Search results

  1. C

    Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

    Nani ananyofoa picha zaidi ya YOYO. Kwanza zake bado. Huyu yoyo dataz tunazo subiri siku yako... kumbuka posti zako zote hata kwa michuzi, majungu na madongo yako kwa watu wasio na hatia, leo unajifanya mtakatifu????
  2. C

    Wall street financial analyst is lying

    Field Marshall, Mkuu hata na wewe pia umelipanda hili Boti la YOYO, yaani mpaka mnamuita Mashaka Mkenya? Ndugu zangu manvuka mpaka. Huyu mtoto kasoma tu Kenya Secondary siyo Mkenya angekuwa mkenya ni kweli angediriki? Huyu mtoto amezaliwa Tanzania, tena kakulia pale Oysterbay, lakini...
  3. C

    Wall street financial analyst is lying

    This YOYO thing: He is one of those academic frauds, he is using a very harsh language against country man yet he has no point or cause for the economic crisis. Mashaka has insight information, what does YOYO has? Hawa wachambuzi wa jamii forum mbuzi kweli. It is good tumeanza kuwashitukiwa...
  4. C

    Tanzania the sleeping economic giant

    Tanzania, A Slumbering Economic Giant, When Are You Going To Wake up? IS TANZANIA, REALLY A SLEEPING GIANT.................... Tanzania is, without a doubt one of the Africa’s Sleeping Economic Giants, yet is known as one of the global poorest nations. The country is rich in every...
  5. C

    Wall street financial analyst is lying

    Hebu jaribu kuwa mtu mzima mwenye ustaarabu kajisifia wapi. umeshamuona mashaka wapi, kama siyo wivu huo? wewe kama umeshindwa na kubeba boxi-hacha hasira zako huko rudi nyumbani muache mtoto wa watu wala hana time na mtu kama wewe.
  6. C

    Wall street financial analyst is lying

    Jamani mimi ninachoona humu ni wivu kupita kiasi. mimi mashaka, nimemtafuta hadi nikampata na kufanya naye maongezi. nadhani wengi humu wanaomjadili ni waongo na wazushi. nimiltafuta sana mwaka jana, hapa nikamuomba hadi kelly lakini sikufanikiwa Juzi nikiwa Dar, niliambiwa kwamba yupo...
  7. C

    Dr. Hildebrand Shayo

    Dr. Shayo ni mpumbavu sijui hiyo phD aliipata wapi. Inabidi arudi akafundishe chekechea. Dr. Gani anajificha nyuma ya cooomputer na kujiita US Blogger. Utadhania hana akili............ huyu mtu mjinga sana, ningekuwa mkuu wa hicho chuo ningemtimua
  8. C

    Former Guantanamo Bay Detainees Heads Alqaida

    Ndiyo, US Blogger ni Dr Hilbrand Shayo
  9. C

    Former Guantanamo Bay Detainees Heads Alqaida

    Who knows pengine ni yule Jini US Based Blogger, Dr. Shayo
  10. C

    Wito: "wanaoua Albino na wenyewe muwaue!" - Pinda

    Lakini mimi namuunga mkono pinda, kwa sababu mtu gani mwenye akili atataka kumuua mtoto mdogo tena ki ukatili namna hiyo. We have to be considerate Au lazima tuwe like US Blogger Dr. Shayo? ndo tusijulikane kwamba tumetamka kitu fulani?
  11. C

    Wito: "wanaoua Albino na wenyewe muwaue!" - Pinda

    Hivi wajameni, huyu masha anasemaje kuhusu mauaju haya?
  12. C

    President Obama's first 100 days

    habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo...
  13. C

    Who is General Nkunda?

  14. C

  15. C

    Former Guantanamo Bay Detainees Heads Alqaida

    Former Guantanamo Detainee Joins Al-Qaida in Yemen By VOA News 23 January 2009 Guards escort a Guantanamo detainee at the Camp 4 detention facility in Guantanamo Bay, Cuba, 18 Nov 2008 Guards escort a Guantanamo detainee at the Camp 4 detention facility in Guantanamo Bay, Cuba, 18 Nov...
  16. C

    Dr. Hildebrand Shayo

    Yaani nimefurahi kweli Dr. Shayo A.K.A "Kawawa" kaumbuka anajiita US blogger,,,, kazi safi Mashaka, umekuwa kipenzi chetu....
  17. C

    Dr. Hildebrand Shayo

    habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo...
  18. C

    Hatma ya Tanzania bila kilimo

    Ndugu Zangu, nimeipata hii makala kule kwa michuzi, lakini kwa bahati mbaya wanamtandao wanamjadili mtoa mada badala ya mada yenyewe. Je tunaweza kuijadili hii bila kumjadili mtoa mada? CAN TANZANIA SURVIVE WITHOUT AGRICULTURE? Tanzania as a country that depends on agriculture as the main...
  19. C

    Elections 2010 Endapo Kampeni ya kumzuia JK kugombea 2010...

    Baada ya upelelezi wa kina wa muda sasa, vyanzo vyetu vimebaini kwamba, waziri wa mambo ya ndani, Mh. Lawrence Masha, akishirikiana na baadhi ya wabunge ndani ya CCM, wameanza kuandaa mikakati kabambe kumg’oa Rais Jakaya Kikwete mwaka 2010. Hadi sasa, Bw. Masha, tayari umeshaandaa viongozi...
Back
Top Bottom