Search results

  1. W

    Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

    Kinachomata ni kwenda kupiga kura. Haijarishi ni mda gani!! Inatakiwa tuwe na desturi ya kupanga mida yetu, mtu anaweza kwenda kanisani kusari na harafu akarudi kupiga kura, au kama ibada ni ndefu saana (siamini kama kuna ibada ya zaidi ya kutwa nzima) ndipo mtu mwenyewe aschedule mda wake ili...
  2. W

    Wanaume kujikunakuna hadharani!

    jaribu kumwangalia kwa makini sana. Yawezekana kabisa huyo mtoto ameshafikia umri wa kula mzigo, sasa anatamani mzigo.
  3. W

    Kuoga na mume au mke wako...

    huyo jama ambae anasema wanawake vibaya, anakosea sana. Kama yeye na anaemwita mpenzi wake walikosana eti kwa kuoga pamoja, huyo mwenzakle alikua anamwibia au yeye mwenyewe alikua anamwibia mwanamke.
  4. W

    Environmental coordinator

    hamna, mgodi bado upo unaendelea na utafiti (drilling)unaonesha kua reserve inaendelea
  5. W

    Je Kipoozeo ni tiba ya kero katika ndoa au mahusiano?

    Mi nanoona kwa mtu anekua serious labda ofisini na kazi ni kwamba anajitahidi kuhakisha kua familia yake inasonga mbele kimaendeleo. Sasa kinachobaki ni kuaminiana tu, ila nae kweli asitumie hiyo chance ya u busy ofisini kufanya mambo yake. Unapoamua kua na mpenzi wa kudumu hakikisha kua...
  6. W

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    Huyo fisadi anaenyofoa wasifu wa mgombea hafikirii kabisa. Huyo anatakiwa kurushiwa mabomu ya mbagala akafie mbali huko, ili akome kufanya hivo
  7. W

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Jamani tuwaombee hao wenzetu ambao wanaishi katika hilo eneo linalolipuka.
Back
Top Bottom