Search results

  1. N

    Waandishi wa habari (magazeti) mbadilike

    Hivi sasa nchini kuna zaidi ya magazeti kumi yanatoka kila siku. Lakini ukinunua moja tu utakuwa umesoma magazeti yote kwa habari ya front page. Ni jambo la kushangaza sana inakuwaje magazeti kufanana habari wakati fulani hadi picha. Kuna sababu mbili tu huo upuuzi: Magazeti kuwa na chanzo...
  2. N

    Natafuta mwanamke aliyeachika/hajaolewa

    Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 < 48yrs.........ndoa yangu hii ilifungwa Kiislamu ingawa sasa mimi ni mkristo. Karibu
  3. N

    Tujikumbushe enzi zile za kibanda absalom

    Kibanda aliwahi kuandika hivi hapa J ''Kwanza napenda kuwafahamisha wachangiaji wa JF kwamba niliandika makala ya uchambuzi (analysis) iliyochapishwa katika ukurasa wa 11 wa maoni na mawazo ya watu binafsi. Baadhi ya watu wamenihukumu kwa kuwa bias wakati yale ni maoni na si...
  4. N

    Chadema boresheni mikakati yenu

    Sio siri kuwa wananchi wengi wanaamini TZ kuna watawala wawili- kutokea magogoni na wale kutokea CHADEMA (Slaa etc). Kunapokuwa na hali tete katika nchi tunategemea tamko/action kutoka either side of the camps. Upande mmoja ukiboronga hasa ule wenye dola tunategemea kauli thabiti kutoka CHADEMA...
  5. N

    PASCO wa JF ahojiwe kuhusu sumu ya Mwakyembe

    Kutokana na mwenendo wa huyu Pasco nimelazimika kumuanzishia uzi maalumu. Kwa tunaojua kusoma katikati ya mstari nimebaini kuwa Pasco anajua full stori ya Mwekyembe kupewa sumu. Na yupo hapa JF kupoteza lengo na kupotosha umma wa Watanzania. Hivi yeye alijua lini Mwakyembe aliwekewa hiyo sabuni...
  6. N

    Dr. Thomas Kashilila (Assembly Clerk)

    Huyu bwana amekuwa mtata sana kuhusiana na mambo mbalimbali ndani na je ya bunge; mfano: Posho za Wabunge Mkutano wa CDM na Rais CDM Kususia Bunge . Huyu bwana anaongea kwa mamlaka sana na kujiamini sana. Je confidence yake inatokana na uzoefu, shule, weledi au Godfather. Kwa wanaomjua naomba...
  7. N

    King Kiki: Malalamiko ya Kwenu

    Huyu mzee wakati huo sijui alikuwa anawaza nini wakati anatunga huu wimbo . Kweli muziki ni fasihi ya wakati. Ukiangalia kwa nyakati za sasa ni kama vile kuna mtu(kiongozi) anaona matatizo ya Watz lakini kutokana na sababu fulani hawezi kujitokeza kutatua matatizo hayo. Na inaonyesha anao uwezo...
  8. N

    Utafiti: Wakenya walioajiriwa tz

    Wasalaam, Nafanya utafiti kujua idadi ya Raia wa Kenya wanaofanya kazi TZ. Huu ni utafiti ambao ni nyeti sana, naomba unayechangia ustick kwenye swali la utafiti kuliko kuleta hisia zingine. Utafiti huu ni wa kawaida kabisa. Hivi karibuni Kenya wamefanya utafiti na kubaini kuwa kuna Wakenya...
  9. N

    Congrats: Hussein Kattanga

    Moyo wa kujituma Kupenda kujiendeleza Kujiamini- makonfu Networking Smartness-upstairs Hivyo ndivyo vimemfanya kijana huyu afike hapo alipofika kuwa Katibu Mkuu Serikali za Mitaa. Ni mfano mzuri kwa vijana wa sasa ambao hawataki kupafomu kwenye kazi zao. Huyu kijana kaanzia mbali toka uhasibu...
  10. N

    Profesa Mwandosya na Dr. Mwakyembe hawapikiki

    Kuelekea uchaguzi kwa 2015, habari za kuaminika kutoka vyanzo visivyopenda kujulikana zinadai kuwa hawa jamaa sasa hivi hawaivi chungu kimoja. Ingawa mwaka 2005 walikuwa pamoja, inaaminika kuwa sasa kila mtu yuko kivyake hasa kwa vile Dr. Mwakyembe naye ni malighafi ya urais Pia inaaminika...
  11. N

    Wakuu waliokuwa wakivuma enzi hizo

    Hebu jikumbushe enzi hizo ukifungulia RTD kipindi cha majira ulikuwa huwezi kusikia majina ya watu wafuatao wakiwa wametoa amri au maagizo fulani kwa wananchi. Hawa wakuu walikuwa never miss kwenye taarifa za RTD: Samike wa Samike Salum Ngajurage Hussein Mashimba Peter Kangwa Col. Peter...
  12. N

    Tangazo la kuhamasisha kunawa mikono

    Kama kuna tangazo la Redio ambalo linaniboa kwa sasa ni hili la kuhamasisha kunawa mikono; halina mvuto; halina mantiki na hata weledi hakuna kabisa. Hivi nani katengeneza hili tangazo..............nafikiri linaweza kushinda kwa ubovu katika matangazo yote mwaka huu.
  13. N

    Elections 2010 Kikwete ahutubia Manzese

    Karibuni tupo hapa leo na JK, nipo kamili kamili nitakuwa nawajuza kila kinachoendelea
  14. N

    Elections 2010 Asikudanganye mtu hali ni mbaya

    Wanajamvi, Tuache uwongo hali ya CCM uchaguzi huu sio nzuri kabisa -mtu yoyote mwenye akili anaweza kuuona. Sual ni kwamba CCM inakabiliwa na upinzani wa aina mbili; yaani toka nje ya chama na ndani kwenyewe. Upinzani ndani ya chama umekuwa kimya sana lakini timu ya kampeni ya CCM inajua kuwa...
  15. N

    Kumbe hata member wa OIC anapiga magoti kwa IMF

    4 August 2010 Last updated at 06:46 GM Pakistan seeks IMF loan restructuring after floods&#8206; Officials says more than 16 million people have now been affected by the flooding...
  16. N

    JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

    Kwako Malaria Sugu, Kwa kweli nimekuwa nikivutiwa sana na uwezo wako katika kukabiliana na hoja za wapinzani wako au niseme wachangiaji wasiokubaliana na hoja zako. Huna hasira, unajibu kwa kifupi na unajua kuanzisha mada chokonozi. Kwa kweli MS umefuzu vema katika fani yako hii ya...
  17. N

    Hoja za Profesa Palamagamba Kabudi...

    Wiki kama mbili zilizopita nilikuwa naangalia kipindi cha Simbeye pale TBC1, mmojawapo wa wazungumzaji alikuwa ni huyu Profesa. Kwa kweli nirifarijika sana jinsi huyu bwana alivokuwa akitetea maslahi ya watanzania (nchi) katika mchakato wa EAC na jinsi anavyoona mambo yanavyoharakishwa bila...
  18. N

    Elections 2010 Dr slaa anaweza kuangushwa na ''wasomi''

    Kikwazo kikubwa cha kuleta mabadiliko ya kweli nchi hii ni wasomi na wakaazi wa maeneo ya mjini. Nimesoma kwenye threads nyingi hapa, watu wengi wenye mashaka kuwa DR Slaa hatapita ni watu ambao wanatamani mabadiliko yatokee ila hawatambui kuwa wao ni sehemu ya kufanya hayo mabadiliko yatokee...
  19. N

    Tangazo la biashara la twiga cement

    Wadau, kuna matangazo ya Twiga Cement kwa kweli yanaboa sana, hata kama industry ya matangazo bongo ipo chini lakini hili tangazo ambalo bwana mmoja (Patrick) anawahoji watumiaji wa saruji ya Twiga linaboa sana. Halina mvuto, washiriki wenyewe hawana mvuto bas ili mradi linachosha tu. Ni kama...
  20. N

    JKT RUVU 1993 (OPeresheni Miezi SIta)

    Jamani naomba kuwakumbuka vijana waliokuwa Ruvu JKT 1993- operesheni miezi sita. Mnamkumbuka Afande Kibuyu, Afande Amani, Afande Simba, Afande Linus, Afande Mazani, Afande .........ambaye alikuwa ni major akatolewa nyota moja sababu ya mademu, afande yule aliyepotea Uganda wakati wa vita na LMG...
Back
Top Bottom