Search results

  1. K

    Sehemu za burudani Mtwara

    WanaJF Naombeni msaada kujua sehemu za burudani mjini mtwara,natarajia kuwa mtwara kikazi kwa wiki 3,je kuna sehemu nzuri ya burudani kama vile night club na je kuna watoto wazuri wa kuvinjari? N.k
  2. K

    Eti Najimunisa imeua tena?

    Tetesi ambazo hazina uhakika kutoka chanzo inasemekana najmunisa ikiwa safarini kwenda simiyu imeua 36
  3. K

    Msaada

    Wanajf,naombeni msaada,nina digrii ya elimu maalum,sasa nataka nikachukue masters ya kati ya social work na human resources,hapa tz vyuo gani vinatoa kozi hizi? na ipi ni nzuri?
  4. K

    Msaada

    Eid Mubarak wanajf,naombeni msaada,nina bachelor ya elimu maalum,nataka kuchukua master kati ya human resource na social work je vyuo gani hapa tz vinatoa kozi hizi?
  5. K

    Mabomba ya gas mtwara-dar yawasili

    Hatimaye mabomba ya gesi kutoka china yamewasili nchini tayari kujengwa kupitisha gesi toka mtwara kwenda Dar
  6. K

    Huduma za m-pesa kwenda benki

    Wanajf,hizi huduma za kuhamisha pesa kutoka m-pesa kwenda nmb inasumbua,leo kwenye saa 10 nilihamisha pesa kwenda m-pesa mpaka saa hii hakuna alert ya pesa kufika ktk akaunti yangu,
  7. K

    Toyota gaia

    Habari zenu wanajamvi,napenda kujua ubora wa TOYOTA GAIA
  8. K

    Walimu wapya 2013

    Wanajf,inasemekana kwamba walimu wapya waliojariwa hivi karibuni serikali inasuasua katika suala zima la kuwalipa mishahara yao. Ina maana serikali haikujipanga kwa hili?
  9. K

    Dijitali tz

    Dijitali tz hivi kwanini wasiungane ili kiwemo king'amuzi kimoja kitakachokidhi mahitaji kwa watz?!
  10. K

    Utitiri wa baa Kinondoni

    Wanajf,katika pitapita yangu Kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?
  11. K

    Uchafu machinjio ya Vingunguti

    Machinjio ya vingunguti kimazingira ni pachafu sijui wahusika wanajali afya zetu? mifereji imeziba,maji machafu yanazagaa ovyo isitoshe harufu mbaya
Back
Top Bottom