Search results

  1. Gogle

    Nikiona makalio makubwa yanatingishika napatwa na kizunguzungu, msaada tafadhali

    Mods hili ombi la msaada nililiweka kule jukwaa la doctor sijji kwanini mmelihamisha huku MMU
  2. Gogle

    Nikiona makalio makubwa yanatingishika napatwa na kizunguzungu, msaada tafadhali

    Mkuu usikebehi shida za wengine, omba yasikukute, kuwa msaada.
  3. Gogle

    Nikiona makalio makubwa yanatingishika napatwa na kizunguzungu, msaada tafadhali

    Habari zenu wana JF. Wakuu nimekuwa na hili tatizo kwa zaidi ya miaka 10 sasa, limekuwa likijirudia mara kwa mara. Yaani ni kwamba imekuwa kawaida nikiwa natembea njiani nikiona mdada mwenye makalio makuwa yanatingishika inabidi nikae chini kwanza au niegemee nguzo au ukuta, nisipofanya hivyo...
  4. Gogle

    Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Hebu tuthibitishie kuwa ethiopian airlines inatoka capetown kupitia dar kwenda addis., tuwekee hata dumb itinerary.
  5. Gogle

    The Role of Yuda Eskarioti Kwenye Ukombozi wa Dunia: Je, Yuda alaumiwe, alaaniwe au apongezwe?!

    Mkuu sikuwahi kuona uzi wako ukiwa na wachangiaji wachache kuliko huu!
  6. Gogle

    Kwanini Ukraine haishambulii Russia moja kwa moja?

    Mkuu nakukubali sana kule tech and gadgets, heshima kwako, hapa unepuyanga!
  7. Gogle

    Kesi ya Sabaya na Mbowe ni makutano

    Mkuu, kwa nia njema tu naomba kujua unajisikiaje kuona uzi wako una miezi miwili hapa jamvini na hauna hata reply moja?
  8. Gogle

    Pendekezo: Wabunge watokane na Madiwani wa Jimbo husika

    Bangi ya wapi hiyo mkuu? niiwahi fasta.
  9. Gogle

    Ni kweli Ashraf Marwan "a Superspy" ndiye aliyeikoa Israeli na kipigo kipindi kile cha Six Day War?

    Neflix kuna movie yake ina episode kama nne hivi, bomba sana ukitaka kuifaidi msome kwanza wikipedia then angalia movie, utaipenda
  10. Gogle

    The Man Next Door

    Picha za nyumba hazikubaliani na maelezo ya kamba za kuanikia nguo.
  11. Gogle

    INAUZWA iPad2 inauzwa

    Acha masihara mkuu, ipad 2 laki mbili?!!, mimi ninayo hiyo natafuta wa kumgaia bure sijampata
  12. Gogle

    Richmond case study: Je, Waziri Mkuu Majaliwa atavuka kikwazo cha Lowassa kwa ma-V 8 haya?

    Ikiwa hili ndilo walilolipata baada ya kutafuta ya kumchafua Majaliwa inamaanisha Majaliwa ni msafi sana!
  13. Gogle

    The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Hiyo list imeandaliwa na mabeberu yaani wametuwekea Mtanzania ambae hata sisi wenyewe hatumjui,
  14. Gogle

    Niulize chochote kuhusu vipimo vya Maabara za Afya

    Ulishawahi kupima fenesi au papai maabara? mbuzi je?
  15. Gogle

    Niulize chochote kuhusu vipimo vya Maabara za Afya

    Swali: Ugonjwa wa covid 19 ni ugonjwa mpya uliobuka mapema mwaka huu, je viifaa vya kupimia ugonjwa huu navyo ni vipya au ni vilevile vya zamani vinasetiwa kuweza kupima covid 19? Msinicheke jamani
  16. Gogle

    Degree kwa tuliosoma GEK/GKL

    Habari wakuu, Matokeo ya Kidato cha Sita yametoka, naomba kufahamu kozi za Degree kwa waliosoma combi ya Geography, Kiswahili na English
Back
Top Bottom