Search results

  1. A

    Wizara ya afya

    Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz
  2. A

    Sijui hata nifanye nn naelekea kukata tamaa tu

    Nilienda hospital ya Al rahma zanzibar na nilionana na general dr
  3. A

    Sijui hata nifanye nn naelekea kukata tamaa tu

    Habari wana jf wenzangu mm n kijana mwenye umri wa miaka 18 nasumbuliwa na tatizo la kutoa uchafu mweupe wenye utelezi ambao hauna harufu kwenye uume baada ya kukojoa ila wakati nakujoa kunakua hakuna maumivu yoyote na uchafu huu hutoka endapo tu nikiwa natoa haja kuja pia mkojo wangu...
  4. A

    Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

    Wakuu kama una F ya math halafu PHY-D CHEM-C BIO-C na ENG-D halafu nika apply diploma in clinical officer naweza kuchaguliwa?
  5. A

    Nisaidieni jamani niweze kuongea vizuri

    Hii hali nimeigundua baada ya kufika form four mwaka jana kwenye debate. Kwa hiyo sijui kuwa ni kigugumizi au la! Na kuhusu kusoma nasoma vizuri tu.
  6. A

    Nisaidieni jamani niweze kuongea vizuri

    Jamani mi ni kijana wa miaka 18 tatizo langu ni kwamba nimekuwa nikishindwa kuongea maneno kwa mtiririko nimekua nikiongea huku nikiacha maneno mengine mara naanzia kati sentensi ninazoongea hazieleweki hivyo naomba mnisaidie kama kuna tiba mbadala ili niondokane na hili tatizo ambalo limekua...
  7. A

    Msaada jamani

    Habari zenu jamani! Mimi nimepata IV ya 27 na matokeo yangu yalikuwa hivi CIV-F ENG-D GEO-F KISW-C HIST-F PHY-D CHEM-C BIO-C MATH-F Nilikuwa nataka nikasome form five shule za private comb ya PCB ila nahofia math nina f naweza kukubaliwa kweli? au nisubiri tume inaweza kuleta...
  8. A

    Naomba usiipite post hii tafadhal.

    Hiyo haijalishi ila ntakipataje?
  9. A

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Jamani nisaidieni nina IV ya 27 CIV-F GEO-F KISW-C HIST-F ENG-D MATH-F BIO-C PHY-D CHEM-C nataka niende form five katika shule za private nikasome PCB. Hivi kwa hilo itawezekana
  10. A

    Naomba usiipite post hii tafadhal.

    Ye yupo Gamboshi mi nataka DODOMA
  11. A

    Naomba usiipite post hii tafadhal.

    Jamani mi mwenyewe natafuta chuo cha afya cha serikali kilichopo mkoani DODOMA kinachofundisha ngazi ya cheti na diploma. Anayejua msaada tafadhari!
Back
Top Bottom