Ninavyoelewa aliyewasimamisha ni wizara siyo Chama cha Wauguzi Tanzania! Sasa wamepata wapi nguvu ya kutoa majibu kabla ya Waziri mwenye dhamana na Wizara husika?
---
Chama cha Wauguzi Tanzania kimebaini kuwepo kwa mgogoro binafsi kati ya watumishi wa Zahanati ya Ishihimulwa waliorekodiwa...
PANGA LA NEC LAMFYEKA LUHAGA MPINA- JINA LAKE LAENGULIWA KUGOMBEA UJUMBE WA NEC.
* Mambo 11 yaliyomponza yatajwa
HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya...
BAADHI ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Meatu wamemwandikia barua waziri mwenye dhamana na Serikali za Mitaa hapa nchini (TAMISEMI) Angela Kairuki ili atume timu maalumu ya ukaguzi iweze kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri hiyo ya wilaya kukagua matumizi ya fedha ambazo zilipangwa...
HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya
Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia
Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya
mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya
Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
MWENENDO WA BEI ZA MBOLEA NCHINI
Mheshimiwa Spika, kwa kuwa hapo awali sababu za kupanda kwa bei ya mbolea ukiacha sababu za vita ya Urusi na Ukraine na janga la UVIKO – 19, hazikuweza kuelezwa kikamilifu. Kwa kuwa wewe ndiye Waziri wa Fedha mwenye dhamana ya kusimamia sera za fedha na bajeti...
1. 0 UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, awali ya yote nimshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha ya wazazi wangu na pia nichukue nafasi hii kuwashukuru sana waheshimiwa wabunge, Chama cha Mapinduzi, Viongozi wa Serikali, ndugu jamaa na marafiki, Baba Askofu Peter Phares Kisena, Mtume Boniface Mwamposa na...
---
MCHANGO WA MAANDISHI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 BUNGENI DODOMA TAREHE 16 MEI 2022
Mheshimiwa Spika, Kutokana na changamoto ya muda pamoja na kuchangia kwa...
WABUNGE WA JMT WANATAKIWA KUIVA KWELI KWELI HASA KWENYE TAARIFA SAHIHI(RIGHT INFORMATION) KATIKA MICHANGO YAO WANAPOKUWA BUNGENI:
Ni wakati sasa Wabunge wetu waache kufikiri kupata KATIBU ndiyo amemaliza kila kitu. Dunia ya sasa imebadilika sana, mambo mengi yanaenda kasi, inahitajika nguvu ya...
Kazi kweli kweli! Shida iko wapi? Kama kapangiwa mitano ni mitano tu haitazidi wala kupungua!
Na kama ni 10 hakuna wa kumuondoa ila yeye aliyemuweka.
Kumbuka kuna aliyehoji AKIONDOKA nani ataendeleza miradi aliyoianzisha? Akadai eti kama ataondoka wapo watu watang'oa madaraja anayojenga na...
Mheshimiwa Spika, Maeneo mengi muhimu ya kijamii na kiuchumi kutotungiwa Sheria mahsusi na badala yake kutumika matamko ya baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali
(a) Mheshimiwa Spika, Biashara za Machinga, Bodaboda, Mama Ntilie, Wauza mbogamboga kundi hili liko kwenye hekaheka kila leo...
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha.
Lakini pia taarifa...
WANA Bodi hali ya Uvuvi katika Ziwa Victoria imeelezwa kuwa ni mbaya sana na kuna hatari viwanda vya kuchakata samaki kufa na mapato mengi ya Serikali kupotea
Ushuhuda uliotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRIl umeonesha hali ni mbaya kutokana na kushamiri kwa uvuvi haramu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.