas au kamasi kuwepo duniani.wamuulize Abdullahman Rantisi, Mohamedi Khamshali, George habash,Wadie Hadad na Yasser Arafat wapo wapi hivi leo. wote wamevaa suti isiyo na malinda(sanda)
gaza unanya nini! mbona hujaenda jesrusalem? mbona hujaenda hija sehemu amabyo mtume anaaminika alipaa mbinguni Al aqsa? si unadai kamasi kashinda usiishie hapo wewe nenda huru jiji la daudi jerusalem kashangilie huko maana kamasi kachukua kiti jerusalem. unaogopa nini? kama unaogopa basi...
Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
haya yote ni tisa kumi ni nani kakalia jiji la Jerusalem? mbona hamjamtoa mjukuu wa Rebeca ili kamasi akaishi pale. kafukuzwa mpalestina tangia 1948 na kutekwa kila kiwanja chake leo warudisheni Jerusalem basi kama Hisbollah na kamasi ni wababe. semeni semeni mapaka mpasuke ila ukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.