Search results

  1. UNDENIABLE

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    Tunaomba link pls!
  2. UNDENIABLE

    Uzi maalum: Nukuu kutoka kwenye Movies au Series

    Hebu naomba link yake....
  3. UNDENIABLE

    Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

    Hiki chuo ni changu ila deep inside inatia fedheha kwa kweli. Ndio maana sikushangaa Prof. Kabudi akisema lile ni jalala. Its true.
  4. UNDENIABLE

    Hivi, wabunge walikuwa wanamshambulia Mbowe na kuwatishia waliotoa hoja au walikuwa wanawaelemisha watanzania faida ya hiyo IGA na Dubai?

    Kwa maoni yangu. Ni kama vipi lile bunge lilikuwa linampa Mbowe promo za kisiasa badala ya kuwaelimisha watanzania uzuri wa yale makubaliano. Ni kama vile wabunge walikuwa wanawapiga biti kali kali watanzania waliokuwa wanatoa hoja zao kuhusu makubaliano. Ni kama vile wao ndio watanzania...
  5. UNDENIABLE

    Angalia jinsi Mungu alivyowabariki Watanzania. Je, ni kweli Mungu hajutii kutupa baraka zake?

    1. Ardhi nzuri na kubwa sana - Yenye rutuba kwa ajili ya chakula cha watanzania na mataifa jirani 2. Madini ya kila aina - Mengi sana. Mengine hayapatikani kokote isipokuwa Tanzania mfano madini ya Tanzanite. 3. Bahari na Maziwa - Kwa ajili ya shughuli za kiuchumi za majini na mengine...
  6. UNDENIABLE

    Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Japo kuna watanzania wanaowaona wapinzani kama wapiga kelele wasiokuwa na tija lakini ki ukweli wao ndio waliowasaidia watanzania kuamka walikuwa wamelala
  7. UNDENIABLE

    Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Shinikizo la katiba mpya ni wapinzani
  8. UNDENIABLE

    Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Akina zitto kabwe, akina godwin mollel, akina mwita waitara, akina nape nnauye leo wasingekuwa wanajulikana
  9. UNDENIABLE

    Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Ndio waasisi wa neno ufisadi. Wasingekuwa wao wananchi wasingekuwa wanajua maana ya neno ufisadi
  10. UNDENIABLE

    Faida za wapinzani nchini japo hawajashika madaraka ni kama hizi....

    Wamesaidia kujenga awareness kwa wananchi kuhusu masuala yanayoendelea kwenye nchi
  11. UNDENIABLE

    Mliokuwa mnafikiri miradi ya Hayati Magufuli ni halalisho la kuua demokrasia, hili la Bandari litawasaidia kujua gharama ya demokrasia

    Walisaidia sana kujenga awareness kubwa kwa wananchi. Kama sio wapinzani hii nchi ingekuwa bado inalala fofofo wasijue kinachoendelea
  12. UNDENIABLE

    Nilishindwa kulala usiku baada ya kusoma 'Sheria mpya ya Usalama wa Taifa'. Nimeumia sana kama mwananchi wa kawaida

    Hata huu uzi watu huogopa kuchangia kwa kuhofia usalama wa Taifa. Dah....!
  13. UNDENIABLE

    Nilishindwa kulala usiku baada ya kusoma 'Sheria mpya ya Usalama wa Taifa'. Nimeumia sana kama mwananchi wa kawaida

    Sheria hii inakuja nyakati ambazo kuna malalamiko kuwa usalama wa Taifa hawapo competent kwa maslahi mapana ya Taifa wana bias zaidi kulinda chama tawala. Wengine husema ni Usalama wa CCM sio usalama wa Taifa kama watu wasemavyo ni Polisi CCM na sio Polisi Tanzania
  14. UNDENIABLE

    Nilishindwa kulala usiku baada ya kusoma 'Sheria mpya ya Usalama wa Taifa'. Nimeumia sana kama mwananchi wa kawaida

    Hapa maana yake mahakama imeporwa rasmi ile haki ya kutoa haki. Haina tena haki hiyo. Duuuuu
  15. UNDENIABLE

    Nilishindwa kulala usiku baada ya kusoma 'Sheria mpya ya Usalama wa Taifa'. Nimeumia sana kama mwananchi wa kawaida

    "Unapowekewa kinga ya kutoshitakiwa ni kama vile umeambiwa fanya makosa kwa kadri uwezavyo ili mradi unafanya kwenye line ya majukumu yako kikazi. Ni kama vile umeondolewa umakini wako kazini........yaani ni sawa na kama umeambiwa huna sababu ya kuwa makini kazini kwako kwa sababu hata ukikosea...
Back
Top Bottom